jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,329
- 25,263
Sheick Yahya alitabiri ni mwanamke angeshinda,aliposhinda JK ,akasema NO ni mwenye haiba ya kike...Mimi sijui hata ni vigezo gani tunavitumia wakati wa kumchaguwa rais,hata hivo sidhani kama tunatumia vigezo sahihi....Kwamba JK atashinda hilo si ajabu endapo ni wapiga kura wale wale watakaopiga kura kwa mara nyingine, in order kupata rais mpya ni lazima kuwe na sustainable amount of new voters kwasababu CCM ina wanachama milioni 4,na Tanzania ina wananchi zaidi ya Milioni 40.