FabNXTzqEtcgazfbjjfo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 1,486
- 1,874
Ungejiuliza kwanza Binadamu wa Kwanza Kuumbwa alipataje Ujumbe Wa Mungu. Na wakati alikuwa Mwenyewe.Unadha ujumbe wa Mungu ungefika vipi bila kutumia binadamu wenzetu?
Sawa, ila bado tungependa kujua
[emoji23][emoji23][emoji23] nakama msharaha haujasoma huwezi kuanza kuweka bandiko Kama hiliMaswali ya namna hii hauwezi kujiuliza kama una njaa, hongera mkuu kwaku shiba
Ungejiuliza kwanza Binadamu wa Kwanza Kuumbwa alipataje Ujumbe Wa Mungu. Na wakati alikuwa Mwenyewe.
Na kama Hao Manabii ni wa Mungu kweli inakuwaje Kuna Wakristo(Yesu) Waislamu(Mohamed) wayahudi(Musa) n.k
Je huoni hapo Si Mungu ila Ni Viumbe Wengine tu
Hapo anapokaa, kabla hajaumba chochote, paliumbwa na nani wakati alikuwa hajaumba kitu badoMungu anasehemu yake na Viumbe wake wanasehemu yake ya Kuishi.
Hakuna anayejua Mungu anakaa wapi wala anaishi wapi.
Kwahiyo huwezi Jua Alikuwa wapi kipindi anaumba Chochote.
Then where did the universe came from?,Mungu hawezi kuumba wala kufanya chochote.
Mungu hayupo.
Binadamu ndiye alimuumba Mungu kwenye fikra zake.
God created all things from nothing, the only material he used to create was only his Word.What about the materials which God used to create whatever that exists....je alitoa wapi hizo materials?
Some questions are beyond human comprehension. Hauwezi kuelewa kwa sasa kuhusiana na swali lako. Ni sawa na swali na Mungu alitoka wapi? No mortal being can fathom the truths thereof.
All i know ni kuwa mazingira yananipa ushahidi madhubuti wa uwepo wa Mungu. Na whatever alichokisema Mungu kwenye Scriptures kuhusu namna alivyoumba ndiyo information pekee tuliyonayo kwa sasa. Beyond that hakuna majibu.
Mungu ndiye ajuaye wakati anaumba aliumbaje umbaje...na haku reveal hiyo information kwetu. When we get to heaven utamuuliza hili swali na mengine mengi...bila shaka utajibiwa.
Wewe unachohoji ni Infinity thing. Maana Yake Hutopata Jibu. Na Mungu Hakai Maana Hana Makalio Kama Uliyonayo wewe. Wewe ndio unakaa maana Una Mwili wenye makalioHapo anapokaa, kabla hajaumba chochote, paliumbwa na nani wakati alikuwa hajaumba kitu bado
Husimfananishe na chochoteeeeMimi sijakataa, hapo kabla ya kabla, ambapo alikuwa hajaumba chochote, ndio alikuwa wapi? Au hapo alipokuwepo paliumbwa na nani? Maana alikuwa hajaumba kitu bado. Pia hatumpo specific location, tunaulizia generality ya uwepo wake, hata kama ni yupo sehemu zote mida wote, kabla hajaumba kitu, ni wapi alikiwepo, na hapo alipokuwepo , paliumbwa na nani wakati alikuwa hajaumba kitu bado?
Kwani sasa hivi Yuko wapi? Najua kuwa kiroho yupo kila mahali, lakini je, Kiti chake cha Enzi kiko wapi? Ukijua mahali kilipo muda huu Kiti chake cha Enzi, basi ndiyo huko ambako amekuwepo milele yoteNamaanisha kabla ya ulimwengu kuumbwa, Mungu aliumba ulimwengu na kila kilichomo akiwa wapi? Je, alikuwa Mbinguni? Na wakati anaumba mbingu, alikuwa anaiumba akiwa wapi?
MUNGU yupo, ila husimtajie ivyo vinabii vyako viongo.Kwahiyo Kama Hana Mshirika Maana Yake Hawa Manabii na Mitume wote ni Waongo.
