Je, Mtoto aliyezaliwa nje ya Ndoa anafaa kuitwa Jina la ubini la Baba yake?

Huyo unaye dhani unatumia ubin wake eti ni baba yako siyo kweli,baba yako ni mchuuzi wa samaki na mipango yooote mimi ndo nilikuwa mfanikishaji.
Sema jamaa alikupotezea tu,nadhani kwa akili hizi alifanya maamzi sahihi.

Sawa
 
Kisheria mtoto wa zinaa ni WA mama Tu,tambua au tofautisha juu ya sheria za Dini na nje ya sheria za Dini

Sasa kama unafuata Dini basi tambua mtoto wa zinaa ni WA mama
Mimi nazungumzia sheria ya dini,usikate moja kwa moja keamba mtotobwa zinaa ni wa mama tu,hili ni suala mtambuka lenye ikhtilaaf za wanazuoni.

Usiseme tu kisheria kana kwamba imeisha,by the way mimi naamini kwamba mtotonwa zinaa ni wa baba na mama ambao walizini wakapata mtoto huyo.

Na wala sio wa mama peke yake,lakini pia mpaka sasa naamini kwamba mtoto aliyepatikana kwa zinaa ataitwa kwa jina la baba huyo huyo aliyezini.


Haya ni mambo ya sheria hayakatwi tu bali kila mtu lazima akubali kwamba kuna mtazamo tofauti na wake.
 
Vizuri
 
Chief

Unamaanisha nini?
Sio kila sheria au sharia zimeanzishwa na Mungu mwenyewe, kuna zengine zinalitishwa tu na watu binafsi kwa malengo binafsi ya kibeberu na wanatumia dini wakijua watu wanahofu ya Mungu tu, kuzaliwa nje ya ndoa hakumfanyi mtu awe haramu, hakuna binadamu haramu, haramu ni huyo shehe alie sema huo utumbo
 
Bilashaka utakuwa mhanga,pole sana

Nani amekwambia huyo mtoto anaitwa haramu?
 
Hakuna hitilafu yoyote juu ya Hilo,usijipe moyo chief

Haki itabakia kuwa haki siku zote

Ndio nyie mnaozesha watoto wenu WA kike WA nje ya ndoa na dhambi zinakuwa juu yenu
 
Bilashaka utakuwa mhanga,pole sana

Nani amekwambia huyo mtoto anaitwa haramu?
Exactly my father is a bitch, ni mtoto, wake wa kwanza and he left us for dead, anafamilia ingine, thanks to God amenibless i can make 100 times more than he is making for a leaving na ninatumia jina lake kama ubini je ni kosa? Kwa sheria ya dini ipi? Imeandikwa wapi? Comments za post yako hii nyingi zinasema ni haramu ndio mana nika stand againts hizo comments, ok lets says situmii jina lake does it make any different kwamba sio mwanae,? There is no point kwenye hiyo mada yako, na waisilamu ndio wana mada hizo za kisenge senge
 
Hizo ni tamaduni za waarabu, wewe mweusi zinakuhusu nini?
 

Naelewa machungu yako ya kuachwa na Baba yako,pole Sana, lkn hii haikufanyi uweze kututukana chief.

Unaweza nionyesha sehemu katika comment zangu nimeandika mtoto haramu au neno haramu?

Kama wewe ni muislamu,naamini wewe hujajipa Hilo Jina la ubini Bali umelikuta so sio kosa lako,lkn kama wewe sio muislamu basi usiseme hizo sheria hakuna katika Uislamu unakosea.
 
Umeongea vyema na sahihi kabisa ila ukaharibu sehemu ndogo tu ila mbaya sana (kisenge senge).
 
Mtoa post mbona nilimwambia mapema tu sema anafikiria vya kurithi badala ya kutafuta vya kwake.
Sasa kwakuwa anajua kuna nduguye kutoka kwa mama mwingine anakuja mbiombio huku JF.

Tafuta pesa kijana,baba yako katimiza wajibu wake mpaka kakufikisha hapo.
Vinginevyo watoto wako utawarithisha MAGONJWA na MADENI.
 

Ni wapuuzi kama wewe Tu mnaweza kuwaza mambo kama hayo.

Hapa nazungumzia sheria za Dini ya kiislamu,kuwazindua waislamu wenzangu wasifanye makosa na kufuata haki,hlf wewe unakuja na mambo ya urithi na upuuzi kama huo?

Post nyingine ima soma kimya na tembea au achana kabisa, Linda heshima yako hata kama Una utambulisho bandia
 
Haramu ni haramu uwezi ita jina la ubini wa kao baba kwa mtoto haramu uyo anapewa majina ya kwao mama yake sAbu mama yake tyr kashakua haramu
 
Sasa hii dini ya HAKI mbona inakinzana na haki za mtoto kwa makosa ya wazazi wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…