Elections 2010 Je, Mtanzania gani anafaa kuwa Rais wetu 2010?

Elections 2010 Je, Mtanzania gani anafaa kuwa Rais wetu 2010?

Nani anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2010-2015?

  • Jakaya Mrisho Kikwete (CCM)

    Votes: 591 23.9%
  • Willibrod Slaa (CHADEMA)

    Votes: 1,785 72.1%
  • Ibrahim Lipumba (CUF)

    Votes: 89 3.6%
  • Hashim Rungwe (NCCR-Mageuzi)

    Votes: 7 0.3%
  • Mutamwega Mugahywa (TLP)

    Votes: 7 0.3%

  • Total voters
    2,475
  • Poll closed .
Sheick Yahya alitabiri ni mwanamke angeshinda,aliposhinda JK ,akasema NO ni mwenye haiba ya kike...Mimi sijui hata ni vigezo gani tunavitumia wakati wa kumchaguwa rais,hata hivo sidhani kama tunatumia vigezo sahihi....Kwamba JK atashinda hilo si ajabu endapo ni wapiga kura wale wale watakaopiga kura kwa mara nyingine, in order kupata rais mpya ni lazima kuwe na sustainable amount of new voters kwasababu CCM ina wanachama milioni 4,na Tanzania ina wananchi zaidi ya Milioni 40.
 
Kazi gani za maana zinapatikana facebook wewe? Labda ma stripper....na ma model na mambo mengine ya burudani...

Inaelekea unashinda JF na zeutamu hivyo unapitwa....Makampuni yana recruit facebook sikuhizi fuatilia wewe.
 
Kwahiyo hilo ni andiko kuwa lazima jk ahsindwe 2010?....unajua mkisema na itakuwa kweli lakini kama mna nia ya change!...sidhani kama atashinda....

Kelly!

Ni hali halisi hiyo lazima atapita tu JF ukiacha matatizo yote! Sidhani kama jamii nzima ina uelewa jinsi nchi ipo kwenye hali gani mfano fisadiz and such.
Mwanamke bado kuanza mwakani,ni vyema tumkapenie 2015! Au unasemaje?
 
Kwahiyo hilo ni andiko kuwa lazima jk ahsindwe 2010?....unajua mkisema na itakuwa kweli lakini kama mna nia ya change!...sidhani kama atashinda....

Hmmm siasa za Tanzania unazijua ama unazisikia? Mpaka sasa sijaona mpinzani wa kusimama na JK na kumshinda pamoja na madudu yote yaliyotokea katika kipindi cha uongozi wake.
 
Hmmm siasa za Tanzania unazijua ama unazisikia? Mpaka sasa sijaona mpinzani wa kusimama na JK na kumshinda pamoja na madudu yote yaliyotokea katika kipindi cha uongozi wake.

Uncle I

This is stereotype kind of thinking....sijawahi ona Raisi hopeless kama tulienaye na bado tunaamni atashida tena 2010? hakuna haja basi ya kupiga kura.....Madagascar wametuonyesha njia...unafikiri tukiamua tunashindwa mtoa huyu Muungwana?
 
Kelly!

Ni hali halisi hiyo lazima atapita tu JF ukiacha matatizo yote! Sidhani kama jamii nzima ina uelewa jinsi nchi ipo kwenye hali gani mfano fisadiz and such.
Mwanamke bado kuanza mwakani,ni vyema tumkapenie 2015! Au unasemaje?

2010 ulikuwa wakati muafaka sema bado tuna ile steroype kuwa lazima jf atashinda na siyo kama watu hawaoni matatizo ya mafisad ni kwamba hawataki kuyaongelea bado uhuru wa kuongea hatuna tunaogopa....
ila kama ulivyosema its too late now...ila i am very ready to kampeni for a woman next 2015..hope a lot of women will be with me on this...i knowbelinda you got my back!...we came waaay far au siyo.
 
Wewe si umemuunga mkono Mangi...au hujui ulichokuwa unakiunga mkono kighosti Kelly?

of course najua nilichomuunga mkono Jmushi ni kutokana na ufinyu wako wa kutojua kuwa networking siyo necessarily kwa mambo ya uchafu a lot fo people wanatumia kwa mambo mengi proffesional wise...got it Ghosti!
 
Hehehehehe...heheheheeee
 
Wewe si umemuunga mkono Mangi...au hujui ulichokuwa unakiunga mkono kighosti Kelly?

Ameunga mkono kuwa si kazi za ustripper na umodel peke yake na ameshangazwa kwamba unaidhalilisha facebook na huku huna vigezo vya kufanya hivyo....Kwasababu kama umefuatilia na kujua kuwa mastripper wanapata kazi facebook,then nashangazwa kwanini hukujua kuwa kuna kazi nyingine zaidi ya hizo.
 
Sidhani Hillary aliangushwa na wanawake wenzake. Obama proved to be simply the best candidate of them all, claims of his inexperience notwithstanding.
 
Kazi gani ya maana mtu unaweza kupata kupitia facebook? Kwa mfano, u company attorney...u underscretary general wa UN....u Operations Analyst Wells Fargo & Co...etc...etc
 
Sidhani Hillary aliangushwa na wanawake wenzake. Obama proved to be simply the best candidate of them all, claims of his inexperience notwithstanding.

Huo ni uchokozi wa makusudi kabisa.....
 
Uncle I

This is stereotype kind of thinking....sijawahi ona Raisi hopeless kama tulienaye na bado tunaamni atashida tena 2010? hakuna haja basi ya kupiga kura.....Madagascar wametuonyesha njia...unafikiri tukiamua tunashindwa mtoa huyu Muungwana?

Sasa si muamue mumtoe ebo, tangu mwaka 1995 mpaka leo story ni zile zile wagombeaji ni wale wale what does that tell you kuhusu siasa zetu?
 
Sasa si muamue mumtoe ebo, tangu mwaka 1995 mpaka leo story ni zile zile wagombeaji ni wale wale what does that tell you kuhusu siasa zetu?

it tshowes how stupid we are and we are so cared na hatutaki ko-move foward kama raisi wetu mwenyewe alivyosema kuwa he will continue to do the same na wananchi wake pia hawana tatizo na hilo ndiyo maana watamchagua tena 2010...
 
Back
Top Bottom