Je, Mtoto aliyezaliwa nje ya Ndoa anafaa kuitwa Jina la ubini la Baba yake?

Je, Mtoto aliyezaliwa nje ya Ndoa anafaa kuitwa Jina la ubini la Baba yake?

Utake usitake au ukubali au usikubali ndio huyo huyo kwenu mnajua kama Yesu
Sio habari za kutaka au kutotaka...Hii ni Fact rahisi tu.

Mfano rahisi: Wewe mwenyewe umesema Isa alitumia ubin wa mama yake( na nukuu za Quran za kuthibitisha zipo)

Ila Yesu alitumia ubin wa mwanaume (kama nilivyokuonesha hapo juu) kama ifuatavyo:

-> Mwana wa MUNGU, Mwana wa ADAM, Mwana wa DAUDI
(na nukuu za Biblia kuthibitisha hilo zipo, ukitaka niweke nitaweka)

Mtu wa 1 anatumia ubin wa mwanamke, wa pili anatumia wa mwanaume... Huyo ni mtu mmoja au watu wawili tofauti?

Kwa akili ya kawaida tu, linakuonesha hao ni watu wawili tofauti

Nb: Halafu sijui Isa aliwakosea nini waislam!! Kwa nini hamupendi kumtambulisha Yeye kama yeye (kama alivyotambulishwa na Quran) kwa kutumia jina lake?
Ana matatizo gani? Hawezi kujisimamia mwenyewe?

Yaani muislam ni rahisi kumtaja Yesu kuliko Isa, ISA ANA MATATIZO GANI?
 
Pole Sana mkuu ndio Hali halisi kwa Sisi ambao tutafuata misingi ya Dini zetu
Misingi wapi?roho mbaya na ushetani Hamna mtoto wa zinaa acha kabisa lugha za kishenzi hizo!! be African Acheni shobo
 
Sio habari za kutaka au kutotaka...Hii ni Fact rahisi tu.

Mfano rahisi: Wewe mwenyewe umesema Isa alitumia ubin wa mama yake( na nukuu za Quran za kuthibitisha zipo)

Ila Yesu alitumia ubin wa mwanaume (kama nilivyokuonesha hapo juu) kama ifuatavyo:

-> Mwana wa MUNGU, Mwana wa ADAM, Mwana wa DAUDI
(na nukuu za Biblia kuthibitisha hilo zipo, ukitaka niweke nitaweka)

Mtu wa 1 anatumia ubin wa mwanamke, wa pili anatumia wa mwanaume... Huyo ni mtu mmoja au watu wawili tofauti?

Kwa akili ya kawaida tu, linakuonesha hao ni watu wawili tofauti

Nb: Halafu sijui Isa aliwakosea nini waislam!! Kwa nini hamupendi kumtambulisha Yeye kama yeye (kama alivyotambulishwa na Quran) kwa kutumia jina lake?
Ana matatizo gani? Hawezi kujisimamia mwenyewe?

Yaani muislam ni rahisi kumtaja Yesu kuliko Isa, ISA ANA MATATIZO GANI?
Chief kuwa na Amani kabisa,kuna mambo mengine tuyaache kama yalivyo.

Kitu ambacho hamkikubali Kwa Isa/Yesu wa Qur'an ni kwakuwa Hana Uungu ambao nyie mmepatia,Mmepa cheo cha Mungu wakati yeye ni mja WA Allah na Mtume wake Tu.

Yesu wa Qur'an hajasulubiwa kama nyie mnavyodai kitu ambacho si kweli, Bali Kwa uwezo wa Allah alibadilishiwa mtu mwingine na wale watesaji wakajua ndio Yesu mwenyewe,mfano mdogo ambao hauhitaji hata kutafakari,wakati Yesu yupo msalabani alikuwa akilalamika Eloi Eloi / bwana bwana mbona umeniacha, sasa kama Yesu ni Mungu kama mnavyosema je alichwa na Nani Kwa kutokombolewa kwenye Yale mateso?

Yesu kuna wakati alikuwa anawaacha wanafunzi wake na kwenda sehemu kusujudu Kwa Mola wake,kama yeye ni Mungu kama mnavyodai je alikuwa anamsujudia Nani?

Je hamfikirii juu ya huu utata? Je Yesu mwenyewe ameshawahi jiita Mungu yeye kama yeye kutoka kauli yake?

