Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
Yaliyokukuta madogo mimi nilikua nimeshaanza kua Senior AtheistWachawi wote wanaujua uungu wa Yesu,wameapizwa wasikiri.
Mapepo na majini, mashetani wote wanaujua uungu wa Yesu ila wameapizwa wasikiri.
Wasiojua ni WANADAMU WALIOFUNGWA katika vifungo mbalimbali vya dhambi.
Mimi pia nilitaabika sana kumjua Hasa Yesu ni nani,
Namshukuru Mungu alinipa neema kumjua.
Kamwe sitamwacha Yesu, My Lord my God.
Amen
Ndugu yangu acha kabisa sijui nini kilinitokea mkuu,
Nilichomolewa within a point haaaa heeee aisee
God power through Lord Jesus Christ ni habari nyingine kabisa hii ni mada kabisa mkuu yaani huwezi amini nilipotea hapa JF Mwaka mzima now nimerudi kwa u turn ya nguvu angalia mada zangu za nyuma ni full kufuru now naziona vichekesho tu😁😁