Elections 2010 Je, Mtanzania gani anafaa kuwa Rais wetu 2010?

Elections 2010 Je, Mtanzania gani anafaa kuwa Rais wetu 2010?

Nani anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2010-2015?

  • Jakaya Mrisho Kikwete (CCM)

    Votes: 591 23.9%
  • Willibrod Slaa (CHADEMA)

    Votes: 1,785 72.1%
  • Ibrahim Lipumba (CUF)

    Votes: 89 3.6%
  • Hashim Rungwe (NCCR-Mageuzi)

    Votes: 7 0.3%
  • Mutamwega Mugahywa (TLP)

    Votes: 7 0.3%

  • Total voters
    2,475
  • Poll closed .
Karaha karaha jamani watanzania tuamke amuoni wenzetu Kenya mbona KANU ilienguliwa na chama kingine kikashika hatamu mbona wameweza mambo mengi mpaka wamebadilisha na katiba CCM haifai watanzania imebaki kuegemea kwa marehemu Baba wa Taifa hili JK nyerere CCM hii ni ya matajiri,wala rushwa pia ahadi kedekede na kutumia fedha za umma kwa masrahi yao binafsi kama kununua mashangingi,na kufanyia kampeini za chama tujaribu kwingine ccm basi tena SLAA ndiye MUSSA mpya wa Taifa hili ambalo ni tajiri lakini ccm imelifanya kuwa masikini huku wageni wakineemeka kama wahindi,wachina tujiulize jamani kama Tanzania ni masikini kwanini wageni wakija wanatajirika tena mapema sana ndani ya nchi yetu kwanini sisi wazawa jibu ni kwamba ccm inawajari wageni kuliko watanzania na inawasaidia kwa kila mbinu kupata utajiri huku ikiwagandamiza wazawa tumechoka CHADEMA OYEEEEE! chagua Dr.SLAA chagua CHADEMA Mungu umbariki Dr.SLAA Mungu ibariki TANZANIA na watanzania woote wapendao mabadiliko kwa masrahi ya watanzania wote na nchi nzima kwa ujumla AMEN
 
Duh!! Hizi kura, zingekuwa vile zinavyopigwa humu kwenye vyombo mbalimbali vya habari kuanzia magazeti na forums kama hizi ndivyo uhalisia utakavyokuwa kwenye upigaji kura wa October, basi ingekuwa imetosha kwa JK kuijtoa katika kinyang'anyiro. Na kwa mwendelezo huu wa upigaji kura, ni wazi kwamba CCM haipendwi na wasomi walio wengi.
 
mtanzania ambaye anaweza kuingoza nchi hii ni yule ambaye anajua shida za wananchi wake,pia hoja ya mheshimiwa Dk.slaa kuwa na mawaziri wengi wakati wananchi wake ni wachache nayo haitakiwi kwani ni pesa nyingi sana zintumika wakati nchi kama marekani ina watu takribani 300 lakini viongozi ni wachahekwanini wasiwe na maendeleo haya ndugu yangu nimegundua kuwa wasomi wengi hasa sisi wana JF hatupigi kura sasa twendeni tukapige kura oct 31 na kumchagua DK. slaa tuweze kupata kile tunacho kitaka.
 
wasomi tuwashawishi na wengine tuweze kukiengua chama cha mafisadi hiki kwani kinazidi kutunyonya tu.haya sasa basi acheni tujaribu kwa SLAA naye tuone ana nini cha kutufanyia sisi,hata hivyo nimechishwa na CCM kwani mimi tangu nakua mpaka sasa naweza kupiga kura ni hikhiki chama.haya sasa CHADEMA OYEEEEEEE! DK. SLAA OYEEEEEEEEEEEEEEEE! changua chadema chagua DK.SLAA
 
Ndugu zangu habari zenu wote kwa ujumra mimi ni mgeni katika Forum hii ila nina penda kujumuika nanyi katika kujadili mambo mbalimbali yahuusio maendeleo ya nchi yetu, ukizingatia Siasa uwezi kuitenganisha na uchumi :

Mimi nadhani mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete anafaa kuwa Rais wetu kwa sababu hii: Mambo makubwa ya kiuchumi na kisiasa aliyo yatengenezea mazingira mpaka kutokea au mpaka kuwezekana katika nchi hii changa kidemokrasia na kiuchumi.

Tangu uhuru sasa ni miaka 49, Lini tumepata Elimu ya kujitambua? lini tumepata uwezo wa kujitegemea kiuchumi bira ya mikopo kutoka nnje? nani anaweza kuwa Rais na asifanye aliyoyafanya Kikwete? tangu uhuru ni awamu nne tu za madaraka ya urais, ni lazima tukubaliane kuwa PRESIDENCY IS NOT A PERSON BUT AN INSTITUTION. uwepo wa kikwete madarakani leo ni Siasa ya Mwl. Nyerere kama, kama ulikuwa hujui!!!

