sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
- Thread starter
-
- #61
Wamejikita zaidi na mambo ya data na kiukweli wapo vizuri mno.Hawa Smile nawasikia tu...hivi ukiwa na line yao unaweza kupiga simu au ni internet tu?
Comparison za data prices hazifanyiki ulivuofanya wewe rudi kwenye point yangu.kwa hio hao kina voda ama tigo wakinunua infrastructure huko nje wanapewa bei rahisi sababu income yetu ni ndogo?
4g base station ya marekani na ya Tanzania bei ni tofauti?
wapelekee hii hoja pia Aplle na Samsung, iphone zianze kuuzwa laki 2.
Umefanya research ndogo kuona kwamba kwenye targeted consumers (mameneja, wakurugenzi etc) are also facing same problem as you? Yawezekana wewe siyo targeted consumers wao...Ndio mana wanakufa sasa. Miezi sasa hawapo sokoni hadi MiFi yao nimewapa watoto wachezee kwa hasira mana wamekula subscription yangu na haikuwa activated na customer service haipokelewi mwezi mzima mpaka subscription ime expire ya mwezi.
Bahati mbaya hiyo strategy kwenye soko la telecoms doesn't work. Voda walikuwaga hivyo sasa ikawaje wakabadilisha?
Ukisoma msg namba mbili utaelewa nilijikita kwenye mada ila anzia msg za chief utagundua nani alianza kutoka nje ya mada.Tulianza maada vizuri sana , ila dah unakoelekea [emoji848][emoji848]
tuliza munkari chief, hayo mambo ya kujipa pride kwa elimu ya darasani kwa vyeti yanabaki kabatini humu unakuja na hoja zako kama mtu alie elimika na sio kama mtu anaetumia nguvu kubwa ajulikane ni msomi
Anyway turudi kwenye maada
ni biashara ile mkuu, price lazima iangalie cost, kama vifaa ni vile vile marekani na TZ bei ikiwa rahisi kwetu ina maana sisi tunafaidi zaidi. japo mitandao yetu inapata faida ila haifikii super profit za Mitandao kama At&T sababu huko wanachajiwa hela ndefu.Comparison za data prices hazifanyiki ulivuofanya wewe rudi kwenye point yangu.
Walipokuja kuniuzia wao ndio walijua kuwa ni targeted ama la mana alikuja regional manager wa arusha kipindi hicho akatuuzia watu wanne kwenye ofisi moja. MiFi ilikuwa inakaribia 150k kama nakumbuka vizuri. Shida skuizi ndio wamepotea sasa.Umefanya research ndogo kuona kwamba kwenye targeted consumers (mameneja, wakurugenzi etc) are also facing same problem as you? Yawezekana wewe siyo targeted consumers wao...
Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
Labda hujaelewa point yangu. Point yangu ji comparative analysis. How to do it properly. My point is not pricing bali ni analyst anatakiwa kufanhaje comparative analysisni biashara ile mkuu, price lazima iangalie cost, kama vifaa ni vile vile marekani na TZ bei ikiwa rahisi kwetu ina maana sisi tunafaidi zaidi. japo mitandao yetu inapata faida ila haifikii super profit za Mitandao kama At&T sababu huko wanachajiwa hela ndefu.
netflix wanachaji hela kama sawa, office hela kama sawa, simu hela kama sawa, branded clothes, etc tena vyengine kwetu vinakuwa ghali kushinda huko, hoja ya income ije kwenye mitandao ya simu tu?
Uzungu unawacost sana smile. Kuna style flani wanalazimisha waonekane ni premier wakati soko la sasa watu wanapenda ofa na bwerere.
Nawaza kama tigo isingepambana kipindi kile cha longa longa, chombeza, etc kiasi kwamba mtu anaongea bure masaa 12 kuanzia sa12 jioni hakika wasingetoboa. Walijitoa ufahamu wakachoma pesa nyingi sana tigo kupata nafasi waliyopo sasa.
Kama isingekuwa vile mobitel ingekuwa historia kwasasa. Smile nao walipaswa wapambane upande wa data wangepiga ofa za uhakika miezi sita ama mwaka hakika kwa watu wanavyopenda kuwa mitandaoni kila mtu angekuwa na simcard ya smile.
Chief fuatilia mijadala yote anayobishania hakubaligi kushindwa. So we mkaushie tu. Suala la wizi wa bundle tunalijua wengi tu kama yeye halijui basi ni collateral damage tu haiathiri conclusion kuwa voda wezi wa bundle na hata TCRA walishawahi watahadharisha.
Wabongo inabidi tuamke,kwanza huu mpango wa vifurushi vifurushi ndio wizi mtupu,kwa wenzetu hawana hizo sijui kifurushi cha usiku,wote ni wizi tu,vocha za kupiga na kununua internet basi,lkn sio kampuni ya simu ikupangie muda wa kupiga!
