Je, Mtu asipoitika salamu yako huwa unasema nini?

Je, Mtu asipoitika salamu yako huwa unasema nini?

Zamani nilikuwa najisikia vibaya sana mtu asipoitikia salamu yangu,tena nikiwa nina uhakika kabisa kuwa kasikia,ila siku hizi nina amani na Yesu wangu hata kichwa hakiniwashi...
 
Back
Top Bottom