Mburia
JF-Expert Member
- Jul 15, 2022
- 2,369
- 3,488
Kama iko kwenye terminal stage ndiyo bye bye... Yamewahi kunikuta mimi na mgonjwa wangu..Kansa ni kweli haina tiba?? Mbona yule sebastian haller wa dotmond alipona na karudi mazoezini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama iko kwenye terminal stage ndiyo bye bye... Yamewahi kunikuta mimi na mgonjwa wangu..Kansa ni kweli haina tiba?? Mbona yule sebastian haller wa dotmond alipona na karudi mazoezini
Hata akipata hawezi kupata Tiba ni bima ya kibaguzi sana. Wanaopata tiba ni wale wamekatiwa na mashirika au taaaisi za umma.Sasahivi anavyotaka kukata hela anatoa wapi mkuu?
Pole sana mkuu, uko sahihi kabisa...Kuna magonjwa mawili kwa sasa ni magonjwa dume yawezekana Africa au Tanzania
1. Kansa
2. Figo
Nayaongelea haya kwa sasa maana yapo kwenye familia yangu na yametufanya tumekuwa maskini wa kutupwa
bima haisaidii lolote na wa figo ana bima NHIF haikidhi viwango kila uchao tunazidi kukata tamaa
Nb;serikali iingilie hii kitu kama kweli wanahitaji usawa
HIV iwe bure
FIGO iwe bure
KANSA iwe bure
NAWAKILISHA
Unaweza kata ila hatatibiwa hadi achangie mara 3, maana yake miaka 3Mkuu ukweli ni kwamba bima hukati ukiumwa, ndio maana ukikata kwa mara ya kwanza unapita muda kabla ya kuanza kuitumua ili usiwe umeikata wakati unaumwa.
Yani ni sawa huwezi kata bima ya kulipwa gari baada ya gari kupata ajali.
Bima nyingi watu wanajiunga wakiwa wagonjwaJapan ukikata bima wanakupima kwanza kabla hujaanza kuzitumia hiyo bima, màgonjwa yote watakayokukuta nayo hasa Yale ya muda mrefu hayataingia kwenye bima, pili ukiwa kwenye bima huwa wanakushauri jinsi ya kuishi ili usipate màgonjwa kwahiyo wao gharama zao sanasana wanazitumia kuwashauri watu jinsi ya kuishi na sio kutibu, kimsingi gharama za kutibu ni kubwa kuliko kushauri
Sasa hapo unailaumu serikali au ujilaumu wewe kutotimiza sehemu yako?Bila shaka unaongea ukiwa umeshiba. Hujui hali ya watz. Wastani wa bima tz unapaswa kulipia 30,000 hadi 50,000 kwa mwezi. Huna kazi unategemea upike mama lishe ndipo uweze kupata pesa ya kula na kumpa motto ya shule. VP utawaza pesa ya bima.
Bila ya shaka uchumi ukitengemaa hakuna atakaekuwa tayari kuishi bila ya kuwa na bima
Pole sana sababu hataweza ingizwa hadi baada ya July 1Nina magape mawili kwenye bima. Umri wake tafadhali niangalie namweka nafasi ipi.
Mkuu hivi ni serikali nayo hufanya biashara kwa afya za watu.Wengi hawajui Bima sio msaada ni biashara! Biashara ya bima ni biashara ya risk. Bima wanakupangia gharama za kulipa baada ya kupima risk watayobeba ili wapate faida. Mfano huwezi kukata bima baada ya ajali! Hiyo sio bima tena!
Hata bima ya afya wana take risk ya uwezekano wa wewe kuugua na kama una maradhi ya kudumu lazima wajue ili wakupe gharama ambayo inawapa nafasi ya uwezekano wa kupata faida.
Ukishakuwa na umri mkubwa kampuni nyingi hazikupi bima maana risk ni kubwa pia. Lakini pia kuna baadhi ya maradhi kupata bima ni ngumu sababu kufanya analysis ya risk kupata gharama halisia za kulipa ni ngumu na hata ikitokea wakakupa itakuwa bei ghali sana.
Mgonjwa kama huyo ni familia na wasamaria wema kujitokeza kumchangia. Poleni sana
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Amin AminHapa umeongea ukweli mtupu. Mungu akubariki sana kwa kupaza sauti kwenye hayo magonjwa mawili.
Na hili suala ndilo linanifanya bima niione kama upuuzi fulani tuWengi hawajui Bima sio msaada ni biashara! Biashara ya bima ni biashara ya risk. Bima wanakupangia gharama za kulipa baada ya kupima risk watayobeba ili wapate faida. Mfano huwezi kukata bima baada ya ajali! Hiyo sio bima tena!
Hata bima ya afya wana take risk ya uwezekano wa wewe kuugua na kama una maradhi ya kudumu lazima wajue ili wakupe gharama ambayo inawapa nafasi ya uwezekano wa kupata faida.
Ukishakuwa na umri mkubwa kampuni nyingi hazikupi bima maana risk ni kubwa pia. Lakini pia kuna baadhi ya maradhi kupata bima ni ngumu sababu kufanya analysis ya risk kupata gharama halisia za kulipa ni ngumu na hata ikitokea wakakupa itakuwa bei ghali sana.
Mgonjwa kama huyo ni familia na wasamaria wema kujitokeza kumchangia. Poleni sana
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Kansa ni kweli haina tiba?? Mbona yule sebastian haller wa dotmond alipona na karudi mazoezini