Je, Mungu aliumba ulimwengu akiwa wapi?

Je, Mungu aliumba ulimwengu akiwa wapi?

Hizi mambo ni michongo ina siri sana wengine wanathibitisha upuzi wananiuzi eti mungu hana sehemu huu ni uongo kama mungu hana sehemu haonekani huyo sio mungu wambie wakueleze vizuri acha
 
MUNGU alikuwaepo kabla ya hiyo ''Kabla'' kuwepo. Pili MUNGU hana nafasi kwa hivyo huwezi kumpa specific location, ukimpa specific location tayari umeshamlimit. MUNGU ni mmoja hagawanyiki, yeye ndiye mwanzilishi na mmiliki wa kila jambo, hana mshirika katika utendaji wake, hana mwanzo wala hana mwisho,, hakuzaa wala hakuzaliwa na wala hana mfano wowote na pia hafananishwi na chochote.
Kama Hana mfano Sasa Mungu yule atakayeingiza unyayo wa mguu wake kule Jehanamu siku ya kiama kwa mujibi wa Qur'an huo mguu ameutoa wapi na huo unyayo unafananaje? Mnajiconradict wenyewe kwa hivyo vitabu vyenu sometimes
 
Dah haya maswali mengine bora hata sikuona mapema maana unaweza uliza funza kaingiaje kwenye kokwa la embe
 
Namaanisha kabla ya ulimwengu kuumbwa, Mungu aliumba ulimwengu na kila kilichomo akiwa wapi? Je, alikuwa Mbinguni? Na wakati anaumba mbingu, alikuwa anaiumba akiwa wapi?
Kwa kutumia akili na sayansi ...kwa vyovyote vile ni lazima vitu vyote vimeumbwa ndani ya mungu ...hivyo tupo ndani yake na vyote vipo ndani yake ....SCIENCE IS EQUATION TOWARD GOD.wapo watu wanadhani sayansi ni kitu kilicho nje ya mungu au kinyume na mungu kumbe wangejua kuwa sayansi nayo ni kumjua mungu maana kwakadili sayansi inavyo zidi kujulikana ndiyo inavyo zidi kumfunua mungu.
 
Jibu swali acha mbwembwe
Ni jibu nini sasa hapo mambo ya Mungu aachiwe Mungu, hebu nikuulize swali alaf unipe majibu unaweza niambia funza kaingiaje kwenye kokwa la embe? Ukipatia basi ntaujibu ilo la kwako
 
Dah haya maswali mengine bora hata sikuona mapema maana unaweza uliza funza kaingiaje kwenye kokwa la embe
Kilichoingia sio funza, ni yai ndio lilikuwa injected na kuanguliww na kukuwa ndani yw kokwa
 
Kwa kutumia akili na sayansi ...kwa vyovyote vile ni lazima vitu vyote vimeumbwa ndani ya mungu ...hivyo tupo ndani yake na vyote vipo ndani yake ....SCIENCE IS EQUATION TOWARD GOD.wapo watu wanadhani sayansi ni kitu kilicho nje ya mungu au kinyume na mungu kumbe wangejua kuwa sayansi nayo ni kumjua mungu maana kwakadili sayansi inavyo zidi kujulikana ndiyo inavyo zidi kumfunua mungu.
Kuna mahali popote mimi nimetaja sayansi hapa? Its simply a logical argurment. If it exists , it exists somewhere, atleast huo ndio uelewa wetu.

Sisi tuko ndani ya Mungu, fine, alijiumba akiwa wapi au ndani ya mungu yupi?
 
Jibu ... were energy come from? God is the ENERGY and everything is energy too even me and you....kanuni ya energy inasema (energy ipo milele uwezi kuiumba wala kuiangamiza) ndiyo maana mungu anasema ufalme wake hauna mwanzo wala mwisho .....kanuni ya energy inaendelea kusema kuwa (energy inabadilika tu kutoka muundo mmoja na kuwa muundo mwingine) maana yake mungu anaumba vitu mbali mbali kwa kutumia hii kanuni ya pili....sasa utasema kama vitu vyote ni energy na mungu pia ni energy kwanini sisi siyo mungu ? Na yeye awe mungu ? Je mungu ni nini ? na mungu ni nani ? ...jibu Mungu ni ufahamu wa hiyo energy yote kwa ujumla wake . Sisi ni sehemu tu ya energy na ufahamu. Wanasayansi wanakubali kuwa vitu vyote vimeumbwa tena wanakubali kuwa nguvu ya energy ndiyo iliyo umba vitu vyote ...ila wanacho kataa ni kuwa hizo nguvu zilizo umba vitu vyote zina [emoji117]jitambua (ufahamu) yaani nafsi...wao wanasema zimeumba vitu kwa bahati tu ...lakini hazina ufahamu .....maana wakikubali kuwa hizo nguvu zina ufahamu basi watakuwa wamekubali kuwa mungu yupo .
 
