Raia Wa Tanzania, mwenye miaka zaidi ya 35, ana akili timamu, hajawahi kushtakiwa kwa uhalifu, na anayependekezwa na chama cha siasa.
Pr Lipumba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Raia Wa Tanzania, mwenye miaka zaidi ya 35, ana akili timamu, hajawahi kushtakiwa kwa uhalifu, na anayependekezwa na chama cha siasa.
Mie naamini ni wakati sasa tuwamwage CCM na mauza-uza yao, tuweke mtu wa chama kipya. Hata kama na yeye atakula nchi lakini itakuwa katika level dhaifu kuliko hawa jamaa wa CCM, wana efficiency kubwa sana katika kula nchi kiasi kwamba ningekuwa na 'means' ningeshaleta balaa hapa nchini.....:eyebrows:Wadau,
Nimekuwa nikifuatilia mijadala inayoendelea katika forum hii. Nataka kutoa changamoto kwa wadau wenzangu ili tujadili swali lifuatalo:
Je, ni mtanzania gani ana SIFA na VIGEZO vya kuiongoza Tanzania? Wachangiaji wanaweza kupendekeza majina MATATU.
Itakuwa vyema kama wachangiaji watatoa sababu zinazowafanya watoe mapendekezo hayo?
Nawasilisha hoja:
UPDATE:
Majina Matatu (makubwa) Yaliyopendekezwa:
- Jakaya Kikwete - CCM
- Willibrod Slaa - CHADEMA
- Ibrahim Lipumba - CUF
Hizi kura wanapiga wana CHADEMA, lakini nakuhakikishieni kuwa Jakaya Mrisho Kikwete ndiye Rais wa Tanzania na atapata zaidi ya Asilimia 70.