Je, Mtoto aliyezaliwa nje ya Ndoa anafaa kuitwa Jina la ubini la Baba yake?

Kwa mujibu wa imani ya kiislamu mtoto ambaye amezaliwa nje ya ndoa hatambuliki Kwa mujibu wa Sheria kama mtoto wa Baba husika.

Kwasababu kizazi au uzao WA familia unatakiwa upatikane ndani ya ndoa ya kisheria au ndoa iliyofungwa Kwa misingi ya Dini,na nje ya hapo huyo ni mtoto wa zinaa ambaye kisheria anatambulika kama mtoto wa mama aliye mzaa Tu.

Ingawa kikawaida atafahamika kama mtoto wa Baba Fulani lkn kidini huyo Baba hatambuliki na hivyo kuna haki Fulani ambazo Baba hawezi kumfanyia mtoto wake.

Moja wapo ni huyo mtoto hafai kuitwa Jina la ubini WA Baba yake,Hilo Jambo ni haramu Sana na Mungu ameshalikemea tayari, ingawa Kwa bahati mbaya Sana Kwa kutojua wengi wamewapa majina ya ubini wao hao watoto wa nje ya ndoa.

Na lingine ni kumuozesha kwenye ndoa, Baba Hana haki ya kumuozesha binti yake WA nje ya ndoa Kwa mumewe kwani ndoa hiyo ni batili na haifai kabisa.

Lingine huyo mtoto hawezi kumrithi Baba yake kwasababu kisheria huyo mtoto sio WA huyo Baba,Bali Baba anaweza kumpa sehemu ya Mali huyo mtoto,lkn mara Tu huyo Baba anapokufa basi huyo mtoto Hana haki ya Kurithi chochote.

Lakini sio vibaya huyo Baba kumhudumia huyo kijana Kwa malezi na mahitaji mbali mbali maadam Tu yeye ndiye sababu ya kuja Hicho kiumbe hapa duniani.

Na mtoto ambaye Hana Baba kisheria anaweza kuitwa Kwa jina la mama yake, Kwa mfano ETUGRUL BEY ASHA au Kwa jina la ubini Kwa upande wa mama yake.

Kubwa ni kutambua uzao mzuri ambao hata kizazi chako kinaweza pata haki stahiki ni kizazi ambacho kinatokana na ndoa takatifu ambayo IPO Kwa mujibu wa Sheria.

Na hata wale ambao wanafunga ndoa za kiserikali basi watambue kidini Hicho kizazi Chao hakitambuliki na Sheria za Dini Kwa maana Baba Hana watoto hapo Ila watoto ni WA mama.

Ni hayo Tu!

Kazakh destroyer
Msonjo
Nurain
adriz
professional Driver
baby zu
Sie wa afrika bana we damu nzito kuliko maji
 
Hujajibu swali Kwanza chief

Ulizungumzia kuwa zinaa ni qadar, je Allah akupangie uzini halafu alete Aya ya kukataza kukaraibia zinaa?
Kama nimesema zinaa ni qadar Allah anisamehe,naamini sikusema zinaa ni qadar Bali kila mtu aliyepo duniani Allah sw alipanga awepo,hakuna aliyekuja duniani bila Allah kupanga,kajaje...Hilo ni suala jingine
 
Mtoto wa zinaa AKA nje ya ndoa ataitwa kwa ubini wa mamaake , coz hana mkataba na yoyote , open for many, leo huyu kesho yule, kuna uhakika gani mwanaume A ndio biological father ?
 
Una uhakika gani wa kwenye ndoa ni watoto wa mume!?..
 
Hakuna mtoto wa nje wala mtoto wa ndani kwa mwanaume/baba,wote ni watoto....Acheni huo upumbavu wakufuata maandishi na kufanya watoto mliowazaa wenyewe wateseke.
 
Usenge usenge tuu kwa hiyo kisa ndoa au dini havi mfanyi mtoto kuwa halali, zinamfanya kua haramu, dini zimejaa unafki na ujinga ndio maana mashekhe na wachungaji wanakesi za kulawiti,
 
JE kama uhakika upo ?

Mwanamke anakiri kwamba mume huyo ndio kamtoa bikira.

Pia mtoto akatoka kafanana na mume huyo.

Na mume akakiri kwamba alizini.

HApo maana yake uhakika upo kwamba mtoto ni wa fulani.

Wapo watu wanazini na mtu mmoja na kuna malaya wanaozini na watu wengi,ELEWA HII TOFAUTI MKUU.

kuwa mtoto wa zinaa hakuna maana kwamba baba hatojulikana,anaweza kuwa wa zinaa na baba akajulikana pia kama kile kisa cha jurayji

Jurayj ni mchamungu ambaye alisingiziwa kuzini na binti fulani,pakatokea utata yule mtoto mchanga aliyezaliwa akasema kwa uwezo wa Allah kwamba "mimi ni mtoto wa mchunga mbuzi" Allah akamnusuru juraji kutokamana na zinaa na kisha hapo hapo akabainishwa baba wa mtoto yule aliyepatikana kwa njia ya zinaa.

