Je, mtoto wa nje ya ndoa ana haki ya urithi?

Talaka inaweza isipatikane kwa kuwa hakuna sababu za msingi za kutoa talaka.

Ila Tatizo lilianzia kwa huyo mangi, alipojua mtoto sio wake kwanini alimkubali kuishi nae na kutumia majina yake?

Kama alimkubali aachie tu mzigo
 
Angemfukuza huoni ingekuwa shida zaidi ni yake ilikuwa mtoto asome bila ya kuwa na stress ila sasa kutokana na hali ya kiafya kuzidi kuwa kaona bora awagawie chao ndio shida na mke wake ilipoanzia.
 
Mwanamke sio mtu wa kuonewa huruma hata kidogo.
anawapa mali watoto wake
hako ka mwana haram kasubiri huyo mzee afe ndio kapata chake.

ningekuwa mimi ninatransfer kila kitu kwa kisheria kumilikiwa na hao watoto wangu
halafu hako kamoja kasubiri kurithi makoti tu.

asipoangalia atauwawa kabla ya muda wake ili dogo apate urithi kwa nguvu ya mama
 
Angemfukuza huoni ingekuwa shida zaidi ni yake ilikuwa mtoto asome bila ya kuwa na stress ila sasa kutokana na hali ya kiafya kuzidi kuwa kaona bora awagawie chao ndio shida na mke wake ilipoanzia.
Yaani Kiongozi ipo hivi, kama alimpokea mtoto shida ndio ilianzia hapo. Maana yake alimkubali huyo mtoto ndio maana mke wake anampanda kichwani.

Na ni bora alipojua angetemana na mke wake. Sio jambo dogo mkeo kuzaa nje ya ndoa.

Kuna wale wanaochepuka, Sasa yeye kaamua kuzaa kabisa na Mangi akamkubali mtoto, hilo ni tatizo.
 
Swali ni je! Angemkataa huoni hiyo ingeimpact makuzi ya watoto wote pamoja na huyo haramu?
 
Huyo wa nje yeye haimuhusu. Angepambana na watoto wake.

Watoto wengi tu wamelelewa na baba au mzazi mmoja na wapo vizuri tu.
 
Mtoto wa nje ya ndoa ni dhana tu, hakuna cha mtoto wa nje ya ndoa wala ndani ya ndoa, mtoto ni mtoto tu haijalishi kazaliwa na mama gani. Ana haki ya kupata urithi wa baba yake. Hata uzae na wanawake kumi hao watoto ni halali bila kujali kuna upuuzi unaoitwa ndoa
 
Sasa huyu sio mtoto wa huyo baba.
Ana haki ya urithi?
 
Sasa huyu sio mtoto wa huyo baba.
Ana haki ya urithi?
hata ukienda kugonga mke wa mtu akazaliwa kwenye boma jingine kwa mume wake, ikibumburuka mtoto si wa baba mwenye boma, baba halisi atawajibika kumgawia mtoto wake urithi japo kamzalia kwenye boma la mtu
 
Mtoto wa nje ya ndoa ni dhana tu, hakuna cha mtoto wa nje ya ndoa wala ndani ya ndoa, mtoto ni mtoto tu haijalishi kazaliwa na mama gani. Ana haki ya kupata urithi wa baba yake. Hata uzae na wanawake kumi hao watoto ni halali bila kujali kuna upuuzi unaoitwa ndoa
Ujaelewa mada
 
hata ukienda kugonga mke wa mtu akazaliwa kwenye boma jingine kwa mume wake, ikibumburuka mtoto si wa baba mwenye boma, baba halisi atawajibika kumgawia mtoto wake urithi japo kamzalia kwenye boma la mtu
Huu ndio ukweli
Mtu hawi baba kwa sababu sijui kalea au katunza mtoto.

Mtu anakuwa baba kwa sababu ndiye aliyetoa mbegu iliyotungisha mimba.

Hivyo dogo ana haki ya urithi toka kwa baba yake mzazi.

Na kwa mama yake
 
Urithi ni maamuzi ya mzazi
Binafsi mtoto akiwa wangu haijalishi ni wa wapi kama urithi upo atapewa
 
Back
Top Bottom