Abuu hanifa
JF-Expert Member
- Aug 17, 2021
- 256
- 275
Ubaguzi mwengine wizara ya Afya.
Nina jirani yangu kapatikana na kansa. Tiba yake kaambiwa ajiandae na zaidi ya sh mil 5 cash.
Kaulizia iwapo akikata bima kama ataweza kupata tiba. Kaambiwa so ya private; labda apatikane mfanyakazi aliyeajiriwa hivi karibuni na amwandikishe kama mke wake.
Kakata tamaa; anasubiri kifo kwa sasa. Michango aliyopata kutoka kwa ndugu haizidi sh 500,000/-
Njia ya kumsaidia ni mbili.
1. Huruma za wenye dhima na afya za watz. Nazungumzia Rais Samia au Waziri wa Afya.
2. Kama kuna aliyeajiriwa hivi karibuni amsaidie kwa kumwandika kama mke wake ili apate huduma kwa gharama hizo.
3. Wito kwa watz tumchangie. Ambae atakuwa tayari nitatoa namba ya mgonjwa amsaidie.
Kama huna msaada wowote tafadhalini saidia kupaza sauti ili watendaji wapate aibu na huruma kwa watanzania.
Huenda mchango wako ikawa umemnusuru kwa tiketi hii ya kifo. Kansa