miamiatz
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 505
- 941
Kwa ubishani wa hivi 2022 itatukuta bado tunabishana tu. Elewa mfano nilotoa. Mtu amenunua gb4 kabakiwa na vocha kwenye simu akatumia internet akapata ujumbe kuwa ameishiwa kifurushi. Anaangalia salio anakuta bado ana gb3 balance ya kifurushi ila vocha ilokuwa imebakia kwenye simu imeliwa.dakika moja ya 4k video youtube ni around 300mb, unahitaji dakika 12 tu kumaliza kifurushi cha 4gb ukiwa na simu yenye 4k na mtandao wa 4g.
na zikiisha hizo gb frasturation zote unazimalizia kwenye mtandao wa simu.