Je, Mtoto aliyezaliwa nje ya Ndoa anafaa kuitwa Jina la ubini la Baba yake?

Kwa mujibu wa sheria zipi

Toa reference

Nnje hapo kitanda hakizai haramu , na mtoto akishazaliwa ni Mungu kamleta kwa njia zake
 
Yesu hajawahi kuitwa kwa ubin wa mama yake. Yesu (ambaye habari zake zipo kwenye Biblia) aliitwa ubin zifuatazo.

1. Ubin wa Mungu - Yesu mwana wa Mungu , Son of God
2. Ubin wa Adam - Mwana wa Adam, Son of man
3. Ubin wa Babu yake, Daudi - Yesu mwana wa Daudi, Son of David


Aliyeitwa ubin wa mama ni Isa wenu, Usichanganye mambo.
 
Utake usitake au ukubali au usikubali ndio huyo huyo kwenu mnajua kama Yesu
 
Haya tumeshafanya hivyo Sasa na tunaendelea kufanya. mwambie huyo kikaragosi wako aje atuadhibu.
 
Sheikh Kuna Aya ya Qur'an inayosadikisha haya!?
 
Katika Qur'an watoto wa nje ya ndoa wameharamishwa kuitwa majina ya Baba zao

Kwa asili kitu chochote ni halali mpaka kiharamishwe,kwahiyo maadam enzi za Manabii na Mitume hakukuwa na hizo sheria basi ilikuwa ni halali.
Hakuna Aya ya Qur'an inayosema mtoto wa nje ya ndoa si mtoto wa baba
 
Ukiona hatujibu kitu ujue ni cha kipuuzi
Uzi umetembea kwelikweli, watu wamepovukwa kwelikweli, hadi nimeshindwa nichangie nini, ila nimekumbuka maneno ya Imam Aliy Ibn Abii Twaalib aliposema:-

"حدثوا الناس بما يعرفون، أتريدون أن يُكذَّب اللهُ ورسولهُ؟"
Kwamba: Wasemezeni watu kwa wanayoyafahamu, je mnataka akadhibishwe Allah na Mtume wake.

Watu wengi hii mada imewazidi kimo, that's why wameshindwa hata waseme nini, badala yake waneishia kuongea maneno yasiyofaa.

Lakini ukweli ni kwamba hii mada imelenga jambo ambalo linaigusa jamii moja kwa moja, zinaa ni uchafu ulioenea kiasi kwamba wengine wamefikia kuihalalisha au kuona kuwa ni dhambi ambayo haiwezi kuepukika.
Hivyo ukizungumzia uharamu/ubaya wa zinaa na madhara yake unaonekana kama unaongea vitu ambavyo haviingii akilini.

Allah atuhifadhi.
Allah akulipe kheri kaka ETUGRUL BEY
 
Shukrani Sana Msonjo

Igawa ulisema hauna cha kuchangia lakini wallah ulicho changia ni kikubwa mno maana kimebeba au kimeelezea Hali halisi ambayo imeikumba jamii yetu kwasasa.

Zinaa inaonekana ni jambo la kawaida na ni halali kabisa miongoni mwa jamii zetu,ndio maana unakuta watu wanaishi kinyumba na kuzaa watoto kadhaa Bila hofu yoyote wakati wazazi ndugu na jamaa wanaangalia Tu.

Shukrani Sana kaka
 
IPO Zonda nitaileta inshallah
Sheikh haipo,hayo mambo tumebambikiwa na wayahudi ili kututoa kwenye Qur'an maana kuibadili hawawezi,kumbukumbu la torati 23:2 na mistari mingine zaidi ya 13 kwenye bible ndiyo inazungumzia mtoto wa nje ya ndoa,mwanaharamu(bastard)
 
Na huu ndio mtihani, leo zinaa imekuwa inachukuliwa kama jambo la kawaida sana, na unajua kuenea kwa zinaa ni katika mambo makubwa ambayo yanapoteza thamani za ndoa leo hii, yaani watu hawaoni faida ya kuoa au kuolewa.

Mwanaume anakwambia anataka mwanamke amzalie watoto tu basi, na mwanamke nae anataka mwanaume wa kumzalisha tu, halafu atalea mwenyewe( kumbuka mchakato wa kuyakamilisha haya ndio zinaa yenyewe)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…