So chakufanya nikusomesha watoto wetu waje wawe taifa bora la kesho, tuachane na kulalama ovyo bila ya kuwa na ushaidi

Chaguwa CCM chagua KIKWETE na MUENZI BABA WA TAIFA
 
twaitaji kiongozi atakaetuonyesha njia na kutuongoza katika kupigana na umaskini wa auna yoyote ile na atakaetumia rasilimali za nchi kwamanufaaa ya wote na si kwamanufaa yake na mkewe na ndugu zake wengine.
 
kuhusu anayetufaa kwa uraisi ni yule mwenye utii kwa wananchi wake na matatizo yao.........
 
Hizi kura wanapiga wana CHADEMA, lakini nakuhakikishieni kuwa Jakaya Mrisho Kikwete ndiye Rais wa Tanzania na atapata zaidi ya Asilimia 70.
 
Wadau,

Nimekuwa nikifuatilia mijadala inayoendelea katika forum hii. Nataka kutoa changamoto kwa wadau wenzangu ili tujadili swali lifuatalo:

Je, ni mtanzania gani ana SIFA na VIGEZO vya kuiongoza Tanzania? Wachangiaji wanaweza kupendekeza majina MATATU.

Itakuwa vyema kama wachangiaji watatoa sababu zinazowafanya watoe mapendekezo hayo?

Nawasilisha hoja:

UPDATE:

Majina Matatu (makubwa) Yaliyopendekezwa:

  1. Jakaya Kikwete - CCM
  2. Willibrod Slaa - CHADEMA
  3. Ibrahim Lipumba - CUF
Mie naamini ni wakati sasa tuwamwage CCM na mauza-uza yao, tuweke mtu wa chama kipya. Hata kama na yeye atakula nchi lakini itakuwa katika level dhaifu kuliko hawa jamaa wa CCM, wana efficiency kubwa sana katika kula nchi kiasi kwamba ningekuwa na 'means' ningeshaleta balaa hapa nchini.....:eyebrows:
 
Hizi kura wanapiga wana CHADEMA, lakini nakuhakikishieni kuwa Jakaya Mrisho Kikwete ndiye Rais wa Tanzania na atapata zaidi ya Asilimia 70.

Huna lolote ndugu yangu, we tushakujua ni CCM damu.. na mwaka huu hamna chenu. Amini usiamini pamoja na umafia wenu wa kuiba kura, you won't make it this time.
Na ikibidi, nakuhakikishia ule usemi wa kuwa 'at times we need to destroy peace in order to attain peace' utakuwa applicable. Mi niko tayari kabisa.
 
Some of the posts are so disturbing, are we (Tanzanian) real that shallow?
 
Hiyo utaratibu kumweka Kikwete namba 1 hapo siyo prejudice? Nimegundua pia kuwa forum hii ina wanachadema wengi sana. Kura zingepigwa hivi mtandaoni kweli Slaa angekuwa rais. Kwa bahati mbaya wapiga kura walio wengi wako vijijini, hawajui computer wala facebook na vinavyofanana navyo. Bahati mbaya zaidi, hawa wanaopiga kura huku mtandaoni hawatapiga kura October 31 kwa sababu kuu mbili: hawakujiandikisha, na pili, wako nje ya nchi au nje ya vituo walivyojiandikishia. Kwa mfano wanafunzi wa vyuo vikuu vingi ambao ndio wanaoelekea kumwelewa sana Dr Slaa, hawatapiga kura kwa sababu vyuo vitafunguliwa baada ya uchaguzi kumalizika.
 
MTU B nimekukukubali sana!!!!!!!!!!!! hoja yako ni ya msingi sana! imefika wakati hapa forum hata kujadili hoja za msingi imekua vigumu! watu wenye mlengwa wa chadema hata tu kujadili mambo kwa uhalisia hawawezi wamezidisha mahaba sana! jamani hapa tunafurahisha genge tu ccm lazimaitashinda wamejipanga kuanzia ngazi ya kaya hadi kitaifa! chadema haijasimamisha wagombea ubunge zaidi ya majimbo 150 sasa wanashinda kwa nguvu za giza au kwa mazingayombe! jamani mipangaoooooooooooo inatakiwa tutashabikia lakini wote tunajua oktoba 31 nini kitatokea!!!!!
 
tanzania we need a dictator who will be patriotic the one who will lay down foundations that will help the current and future generations..raisi amabaye ana uwezo wa kufanya maamuzi magumu na mazito na kuyasimamia..asiekua na marafiki kupitiliza utaifa wa watu wake.
 
Mmeanza mambo gender issue mda si mrefu mtarudi kwenye udini mwishowe kumalizia na UKABILA!!!:eek2:
 
Back
Top Bottom