Hivyo mtotobwa zinaa anayebaba ila inawezekana kuwa hajulikani tu.
 
Chief

Kuna kitu kimoja naomba ujue,mwenye shamba ndio mwenye mazao yake,yaani mfano Mimi Nina mke hlf wewe ukatembea na mke wangu na kuzaa nae basi ujue huyo mtoto ni wangu Mimi kisheria kwasababu Mimi ndio mwenye mke, mahusiano yangu na mtoto ni ndoa

Ni Sawa Sawa na wewe ukizaa na mwanamke Kwa zinaa,wewe Yule sio mwanao kwasababu kiunganishi chako na mtoto kisheria hakuna,ndio utakuwa biological father lkn kisheria huyo mtoto hatambuliki na sheria ya Dini,hivyo hawezi kukurithi wala wewe huwezi kumrithi hata kidogo .

Ila Kwa mama Hana Shaka kwasababu huyo ni mwanae na wanaweza kurithiana
 
Hakuna mtoto wa nje wala mtoto wa ndani kwa mwanaume/baba,wote ni watoto....Acheni huo upumbavu wakufuata maandishi na kufanya watoto mliowazaa wenyewe wateseke.
Wewe ndio uache upumbavu WA kuzaa ovyo nje ya ndoa
 
Usenge usenge tuu kwa hiyo kisa ndoa au dini havi mfanyi mtoto kuwa halali, zinamfanya kua haramu, dini zimejaa unafki na ujinga ndio maana mashekhe na wachungaji wanakesi za kulawiti,
Hayo ni matatizo Yao lkn Dini inasimamia misingi yake.

Kwahiyo wao wakiharibu ndio Dini nzima imeharibika?
 
JE kama uhakika upo ?

Mwanamke anakiri kwamba mume huyo ndio kamtoa bikira.

Pia mtoto akatoka kafanana na mume huyo.

Na mume akakiri kwamba alizini.

HApo maana yake uhakika upo kwamba mtoto ni wa fulani.

Wapo watu wanazini na mtu mmoja na kuna malaya wanaozini na watu wengi,ELEWA HII TOFAUTI MKUU.

kuwa mtoto wa zinaa hakuna maana kwamba baba hatojulikana,anaweza kuwa wa zinaa na baba akajulikana pia kama kile kisa cha jurayji

Jurayj ni mchamungu ambaye alisingiziwa kuzini na binti fulani,pakatokea utata yule mtoto mchanga aliyezaliwa akasema kwa uwezo wa Allah kwamba "mimi ni mtoto wa mchunga mbuzi" Allah akamnusuru juraji kutokamana na zinaa na kisha hapo hapo akabainishwa baba wa mtoto yule aliyepatikana kwa njia ya zinaa.

Hivyo mtotobwa zinaa anayebaba ila inawezekana kuwa hajulikani tu.
Kisheria mtoto wa zinaa ni WA mama Tu,tambua au tofautisha juu ya sheria za Dini na nje ya sheria za Dini

Sasa kama unafuata Dini basi tambua mtoto wa zinaa ni WA mama
 
Kwa mujibu wa imani ya kiislamu mtoto ambaye amezaliwa nje ya ndoa hatambuliki Kwa mujibu wa Sheria kama mtoto wa Baba husika.

Kwasababu kizazi au uzao WA familia unatakiwa upatikane ndani ya ndoa ya kisheria au ndoa iliyofungwa Kwa misingi ya Dini,na nje ya hapo huyo ni mtoto wa zinaa ambaye kisheria anatambulika kama mtoto wa mama aliye mzaa Tu.

Ingawa kikawaida atafahamika kama mtoto wa Baba Fulani lkn kidini huyo Baba hatambuliki na hivyo kuna haki Fulani ambazo Baba hawezi kumfanyia mtoto wake.

Moja wapo ni huyo mtoto hafai kuitwa Jina la ubini WA Baba yake,Hilo Jambo ni haramu Sana na Mungu ameshalikemea tayari, ingawa Kwa bahati mbaya Sana Kwa kutojua wengi wamewapa majina ya ubini wao hao watoto wa nje ya ndoa.

Na lingine ni kumuozesha kwenye ndoa, Baba Hana haki ya kumuozesha binti yake WA nje ya ndoa Kwa mumewe kwani ndoa hiyo ni batili na haifai kabisa.

Lingine huyo mtoto hawezi kumrithi Baba yake kwasababu kisheria huyo mtoto sio WA huyo Baba,Bali Baba anaweza kumpa sehemu ya Mali huyo mtoto,lkn mara Tu huyo Baba anapokufa basi huyo mtoto Hana haki ya Kurithi chochote.