Kuanzia Kina Musa..Elia..Yesu.. Mohamedi wote hawa Hana Ushirika nao
We utakua mweu weweHadith na nadharia za Mungu Zina utata na contradictions kibao,Watu was kwanza kuanza kuanzisha nadharia za Mungu ni wa accient civilization za kale kama Sumerians, Assyrian, Babylon, Egyptian, Kush, Aztec, Maya, Peru, Indus, valley nk
Hawa walianza Hizo nadharia baada ya Dunia kutembelewa na viumbe kutoka nje ya mfumo wetu wa Nyota yaani
ANNUNAK
Hao ndio waliomproject maabara Mwanadamu na kumpa ujuzi wote lengo atumike kama nguvu KAZI ya kuchimba dhahabu,dhahabu ilihitajika na hao viumbe kuizirudisha Sayari zao katika Hali ya kawaida baada ya kuharibiwa na vita vya
Nuclear reactors baada ya viumbe wale kumaliza mission na kuondoka Watu wakaanza waabudu kama Miungu na hata mwanzilishi wa Imani za Abrahamic alitokea Uru ya Ukaldayo Mesopotamia alikua akimuabudu Mungu El au Elohim (YHW)
Huyo alikua ni Moja kati ya Miungu wa Annunak na mapokeo mengi ya wayahudi Yana masimulizi ya sifa za huyo Mungu wao El mpaka pale zilipokuja zaliwa dini zenye mlengo wa huyu El kama Judaism, Christianity and Islamic
Na sio Kwamba El alikua ndie Mungu pekee hapana kulikua na Miungu wengi sana ukienda Kwa wahindi Wana Mungu wao Rama mwenye sifa kama za El
Ukienda misri Kuna Ra
Mesopotamia Kuna Anu
Kuna Enki
Na wengine wengi sana wote Wana mapokeo tofauti tofauti ila asili Yao ni Moja na Hao Miungu baadhi Yao walikua na bifu Kali sana mfano
Elohim YHW aliingia mkataba na agano na Abraham Kwamba uzao wake wote Watakua Watu wake na ni Marufuku kujihusisha na miungu mingine lengo lake awe na Watu wa kukamilisha mission zake Kwa urahisi na lengo la huyo Annunak El ni gold na dio maana mmoja wa uzao wa Abraham yaani Suleiman alikua na uwezo mkubwa sana na akili nyingi aliweza kukusanya gold Kwa maelfu ya matani na baadae zikapotea ghafla tu hata hatujui zilienda wapi hao ndio ANNUNAK na mission zao duniani
Nahitimisha ya Kwamba Hizo Hadith za Mungu mkuu muumbaji wa ulimwengu ni uongo na huyo Mungu hayupo na hajawahi kuwepo ila tu Watu waliamua kuwaita accient ANNUNAK miungu ila walikua Alliens tu!
Na hii ni mara baada ya kula kushiba hadi kuvimbiwa na kuishia kuandika utopolo huuMungu hawezi kuumba wala kufanya chochote.
Mungu hayupo.
Binadamu ndiye alimuumba Mungu kwenye fikra zake.
Takujibu kwa ninachofahamu kutoka katika Biblia,Namaanisha kabla ya ulimwengu kuumbwa, Mungu aliumba ulimwengu na kila kilichomo akiwa wapi? Je, alikuwa Mbinguni? Na wakati anaumba mbingu, alikuwa anaiumba akiwa wapi?
Binadamu wa kwanza ambaye NI Adam alipata ujumbe kupitia kwa malaika.
Lakini pia inasemekana alikuwa anaongea na Mungu.
Kuhusu mitume na manabii kuwa tofauti sio kweli maana wote walikuwa na ujumbe mmoja wa kumuabudu Mungu mmoja.
Tofauti inakuja kwenye mapokeo ya vitabu
Lete hoja na unipinge Kwa fact hiyo ndio maana halisi ya Great Thinker,nje ya Hapo nakuona kama uliyechanganyikiwa!We utakua mweu wewe
Hamna Cha kiti Cha Enzi Wala Nini. Hapo ndo Mna mfananisha na binadamuuu...Kwani sasa hivi Yuko wapi? Najua kuwa kiroho yupo kila mahali, lakini je, Kiti chake cha Enzi kiko wapi? Ukijua mahali kilipo muda huu Kiti chake cha Enzi, basi ndiyo huko ambako amekuwepo milele yote
Sisi ni viumbe ambao hatuna uwezo wa kuwepo sisi wenyewe. Uwezo wetu unaathiriwa na nguvu basi ingebaki katika hali ya kutokuwepo isingiwezekana sisi kutokea. Uwezo wa binadamu kufikiri unaathiriwa na uwepo wa mazingira. Imma yawe mazingira ya ndani ya sayari yetu au nje ya sayari yetu mifumo ya anga na kanuni na nidhamu yake.Si mmesema ni beyond comprehension? Sasa inakuwaje tena unataka nimfahamu? Kikubwa swali ndio nimeuliza hilo, nipate majibu
Mjibu kwa Hoja Tu na Yeye ana Anayo yaaminiNa hii ni mara baada ya kula kushiba hadi kuvimbiwa na kuishia kuandika utopolo huu
Kwa hoja gani ulio ileta wewe??Lete hoja na unipinge Kwa fact hiyo ndio maana halisi ya Great Thinker,nje ya Hapo nakuona kama uliyechanganyikiwa!