Sasa Yesu/ISA WA Qur'an ataulizwa siku ya hukumu je wewe na mama yako mliwaambia watu Wawa abudu? Atasema laa hasha Mimi sikuwa pamoja nao wakati wanafanya hayo na wewe ni Shahidi juu ya Yale niliyo wafikishia.

Sasa hapo unaona mkristo atatumia gharama yoyote ampinge ISA kuwa siyo Yesu kwasababu uwongo wote upo hadharani.

Na kuhusu ISA na wakati tunamuita Yesu Kwa AJILI ya kuwazindua nyie mliyepotea na Imani yenu potofu juu ya Yesu kuwa Ni Mungu,si umeona hapo nikitaja ISA kuwa Ni Yesu unapagawa na kutokwa na povu.

Na hata baada ya Komenti yangu hii utatokwa na povu balaa,pole Sana chief.

Anyways lengo sio kubishana kwasababu hata ukiamini Yesu sio ISA haini punguzii Mimi chochote wala hauta badilisha ukweli WA Qur'an katika taarifa sahihi dhidi ya upotoshaji mkubwa uliofanywa huko zamani.

Nimefunga mjadala juu ya hili na wewe.

Shukrani.
 
Kwa mujibu wa imani ya kiislamu mtoto ambaye amezaliwa nje ya ndoa hatambuliki Kwa mujibu wa Sheria kama mtoto wa Baba husika.

Kwasababu kizazi au uzao WA familia unatakiwa upatikane ndani ya ndoa ya kisheria au ndoa iliyofungwa Kwa misingi ya Dini,na nje ya hapo huyo ni mtoto wa zinaa ambaye kisheria anatambulika kama mtoto wa mama aliye mzaa Tu.

Ingawa kikawaida atafahamika kama mtoto wa Baba Fulani lkn kidini huyo Baba hatambuliki na hivyo kuna haki Fulani ambazo Baba hawezi kumfanyia mtoto wake.

Moja wapo ni huyo mtoto hafai kuitwa Jina la ubini WA Baba yake,Hilo Jambo ni haramu Sana na Mungu ameshalikemea tayari, ingawa Kwa bahati mbaya Sana Kwa kutojua wengi wamewapa majina ya ubini wao hao watoto wa nje ya ndoa.

Na lingine ni kumuozesha kwenye ndoa, Baba Hana haki ya kumuozesha binti yake WA nje ya ndoa Kwa mumewe kwani ndoa hiyo ni batili na haifai kabisa.

Lingine huyo mtoto hawezi kumrithi Baba yake kwasababu kisheria huyo mtoto sio WA huyo Baba,Bali Baba anaweza kumpa sehemu ya Mali huyo mtoto,lkn mara Tu huyo Baba anapokufa basi huyo mtoto Hana haki ya Kurithi chochote.

Lakini sio vibaya huyo Baba kumhudumia huyo kijana Kwa malezi na mahitaji mbali mbali maadam Tu yeye ndiye sababu ya kuja Hicho kiumbe hapa duniani.

Na mtoto ambaye Hana Baba kisheria anaweza kuitwa Kwa jina la mama yake, Kwa mfano ETUGRUL BEY ASHA au Kwa jina la ubini Kwa upande wa mama yake.

Kubwa ni kutambua uzao mzuri ambao hata kizazi chako kinaweza pata haki stahiki ni kizazi ambacho kinatokana na ndoa takatifu ambayo IPO Kwa mujibu wa Sheria.

Na hata wale ambao wanafunga ndoa za kiserikali basi watambue kidini Hicho kizazi Chao hakitambuliki na Sheria za Dini Kwa maana Baba Hana watoto hapo Ila watoto ni WA mama.

Ni hayo Tu!

Kazakh destroyer
Msonjo
Nurain
adriz
professional Driver
baby zu
Kwa upande wa waislamu hili suala lina maoni tofauti baina ya wataalamu wa dini.

Kuna wataalamu wa dini wanasema mtoto ataitwa jina la huyo huyo baba ,na wengine watasema hatoitwa.
 
Kwa upande wa waislamu hili suala lina maoni tofauti baina ya wataalamu wa dini.

