Kasongo Yeyee
JF-Expert Member
- Feb 13, 2019
- 281
- 406
Wazee wanafahamu wa pande zote mbili. Na ndio maana wanasema kitanda hakizai haramu na maadamu kazaliwa ndani ya ndoa ni wake. Kwa mila zetu za kiafrika mtoto akizaliwa ndani ya ndoa ana haki zote za urithi kutoka kwa baba yake.
Angemfukuza huoni ingekuwa shida zaidi ni yake ilikuwa mtoto asome bila ya kuwa na stress ila sasa kutokana na hali ya kiafya kuzidi kuwa kaona bora awagawie chao ndio shida na mke wake ilipoanzia.Talaka inaweza isipatikane kwa kuwa hakuna sababu za msingi za kutoa talaka.
Ila Tatizo lilianzia kwa huyo mangi, alipojua mtoto sio wake kwanini alimkubali kuishi nae na kutumia majina yake?
Kama alimkubali aachie tu mzigo
Hakuna mtoto haramu hapa duniani.Ana mwanasheria na huo urithi ameuweka kisheria ndio maana mwanamke anataka apewe talaka ili iwe rahisi kumpatia huyo haramu!
Yaani Kiongozi ipo hivi, kama alimpokea mtoto shida ndio ilianzia hapo. Maana yake alimkubali huyo mtoto ndio maana mke wake anampanda kichwani.Angemfukuza huoni ingekuwa shida zaidi ni yake ilikuwa mtoto asome bila ya kuwa na stress ila sasa kutokana na hali ya kiafya kuzidi kuwa kaona bora awagawie chao ndio shida na mke wake ilipoanzia.
Swali ni je! Angemkataa huoni hiyo ingeimpact makuzi ya watoto wote pamoja na huyo haramu?Yaani Kiongozi ipo hivi, kama alimpokea mtoto shida ndio ilianzia hapo. Maana yake alimkubali huyo mtoto ndio maana mke wake anampanda kichwani.
Na ni bora alipojua angetemana na mke wake. Sio jambo dogo mkeo kuzaa nje ya ndoa.
Kuna wale wanaochepuka, Sasa yeye kaamua kuzaa kabisa na Mangi akamkubali mtoto, hilo ni tatizo.
Huyo wa nje yeye haimuhusu. Angepambana na watoto wake.Swali ni je! Angemkataa huoni hiyo ingeimpact makuzi ya watoto wote pamoja na huyo haramu?
Sasa huyu sio mtoto wa huyo baba.Mtoto wa nje ya ndoa ni dhana tu, hakuna cha mtoto wa nje ya ndoa wala ndani ya ndoa, mtoto ni mtoto tu haijalishi kazaliwa na mama gani. Ana haki ya kupata urithi wa baba yake. Hata uzae na wanawake kumi hao watoto ni halali bila kujali kuna upuuzi unaoitwa ndoa
hata ukienda kugonga mke wa mtu akazaliwa kwenye boma jingine kwa mume wake, ikibumburuka mtoto si wa baba mwenye boma, baba halisi atawajibika kumgawia mtoto wake urithi japo kamzalia kwenye boma la mtuSasa huyu sio mtoto wa huyo baba.
Ana haki ya urithi?
Ujaelewa madaMtoto wa nje ya ndoa ni dhana tu, hakuna cha mtoto wa nje ya ndoa wala ndani ya ndoa, mtoto ni mtoto tu haijalishi kazaliwa na mama gani. Ana haki ya kupata urithi wa baba yake. Hata uzae na wanawake kumi hao watoto ni halali bila kujali kuna upuuzi unaoitwa ndoa
Huu ndio ukwelihata ukienda kugonga mke wa mtu akazaliwa kwenye boma jingine kwa mume wake, ikibumburuka mtoto si wa baba mwenye boma, baba halisi atawajibika kumgawia mtoto wake urithi japo kamzalia kwenye boma la mtu
Itakua amegawa zawadi sheria ina ruhusiHuwezi kugawa Mali ukiwa hai kwa kutumia wosia ulioandika na beneficialies wakauona na kujua kilichomo
wosia ni siri sasa utagawaje na beneficiaries wakajua mgao wao? labda kama ulivyosema umpe mtu ikiwa zawadi ukiwa hai