Hilo hakuna anaebisha, ‘energy’ ipo wapi? Ulimwenguni? Hata kama ni ulimwengu wenye complete vacuum ‘without matter (energy). Nani aliumba hiyo empty vastness? Akiwa wapi?
 
No vacuum.. even vacuum ni energy isiyo julikana ..tupo in side
 
Jibu ... were energy come from? God is the ENERGY and everything is energy too even me and you....kanuni ya energy inasema (energy ipo milele uwezi kuiumba wala kuiangamiza) ndiyo maana mungu anasema ufalme wake hauna mwanzo wala mwisho .....kanuni ya energy inaendelea kusema kuwa (energy inabadilika tu kutoka muundo mmoja na kuwa muundo mwingine) maana yake mungu anaumba vitu mbali mbali kwa kutumia hii kanuni ya pili....sasa utasema kama vitu vyote ni energy na mungu pia ni energy kwanini sisi siyo mungu ? Na yeye awe mungu ? Je mungu ni nini ? na mungu ni nani ? ...jibu Mungu ni ufahamu wa hiyo energy yote kwa ujumla wake . Sisi ni sehemu tu ya energy na ufahamu. Wanasayansi wanakubali kuwa vitu vyote vimeumbwa tena wanakubali kuwa nguvu ya energy ndiyo iliyo umba vitu vyote ...ila wanacho kataa ni kuwa hizo nguvu zilizo umba vitu vyote zina [emoji117]jitambua (ufahamu) yaani nafsi...wao wanasema zimeumba vitu kwa bahati tu ...lakini hazina ufahamu .....maana wakikubali kuwa hizo nguvu zina ufahamu basi watakuwa wamekubali kuwa mungu yupo .
Yaani kwamba wanasayansi hawataki kukubali kuwa mungu yupo ila wanajua yupo? Au mimi sijaelewa
 
Ndiyo maana yake wanakubali kuwa nguvu za uumbaji zipo na zinajulikana ila wanakataa kuwa hizo nguvu zina jitambua(yaani ni nafsi)
 
Jibu ... were energy come from? God is the ENERGY and everything is energy too even me and you....kanuni ya energy inasema (energy ipo milele uwezi kuiumba wala kuiangamiza) ndiyo maana mungu anasema ufalme wake hauna mwanzo wala mwisho .....kanuni ya energy inaendelea kusema kuwa (energy inabadilika tu kutoka muundo mmoja na kuwa muundo mwingine) maana yake mungu anaumba vitu mbali mbali kwa kutumia hii kanuni ya pili....sasa utasema kama vitu vyote ni energy na mungu pia ni energy kwanini sisi siyo mungu ? Na yeye awe mungu ? Je mungu ni nini ? na mungu ni nani ? ...jibu Mungu ni ufahamu wa hiyo energy yote kwa ujumla wake . Sisi ni sehemu tu ya energy na ufahamu. Wanasayansi wanakubali kuwa vitu vyote vimeumbwa tena wanakubali kuwa nguvu ya energy ndiyo iliyo umba vitu vyote ...ila wanacho kataa ni kuwa hizo nguvu zilizo umba vitu vyote zina [emoji117]jitambua (ufahamu) yaani nafsi...wao wanasema zimeumba vitu kwa bahati tu ...lakini hazina ufahamu .....maana wakikubali kuwa hizo nguvu zina ufahamu basi watakuwa wamekubali kuwa mungu yupo .
Nishati yote duniani chanzo chakra ni jua,but can change from one form to another.kwahio mwisho wa uhai au maisha ni kufa Kwa jua letu.swali la kujiuliza Nini chanzo Cha jua?na chanzo Cha ulimwengu?after that you can define what is life?and where it came from and its original.
 
Back
Top Bottom