Lakini sio vibaya huyo Baba kumhudumia huyo kijana Kwa malezi na mahitaji mbali mbali maadam Tu yeye ndiye sababu ya kuja Hicho kiumbe hapa duniani.

Na mtoto ambaye Hana Baba kisheria anaweza kuitwa Kwa jina la mama yake, Kwa mfano ETUGRUL BEY ASHA au Kwa jina la ubini Kwa upande wa mama yake.

Kubwa ni kutambua uzao mzuri ambao hata kizazi chako kinaweza pata haki stahiki ni kizazi ambacho kinatokana na ndoa takatifu ambayo IPO Kwa mujibu wa Sheria.

Na hata wale ambao wanafunga ndoa za kiserikali basi watambue kidini Hicho kizazi Chao hakitambuliki na Sheria za Dini Kwa maana Baba Hana watoto hapo Ila watoto ni WA mama.

Ni hayo Tu!

Kazakh destroyer
Msonjo
Nurain
adriz
professional Driver
baby zu
Habari za uislamu mara ukristo waachie Wazungu na Waarabu. Naomba nikuulize swali km ifuatavyo;
1. Wewe ni jamii gani kati ya hizi?
a) jamii zinazo rithi upande wa mama.
b) jamii zinazo rithi upande wa baba.
 
Usiniambie kuhusu kuwaachia wazungu au waarabu, hii ni Imani yangu kama wewe huna Dini usijishughulishe nazo
 
Kwa mujibu wa imani ya kiislamu mtoto ambaye amezaliwa nje ya ndoa hatambuliki Kwa mujibu wa Sheria kama mtoto wa Baba husika.

Kwasababu kizazi au uzao WA familia unatakiwa upatikane ndani ya ndoa ya kisheria au ndoa iliyofungwa Kwa misingi ya Dini,na nje ya hapo huyo ni mtoto wa zinaa ambaye kisheria anatambulika kama mtoto wa mama aliye mzaa Tu.

Ingawa kikawaida atafahamika kama mtoto wa Baba Fulani lkn kidini huyo Baba hatambuliki na hivyo kuna haki Fulani ambazo Baba hawezi kumfanyia mtoto wake.

Moja wapo ni huyo mtoto hafai kuitwa Jina la ubini WA Baba yake,Hilo Jambo ni haramu Sana na Mungu ameshalikemea tayari, ingawa Kwa bahati mbaya Sana Kwa kutojua wengi wamewapa majina ya ubini wao hao watoto wa nje ya ndoa.

Na lingine ni kumuozesha kwenye ndoa, Baba Hana haki ya kumuozesha binti yake WA nje ya ndoa Kwa mumewe kwani ndoa hiyo ni batili na haifai kabisa.

Lingine huyo mtoto hawezi kumrithi Baba yake kwasababu kisheria huyo mtoto sio WA huyo Baba,Bali Baba anaweza kumpa sehemu ya Mali huyo mtoto,lkn mara Tu huyo Baba anapokufa basi huyo mtoto Hana haki ya Kurithi chochote.

Lakini sio vibaya huyo Baba kumhudumia huyo kijana Kwa malezi na mahitaji mbali mbali maadam Tu yeye ndiye sababu ya kuja Hicho kiumbe hapa duniani.

Na mtoto ambaye Hana Baba kisheria anaweza kuitwa Kwa jina la mama yake, Kwa mfano ETUGRUL BEY ASHA au Kwa jina la ubini Kwa upande wa mama yake.

Kubwa ni kutambua uzao mzuri ambao hata kizazi chako kinaweza pata haki stahiki ni kizazi ambacho kinatokana na ndoa takatifu ambayo IPO Kwa mujibu wa Sheria.

Na hata wale ambao wanafunga ndoa za kiserikali basi watambue kidini Hicho kizazi Chao hakitambuliki na Sheria za Dini Kwa maana Baba Hana watoto hapo Ila watoto ni WA mama.

Ni hayo Tu!

Kazakh destroyer
Msonjo
Nurain
adriz
professional Driver
baby zu
Unaweza kukuta huyu ana baba hewa na sii baba yake mzazi. Eti huyu naye atakuwa mzazi,jamani 🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆
 
Usiniambie kuhusu kuwaachia wazungu au waarabu, hii ni Imani yangu kama wewe huna Dini usijishughulishe nazo
Kawaambie msikitini kwako huko mjadili,itapendeza sana,km ni kanisani pia nendeni mkajidili litakuwa jambo jema sana. Mtakuwa vibaraka mpaka lini?
 
Kwani umefuata nini ktk hii post kama haya mambo haya kuhusu

Ukiona kitu hukielewi basi ujue hauku andikiwa wewe
 
Huyo unaye dhani unatumia ubin wake eti ni baba yako siyo kweli,baba yako ni mchuuzi wa samaki na mipango yooote mimi ndo nilikuwa mfanikishaji.
Sema jamaa alikupotezea tu,nadhani kwa akili hizi alifanya maamzi sahihi.
 
Back
Top Bottom