Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
Afu wanatukana mabeberuSerikali ya TZ haiwatibu bure wenye VVU, ule ni msaada kutoka nje siku wakikatiza huo msaada sidhani kama serikali itaweza kuendelea kugharamikia matibabu yao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afu wanatukana mabeberuSerikali ya TZ haiwatibu bure wenye VVU, ule ni msaada kutoka nje siku wakikatiza huo msaada sidhani kama serikali itaweza kuendelea kugharamikia matibabu yao.
Shida ujinga wetu unatufanya tuwaone ni wabaya badala ya kujipambania wenyewe ili tuache kuwategemeaAfu wanatukana mabeberu
Samahan iko kwenye stage gani? Na pia nadhan hiyo bima ya NHIF kwenye cancer kuna vitu hailipii.Watanzania tunafeli sana, yeye hakuwa na bima hadi alipogunduliwa ugonjwa ndio anataka kukata! Mbaya zaidi hata akikata haitamsaidia kwenye ugonjwa wake kwa mujibu wa maelezo yako mtoa mada hadi aolewe sijui na mwenye bima
Yule alikua na tezi dumeKansa ni kweli haina tiba?? Mbona yule sebastian haller wa dotmond alipona na karudi mazoezini
What if umekata bima kabla ya ajali. Na ilipotokea ajali ukaambiwa hutolipwa kwa kuwa bima yako i binafsi. Tunalipa wale waliokata kupitia taasisi na mashirika ya umma.Bima ni nini? Tukipata jibu hapa ndo tuendelee yaani upate ajali gari ndo ukate bima kweli?
Pamoja na kupata elimu na ukakata bima kabla ya ajali. Ishu hapa ni Serikali haiwahudumii walitopata kansa kwa bima ya binafsi.Ila elimu inahitajika sana kwenye hii issue ya bima.
Mtu anasubiri gari lipate ajali ndiyo anahaha kwenda kukata bima.
Na kwa jinsi ofisi za umma zilivyo,kama hali yake ni tete anaweza poteza maisha akisubiri mchakato wa kupatiwa kadi/ID yake ya NHIF!
Pamoja na kupata elimu na ukakata bima kabla ya ajali. Ishu hapa ni Serikali haiwahudumii walitopata kansa kwa bima ya binafsi.Ila elimu inahitajika sana kwenye hii issue ya bima.
Mtu anasubiri gari lipate ajali ndiyo anahaha kwenda kukata bima.
Na kwa jinsi ofisi za umma zilivyo,kama hali yake ni tete anaweza poteza maisha akisubiri mchakato wa kupatiwa kadi/ID yake ya NHIF!
Hebu tupatie data kwa wagonjwa was Kansas was Japan wanaoshindwa kupata huduma kwa kukosa pesa za kujitibia.Japan ukikata bima wanakupima kwanza kabla hujaanza kuzitumia hiyo bima, màgonjwa yote watakayokukuta nayo hasa Yale ya muda mrefu hayataingia kwenye bima, pili ukiwa kwenye bima huwa wanakushauri jinsi ya kuishi ili usipate màgonjwa kwahiyo wao gharama zao sanasana wanazitumia kuwashauri watu jinsi ya kuishi na sio kutibu, kimsingi gharama za kutibu ni kubwa kuliko kushauri
Bila shaka unaongea ukiwa umeshiba. Hujui hali ya watz. Wastani wa bima tz unapaswa kulipia 30,000 hadi 50,000 kwa mwezi. Huna kazi unategemea upike mama lishe ndipo uweze kupata pesa ya kula na kumpa motto ya shule. VP utawaza pesa ya bima.Watanzania tunafeli sana, yeye hakuwa na bima hadi alipogunduliwa ugonjwa ndio anataka kukata! Mbaya zaidi hata akikata haitamsaidia kwenye ugonjwa wake kwa mujibu wa maelezo yako mtoa mada hadi aolewe sijui na mwenye bima
Sasahivi anavyotaka kukata hela anatoa wapi mkuu?Bila shaka unaongea ukiwa umeshiba. Hujui hali ya watz. Wastani wa bima tz unapaswa kulipia 30,000 hadi 50,000 kwa mwezi. Huna kazi unategemea upike mama lishe ndipo uweze kupata pesa ya kula na kumpa motto ya shule. VP utawaza pesa ya bima.
Bila ya shaka uchumi ukitengemaa hakuna atakaekuwa tayari kuishi bila ya kuwa na bima
Hata sijakuelewa mkuuPamoja na kupata elimu na ukakata bima kabla ya ajali. Ishu hapa ni Serikali haiwahudumii walitopata kansa kwa bima ya binafsi.
Kupata kansa Tanzania ni tiketi ya kwenda ahera kwa maumivu makali
Hebu tupatie data kwa wagonjwa was Kansas was Japan wanaoshindwa kupata huduma kwa kukosa pesa za kujitibia.
Japan hii inayotoa misaada kwa nchi ishinfwe kumhudumia mgonjwa kwa kuwa alipakata bima baada ya kupata maradhi.
Usitulishe matango poli.
Na miaka 44.Nina magape mawili kwenye bima. Umri wake tafadhali niangalie namweka nafasi ipi.
Kwa atakaeguswa tutamshukuruKWA UFUPI WEKA NAMBA YAKE TUNGANGE ILI KILA ANAYEGUSWA ACHANGE.
MILION 5 KWA IDADI YETU HATA TUKICHANGA ELFU 10 MATHALAN MBONA TUTAIPATA TU ILI MGONJWA APONE
Babu yangu alikuwa anapenda kuniambia ni hatari sana if you are poor and sick or poor and old... Pole sana kwake...Dah,inasikitisha sana umasikini mbaya sana.
Yule akikuwa na stage one ya kansa haikuenea na salama yke aliipata baada ya kufanyiwa operesheniKansa ni kweli haina tiba?? Mbona yule sebastian haller wa dotmond alipona na karudi mazoezini
Sawa ngoja tumchangieNamba yake ni 0784048986
Makazi yake ni Lindi mjini
Anaitwa Asha Sinde
Mtafute Twitter kwenye page yake, huwa anajibu kero mbalimbali...Naomba mwenye namba ya WAZIRI WA AFYA. Roho yangu inaniuma ningependa nimpigie waziri nisikie kauli ya serikali. Inakuwaje wenye ukimwi watibiwe bure. Wenye Kansa wajilipie tens matibabu ghali huku ugonjwa wenyewe hajajitakia
Naomba mwenye namba ya WAZIRI WA AFYA
Una hoja mkuu wale waliupata ugonjwa kwa nyege zao wanatibiwa bure kwa sababu mzungu kawaonea huruma ina maana serikali yetu haiwezi kuwaonea huruma wenye magonjwa kama haya ya Kansa mpaka tusubiri huruma ya wazungu. inauma sana.Naomba mwenye namba ya WAZIRI WA AFYA. Roho yangu inaniuma ningependa nimpigie waziri nisikie kauli ya serikali. Inakuwaje wenye ukimwi watibiwe bure. Wenye Kansa wajilipie tens matibabu ghali huku ugonjwa wenyewe hajajitakia
Naomba mwenye namba ya WAZIRI WA AFYA