Je, mtandao wa Smile umefunga virago Tanzania?

dakika moja ya 4k video youtube ni around 300mb, unahitaji dakika 12 tu kumaliza kifurushi cha 4gb ukiwa na simu yenye 4k na mtandao wa 4g.

na zikiisha hizo gb frasturation zote unazimalizia kwenye mtandao wa simu.
Kwa ubishani wa hivi 2022 itatukuta bado tunabishana tu. Elewa mfano nilotoa. Mtu amenunua gb4 kabakiwa na vocha kwenye simu akatumia internet akapata ujumbe kuwa ameishiwa kifurushi. Anaangalia salio anakuta bado ana gb3 balance ya kifurushi ila vocha ilokuwa imebakia kwenye simu imeliwa.
 
dakika moja ya 4k video youtube ni around 300mb, unahitaji dakika 12 tu kumaliza kifurushi cha 4gb ukiwa na simu yenye 4k na mtandao wa 4g.

na zikiisha hizo gb frasturation zote unazimalizia kwenye mtandao wa simu.
Mkuu kwa mtaji huo hizo android tv hazina mpango huko TZ,dk 1 mb 300!!mkuu [emoji23]
 
stil haimaanishi kama ameibiwa, wabongo hawa hawa wanaodaiwa vitu kibao na mitandao ya simu? akiambiwa bonyeza hivi anabonyeza, tuma namba hii anatuma, ame subscribe service kibao, kuna uwezekano salio kuenda bila hata kutumika na net.
 
stil haimaanishi kama ameibiwa, wabongo hawa hawa wanaodaiwa vitu kibao na mitandao ya simu? akiambiwa bonyeza hivi anabonyeza, tuma namba hii anatuma, ame subscribe service kibao, kuna uwezekano salio kuenda bila hata kutumika na net.
Na huo wa bonyeza hivi weka hivi nao wizi. Unajua kiswahili kina maneno mengi ila mwisho ni wizi. Kuna kujipatia pesa kwa njia ya ulaghai, kujipatia pesa kwa njia ya utapeli, kujipatia pesa kwa udanganyifu, kujipatia pesa kiujanjaujanja tu zote ni kutumia undue influence kujitwalia mali.

Kwenye sheria za mikataba kutumia undue influence kumuingiza mtu kwenye makubaliano ambayo asingeingia kama isingetumika huweza kufanya makubaliano hayo kuwa null and void. Sema tu bongo hakuna anaefuatilia kivile.
 
4k streaming unahitaji unlimited internet kama zuku, otherwise uangalie tu 480p tena kimachale.

kuna codecs mpya za Av1 zitapunguza punguza ulaji bundle.
Hivi zuku network coverage yao inafika nje ya mji?
 
Naomba kujua bei ya vifurushi vya internet huko marekani, ulaya na ughaibuni.
Bei zozote iwe gb au tb au unlimited.
 
mkuu mimi ni kati ya watu waliopata bahati kushuhudia revolution ya mobile data hapa Tanzania, tunadekezwa sana mpaka tunajisahau...
Nina laini yao Safaricom, Aisee kweli asikwambie mtu bando bei ni mkasi sana heri ndugu zao wa hapa nchini voda...
 
Umegeneralize. Kuna watu wanalalamika kuibiwa na hata PC hawana. Hebu fikiria scenario hii...
Mkuu huu wizi wa tigo wa kula salio ilihal mtu una bando la internet na umeset ile huduma ya kuzuia salio kuliwa bila ruhusa nmewalalamikia na kuwatusi mpaka walifikia uamuzi wa kuniondolea vifurushi vyao vyote kwenye laini zangu 2 yaani sijui wamenikoma au wanajidanganya tu uhalisia ni wezi sana tigo.
 
Nina laini yao Safaricom, Aisee kweli asikwambie mtu bando bei ni mkasi sana heri ndugu zao wa hapa nchini voda...
Sasa ununue ya voda south ndio utaelewa vzr. Huwa haya makampuni yanapofanya pricing yanakokotoa total direct cost ya kutoa 1 sec of airtime ama 1kb of data then wanapanga bei ya kuuzia hiyo 1sec of airtime ama 1kb of data.

Garama za kuiendesha voda tz na za kuiendesha voda south ni tofauti.
 
Vipi wasifu wa Zantel maana mwaka 2006 nilikuwemo humo hadi vocha zao zilipokosekana na kontena lao pia wakafunga nikaamua kutunza laini hadi walipoifunga ila niliipenda sana. 0773142427

Yaani hizo namba zinaniuma sana ingawa hazintii madonda.

Sent from my cupboard using mug
 
Sasa ununue ya voda south ndio utaelewa vzr. Huwa haya makampuni yanapofanya pricing yanakokotoa total direct cost ya kutoa 1 sec of airtime ama 1kb of data then wanapanga bei ya kuuzia hiyo 1sec of airtime ama 1kb of data...
moja ya vitu ambavyo vinauzwa kwa bei kubwa zaidi bongo ni data.

usiingize offa hizi tunazopewa.
1gb data ni $5 yaani nje ya virushi.
sasa sijajua hoja yako hii ambayo ni kweli kabisa,inafit vipi hapo.
 
Ila asili ya sekta ya mawasiliano nchi nyingi zina kampuni moja mbili ama tatu kubwa wengine wanabaki kuwa wasindikizaji tu.

USA
1. AT &T
2. Verizon

UK
1. Vodafone

Tanzania
1. Voda
2. Tigo
3. Airtel

Kenya
1. Safaricom
2. Airtel

China
1. China Mobile
2. China Telecom
3. China Unicom

Kwaiyo soko likiwa na players wengi wengine nature inawaondoa.
 
moja ya vitu ambavyo vinauzwa kwa bei kubwa zaidi bongo ni data.

usiingize offa hizi tunazopewa.
1gb data ni $5 yaani nje ya virushi.
sasa sijajua hoja yako hii ambayo ni kweli kabisa,inafit vipi hapo.
Data packages/bundles sio offers ni mfumo wa kuuziana data upo nchi kibao ikiwemo china
 
Mabishano yenu yananikumbusha miaka ya nyumba mtu ananifanyia interview akaniambia nimueleze kwa uelewa bts ilivyo... ss mimi nikamuelezea inavotakiwa kuwa (ambapo za gsm na cdma zinakidhi) akaniambia nimueleze na zilivyo kiuhalisia...ss mm nlijifunzia sana za cdma ambazo ni current(wakat huo) nlipomueleza wakaanistopisha kwa kebehi wakisema mi sijui kitu nawadanganya...... sasa kwa kuwa wao ni mainjinia pale wakaninyima kazi.

Nlikuja kugundua jamaa hawajajiupdate......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…