Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 3,106
- 8,101
Watu hamuogopi🤭🤭🤭Unamzungumzia huyu Mungu aliepigwa mitama na Yakobo?
Naona mnashusha tu vinu vya maana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu hamuogopi🤭🤭🤭Unamzungumzia huyu Mungu aliepigwa mitama na Yakobo?
Otorong'ong'o 👆Mungu mwenyewe amefungua codes Jina lake likajulikana.
hizo codes alikufungulia wewe na mamako??Mungu mwenyewe amefungua codes Jina lake likajulikana.
Ndio.hizo codes alikufungulia wewe na mamako??
Anasema eti "ndio"hizo codes alikufungulia wewe na mamako??
Sasa nisemeje!!Anasema eti "ndio"
Otorong'ong'o 👆Sasa nisemeje!!
Mimi na mamangu na family yangu tumepewa kulijua Jina pekee la Mungu.
Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO /YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake.
Amen
Jiangalieni kudhihaki mtumishi wa Mungu,
Wapi umedhihakiwaJiangalieni kudhihaki mtumishi wa Mungu,
Kuna LAANA,
Nawatahadharisha tu.
Walioandika na kuiandaa biblia hawajui jina la Mungu ije kuwa wewe uliyevimbiwa maharagwe???Sasa nisemeje!!
Mimi na mamangu na family yangu tumepewa kulijua Jina pekee la Mungu.
Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO /YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake.
Amen
Njaa Yako badala ukimbilie tumboni imekimbilia kichwani....ona sasaNdio.
Kwamba nawe hulijui Jina la Mungu?Walioandika na kuiandaa biblia hawajui jina la Mungu ije kuwa wewe uliyevimbiwa maharagwe???
Ni Tahadhari tu.Wapi umedhihakiwa
Unaishi wapi wewe Mungu ana Jina lipitalo majina yote,Walioandika na kuiandaa biblia hawajui jina la Mungu ije kuwa wewe uliyevimbiwa maharagwe???
Yaani leo ndio nauona uzi yaani Mamia ya Wakristo hawalijui Jina lipitalo majina yote na hua wanaimba kabisaKwamba nawe hulijui Jina la Mungu?
Sasa unaabudu usichokijua?
Na yeyote anayedai anamjua Mungu Kisha anakana uungu wa Yesu,Unaishi wapi wewe Mungu ana Jina lipitalo majina yote,
Hukusoma Sunday school Jina la
YESU ndio Jina lipitalo majina yote?
Code ndogo tu hii unatoa jasho mkuu😁
Hakuna Jina jingine ambalo wanadamu tupewa liokoalo zaidi ya hilo Jina,
Ni Jina kuu mno lenye mamlaka makubwa na kuogofya,
No more! no more! no more!
Kumjua Siri hiyo ni Hadi ufunuliwe na Roho mtakatifu.Yaani leo ndio nauona uzi yaani Mamia ya Wakristo hawalijui Jina lipitalo majina yote na hua wanaimba kabisa
🎶Jiiina Yesu lapita majina yoooote🎵
Jina lako ni kuu sanaaaa
Lapita majina yoooteee eeeh🎶
Wakristo wa hovyo hawaaa wanahitaji kuchapwa mboko kabisaa!
Hakuna Kiumbe yeyote wa zama hizi atamjua Mungu bila Bwana Yesu hakuna na haitakaa itokee milele yote!Na yeyote anayedai anamjua Mungu Kisha anakana uungu wa Yesu,
Huyo anaongozwa na Roho ya mpinga kristo, Masih jadal.
Hii ndio siri kuu ya Uungu,Kumjua Siri hiyo ni Hadi ufunuliwe na Roho mtakatifu.
Jina lipitalo Majina yote Mbinguni na duniani,
Hilo ni Jina la Mungu.
Mungu ni MMOJA, na YESU KRISTO YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake. Amen
Wachawi wote wanaujua uungu wa Yesu,wameapizwa wasikiri.Hii ndio siri kuu ya Uungu,
Watu wasipotambua hili wataendelea kujidanganya na hadith za kufurahisha genge na hawatakaa wapate ukombozi wa Roho na Mwili yaani hao ni slave na lost human being!