Siamini sana kwasasa kama CCM ndicho chama kinachoweza kututoa tulipo, Japo nakiri kuwa CCm ndicho chama chenye raslimali watu wenye uwezo mkubwa na kawingi kuliko chama kingine chochote.Shida kubwa watu hawa wamegawanyika sana na kila moja au kundi wanatumikia maslahi yao tofauti na hawana mpango na ustawi wanchi,hili nipigo kubwa ambalo ndiyo linalonipashaka kwamba watu hawa(CCM) hawawezi kuisaidia nchi vinginevyo tutaumia zaidi.Si hivyo tu bali hatauwezo wao wakutatua matatizo yao ndani kwa ndani nautilia shaka hii ni kutokana na kuwa na maslahi tofauti na yenye upana sana ambapo kila ukijaribu kutatua kwa njia hii huwezi kwani unagusa maslahi ya mtu fulani au kundi fulani ambalo haliko tiyari kupoteza maslahi yake.
Lakini pia naonabado kuna mapungufu kadhaa kwenye vyama vinyobaki nakiasi napata taabu kusema nani anafaa kuwa rais wa awamu hii bila kujali jinsia, japo nachelea kusema bora wapinzani kuliko waliopo.nafikiri akili inanituma tujaribu nawenyewe ili nao wakue pale watakapokuwa wakikumbana na challenge madarakani huko nawenzao wakijifunza,pengine natoa wazo hili lisilolakiutafiti kwasababu ya kukataa tamaa na waliopo, lakini si watu wanaweza najipa moyo.
Rai yangu kwa WATANZANIA 2010, tuweke mbali nasi kadi za vyama vyetu, kwani bado vyama havijatuonyesha kama vinaweza kutusaidia nadhani ni mtu binafsi mwenye uwezo na maamuzi ndiye anaweza kufanya hivyo.Tukiachia vyama na wanasiasa waamue hatima ya maisha yetu nahisi TUMEKWISHA, vinginevyo tumchagua mtu kwa uwezo wake bila kujali chama wala njinsia hapo tunaweza kusalimika, bado tunayo nafasi yakuuona mwanga wa matumaini 2010 tuitumie. Jambo hili lifanyike kuanzia ngazi za chini hadi za juu za utawala.
Kwakiasi fulani tumeona matunda ya kutokumbatia chama, kwani kumekuwepo na mabadiliko ya kimaamuzi na ujengaji wa hoja juu ya watawala, pia tumeona kuibuka kwa mambo ambayo yakisawazishwatunaweza tukapiga hatua. Hivyo basi kuchagua mtu mwenyeuwezo kuna tija na kutapunguza kupitishana ovyoovyo kwa wagombea kwenye ngazi tofauti za kivyama wakati wa uteuzi, WATANZANIA ndio tutakaoamua mtu tunayemtaka na si chama.
Kelly nakushawishi, RAIS tunayemhitaji si mwanaume wala mwanamke bali ni MTU mwenye uwezo kuleta mababiliko na kuwa tiyari kwa maamuzi "magumu", Nasema magumu kwa sababu mengi ya maamuzi yaliyopita yameaamuliwa vibaya na kama atataka kuyanyosha basi lazima atapingana nawaliomtangulia na wanayoyamiliki maamuzi hayao, hiyo si kazi rahisi inahitaji kuwa jasiri na makini.
Natoa hoja.