goswe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 4,432
- 5,036
Shalom Brother huko unapomwambia ni mbali sana hawezi kumjua bado bwana yesuUTATIMIA BIBLIA yenu ya mchongo au BIBLIA halisi?😀
Mikael Gabriel yote ni mavazi ya Bwana Yesu kristo .
Sasa hujajua tu kuwa yesu ni nani, kwaio haina mana kukueleza kua yeye pia ni mkuu wa jeshi la mbinguni na ndie aliemshusha shetani chini.
Alikuwa mungu mwenyewe katika vazi la vita yaani mikael