Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna watu huwa hawakwepeshi, ukimboa ni kavu. Na huyo jamaa kama hajatokea kaskazini au kanda maalumu sijui
Habari yangu mimi ni salama.Habari zenu!
Habari yangu mimi ni salama.
Sijui yako.
Ili uanze kunisalimia kimoyo moyo?.Sijambo, nilikuwa nasubiri usiitike ili nisikusalimie tena.
Mtu mzima wa makamo??Serious, pamoja na unyenyekevu bandia nilionao huwa nashindwa kabisa kusalimia mara mbili, yaani ulimi huwa unakuwa mzito....siwezi kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi huwa nashindwa kwa vijana wenzangu..
Sasa hii ndio makusudi, haiwezekani kundi moja ushindwe na lingine uwezeMimi huwa nashindwa kwa vijana wenzangu..
Ila wale wakubwa Sana kwa kweli huwa napiga moyo konde,Tena safari hii ya pili naita kabisa akiitika namsalimia..
Akiniju Basi ndo furaha yangu hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naamini watu wazima si rahisi kupuuza salamu,labda awe hajasikia.Sasa hii ndio makusudi, haiwezekani kundi moja ushindwe na lingine uweze
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijambo, nilikuwa nasubiri usiituke ili nisikusalimie tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata hivyo umenisusa Sana.
Salamu yako naipata kwa kumulika na tochi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hadi najiuliza labda pengine ndiyo twenti twentiAisee nisamehe bure, mambo mengi sana mwezi huu.
hahaha[emoji23] mkuu umepatia , wazazi wake ni wa kaskazini so hua kanaishi mwanza na Arusha
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaaaa huwa nawajua kiasi hao watu. wapo real sana na ukimboa anakuchana kavu then mnakuwa kawaida. Napenda watu wa aina hiyo wasioweka vinyongo
Saafi sana Iyo kamandakuna ka rafiki kangu kAmekondaa huwa kakisalimia mademu wasipoitika kanawatukana[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app