Nikueleweshe zaidi. Ukilipia usd2 kilo ya nyama marekani na household income ikiwa ni usd50 na ukaja tanzania ukalipia usd2 kwa kilo ya nyama halafu household income ikiwa ni usd10 hapa ina maana mbongo anakamuliwa mno.ni biashara ile mkuu, price lazima iangalie cost, kama vifaa ni vile vile marekani na TZ bei ikiwa rahisi kwetu ina maana sisi tunafaidi zaidi. japo mitandao yetu inapata faida ila haifikii super profit za Mitandao kama At&T sababu huko wanachajiwa hela ndefu.
netflix wanachaji hela kama sawa, office hela kama sawa, simu hela kama sawa, branded clothes, etc tena vyengine kwetu vinakuwa ghali kushinda huko, hoja ya income ije kwenye mitandao ya simu tu?
vipi kenya, uganda na majirani zetu?Nikueleweshe zaidi. Ukilipia usd2 kilo ya nyama marekani na household income ikiwa ni usd50 na ukaja tanzania ukalipia usd2 kwa kilo ya nyama halafu household income ikiwa ni usd10 hapa ina maana mbongo anakamuliwa mno.
Ndio mana bidhaa ikizalishwa nchi yenye low income huuzwa bei ndogo na ikizalishwa na kuuzwa nchi yenye high income huuzwa bei juu.
Mfano bei ya wakili US ni kubwa mana hata ada ya kusoma marekani ni kubwa mno. Degree ya kwanza ya fani yoyote mtu analipa zaidi ya usd60,000 on average kuipata wakati bongo hata usd10,000 haijafika in average.
That means kule garama za uzalishaji zipo juu na bei zipo juu. Huku garama za uzalishaji zipo chini na bei zipo chini. Ukifananisha Wage bill ya safaricome KE na voda TZ kwa idadi flani sawa ya watu na wa vyeo sawa utaelewa point yangu.
Umegeneralize. Kuna watu wanalalamika kuibiwa na hata PC hawana. Hebu fikiria scenario hii.Binafsi sijawahi kuibiwa nawashangaa wanaolalamika
wengi wanalalamika kuibiwa kwasababu hapa bongo;
Pc nyingi zina windows ambazo ni pirated, yani za kudownload zilizochakachuliwa ambazo kuna nyingine zinaingizwa spyware, malware, miners, n.k ambazo zinanyonya data bila wewe kujua, ingia mfukoni utoe laki 3 upate window genuine
Pc nyingi zina softwares nazo zimechakachuliwa ivyo ivyo kama hizo window, mtu hata idm hawezi kununua.
Watu hawazimi updates, yani watu kibao hawajui haya mambo, mtu analalamika bando linaenda wakati hajaweka network yake iwe metred achilia mbali pc kuwa na rundo la software ambazo hazijazimwa automatic updates
Mtu anachomeka chomeka maflashi yenye virus wanaonyonya data wakati pc haina kinga ya antivirus
Watu hawazimi torrents, mwengine anachojua ni kudownload tu hajui kabisa kwamba torrent ikimaliza inaendelea kupandwa.
Kwa hio kabla ya kufungua bakuli hakikisha una windows orijino ya laki 3, softwares zako uwe umelipia mfano hii microsoft word ujichange laki 3, hakikisha pia umeweka bajeti ya anti virus kama kaspersky kila mwaka
, hakikisha unanunua movies zako achana na mambo ya torrents, movies nyingi ni kama elf 30 tu.
Nimeweka mfano wa wagebill ya ke na ya tz kwa same personnel umeona? Mishahara ya tz na kenya tofauti sana. Regional SMM wa safaricom kenya anacholipwa na Regional SMM wa voda tanzania ni tofauti. That means ku operate tz ni cheap kiasi kuliko kenya.vipi kenya, uganda na majirani zetu?
Binafsi ninatumia voda, halotel na smileUmegeneralize. Kuna watu wanalalamika kuibiwa na hata PC hawana. Hebu fikiria scenario hii.
Mtu kanunua kifurushi na anatumia simu tu. Kwenye kifurushi anachopewa labda lets say 4gb za wiki za tigo kwa tshs 5k anatumia siku ya kwanza na ya pili anaanza kutumiwa msg hauna salio la kutosha kupata huduma ya internet.
Anaangalia salio anaona ana 3gb balance. Lakini cha ajabu simu ilikuwa na vocha ya 1200 nayo imeliwa.
Anapiga tigo na kuanza kulalamika ila 1200 hairudi. Watampiga kiswahili apande hasira akate simu.
Halotel na Smile hawana huo ujinga ila tigo na voda ni shida.Binafsi ninatumia voda, halotel na smile
Sijawahi kupata tatizo lolote la ufujaji wa data.
Huko tigo sijawahi kutumia kwa hio opinions nawaachia
proof?Nimeweka mfano wa wagebill ya ke na ya tz kwa same personnel umeona? Mishahara ya tz na kenya tofauti sana. Regional SMM wa safaricom kenya anacholipwa na Regional SMM wa voda tanzania ni tofauti. That means ku operate tz ni cheap kiasi kuliko kenya...
Dakika moja ya 4k video youtube ni around 300mb, unahitaji dakika 12 tu kumaliza kifurushi cha 4gb ukiwa na simu yenye 4k na mtandao wa 4g.Umegeneralize. Kuna watu wanalalamika kuibiwa na hata PC hawana. Hebu fikiria scenario hii...
Grassdoor hata data hawana. Tazama hapo based on 2 salaries, based on 1 salary.proof?
hii site inaonesha mishahara yao kama huku tu na tena kwengine kama midogo zaidi.