Kuna wataalamu wa dini wanasema mtoto ataitwa jina la huyo huyo baba ,na wengine watasema hatoitwa.
Qur'an Wala haikubagua mtoto wa nje au ndani ya ndoa,haya mambo yanatoka huko kwenye vitabu vingine ambavyo vina mikono ya kiyahudi,tunapotoshwa Sana kwa kutozingatia Qur'an
 
Qur'an Wala haikubagua mtoto wa nje au ndani ya ndoa,haya mambo yanatoka huko kwenye vitabu vingine ambavyo vina mikono ya kiyahudi,tunapotoshwa Sana kwa kutozingatia Qur'an
Na ndio maana kuna tofauti ni kwa sababu hakuna kauli ya wazi kwenye qurani ambayo jmekataza mtotobwa zinaa asiitwe jina la baba huyo.

But mimi naamini hakuna ubaya mtotobwa zinaa kuitwa jina la baba aliyemleta duniani kwa mujibu wa hoja ambazo naona zina make sense kwangu
 
H ndio maana kuna tofauti ni kwa sababu hakuna kauli ya wazi kwenye qurani ambayo jmekataza mtotobwa zinaa asiitwe jina la baba huyo.
But mimi naamini hakuna ubaya mtotobwa zinaa kuitwa jina la baba aliyemleta duniani kwa mujibu wa hoja ambazo naona zina make sense kwangu
Hakuna mtoto wa zinaa
 
Na huu ndio mtihani, leo zinaa imekuwa inachukuliwa kama jambo la kawaida sana, na unajua kuenea kwa zinaa ni katika mambo makubwa ambayo yanapoteza thamani za ndoa leo hii, yaani watu hawaoni faida ya kuoa au kuolewa.

Mwanaume anakwambia anataka mwanamke amzalie watoto tu basi, na mwanamke nae anataka mwanaume wa kumzalisha tu, halafu atalea mwenyewe( kumbuka mchakato wa kuyakamilisha haya ndio zinaa yenyewe)
Na mbaya zaidi wanaambiana mtoto ni baraka lkn baraka iliyopatikana nje ya mpango wa Mungu.
 
Nyie ambao mnataka kuhalalisha sijui mtoto wa zinaa anafaa kuitwa Jina la Baba mnachemka Sana.

Nasikitika Sana hiyo Aya nimesahau IPO katika Sura gani,lkn inshallah ntaipata Tu

Wakati huo huo niwaulize je mtoto wa nje ya ndoa ana mrithi Baba yake?

Na je Baba ana mrithi huyo mwanae WA nje ya ndoa?

Naombeni jibu hapa.
 
H ndio maana kuna tofauti ni kwa sababu hakuna kauli ya wazi kwenye qurani ambayo jmekataza mtotobwa zinaa asiitwe jina la baba huyo.

Hakuna mtoto wa zinaa
Are u serious chief?
 
Sheikh pitia upya qadar kwa mujibu wa Qur'an
Okay now nimeelewa ndio maana umeingia chaka chief.

Kwahiyo unataka kuniambia Allah amekupangia kuzini halafu wakati huo huo ameleta Aya anakemea mambo ya zinaa,tena kwakusema msikaribie zinaa na sio msifanye zinaa?
 
Na mbaya zaidi wanaambiana mtoto ni baraka lkn baraka iliyopatikana nje ya mpango wa Mungu.
Na baraka ni kuthibiti kheri katika jambo fulani.
Hivyo chenye baraka kinakuwa na kheri nyingi, and that means kwamba jambo hilo Mwenyezi Mungu ameliridhia ndio maana akalibariki.

Sasa baraka kwenye zinaa na matokeo yake inatoka wapi!?
 
Okay now nimeelewa ndio maana umeingia chaka chief.

Kwahiyo unataka kuniambia Allah amekupangia kuzini halafu wakati huo huo ameleta Aya anakemea mambo ya zinaa,tena kwakusema msikaribie zinaa na sio msifanye zinaa?
Allah anajua kwamba watu watazini,ndiyo maana akaweka moto,na alijua zinaa Kama ngono ya kwenye ndoa inaweza kuleta mtoto,hakuweka Sheria za kimnyima haki huyo mtoto kwa baba yake sababu anajua si kosa lake,ndiyo maana hakuna Aya inayosema mtoto wa nje ya ndoa si mtoto wa mwanaume,hizo ni taratibu za kiyahudi
 
Hujajibu swali Kwanza chief

Ulizungumzia kuwa zinaa ni qadar, je Allah akupangie uzini halafu alete Aya ya kukataza kukaraibia zinaa?
 
Back
Top Bottom