Ndugu zangu habari zenu wote kwa ujumra mimi ni mgeni katika Forum hii ila nina penda kujumuika nanyi katika kujadili mambo mbalimbali yahuusio maendeleo ya nchi yetu, ukizingatia Siasa uwezi kuitenganisha na uchumi :
Mimi nadhani mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete anafaa kuwa Rais wetu kwa sababu hii: Mambo makubwa ya kiuchumi na kisiasa aliyo yatengenezea mazingira mpaka kutokea au mpaka kuwezekana katika nchi hii changa kidemokrasia na kiuchumi.
Tangu uhuru sasa ni miaka 49, Lini tumepata Elimu ya kujitambua? lini tumepata uwezo wa kujitegemea kiuchumi bira ya mikopo kutoka nnje? nani anaweza kuwa Rais na asifanye aliyoyafanya Kikwete? tangu uhuru ni awamu nne tu za madaraka ya urais, ni lazima tukubaliane kuwa PRESIDENCY IS NOT A PERSON BUT AN INSTITUTION. uwepo wa kikwete madarakani leo ni Siasa ya Mwl. Nyerere kama, kama ulikuwa hujui!!!
So chakufanya nikusomesha watoto wetu waje wawe taifa bora la kesho, tuachane na kulalama ovyo bila ya kuwa na ushaidi
Chaguwa CCM chagua KIKWETE na MUENZI BABA WA TAIFA