Je, Mungu analo Jina? Jina lake ni lipi?

Je, Mungu analo Jina? Jina lake ni lipi?

Kuna jukwaa ambalo wengi hatuwezi kuchangia?
Tunaweza kuingiaje huko, kuna mchango?
Kuna thread niliwahi andika ikahamishiwa jukwaa la Dini/ Imani.

Jukwaa Hilo ni limited, Si wote wanaweza view huko.

Thread ilisomeka: Revealed; Mungu ni MMOJA, na JINA lake ni Yesu/ YESHUA HAMASHIACH - Rabbon.

Ukiweza kuingia na kusoma Kwa Ruhusa ya moderators, Kuna madini ya kutosha.
 
"Niko, Ambaye Niko"
"I Am Who I Am"
NIKO AMBAYE NIKO=YEHOVA.

Pengine amejitambulisha kama BWANA.

Pengine amejitambulisha kama BWANA Mungu.

Yote hayo ni Majina, Jina lake personal ni nani?

Soma (Wafilipi 2: 10-11) lipo Jina Moja pekee la Mungu lipitalo Majina yote ambalo tumepewa WANADAMU liwezalo kuokoa.

Ubarikiwe.
 
NIKO AMBAYE NIKO=YEHOVA.

Pengine amejitambulisha kama BWANA.

Pengine amejitambulisha kama BWANA Mungu.

Yote hayo ni Majina, Jina lake personal ni nani?

Soma (Wafilipi 2: 10-11) lipo Jina Moja pekee la Mungu lipitalo Majina yote ambalo tumepewa WANADAMU liwezalo kuokoa.

Ubarikiwe.
BWANA, MUNGU; vyote hivi ni vyeo
Na utagundua kuwa pale MUNGU alipokuwa anakwenda kwa ajili ya misheni za kivita, mithili ya pale alipokuwa anaenda kuchoma SODOMA na GOMORA, alikuwa anatumia cheo BWANA, japo si kila cheo BWANA kilipotumika, alikuwa kwenye misheni
 
BWANA, MUNGU; vyote hivi ni vyeo
Na utagundua kuwa pale MUNGU alipokuwa anakwenda kwa ajili ya misheni za kivita, mithili ya pale alipokuwa anaenda kuchoma SODOMA na GOMORA, alikuwa anatumia cheo BWANA, japo si kila cheo BWANA kilipotumika, alikuwa kwenye misheni
Ni Kweli, umeshalijua Jina lake pekee sawasawa na (Wafilipi 2:10-11)?
 
Salaam, Shalom!!

Mungu ni Jina la Cheo kikubwa kuliko vyeo na mamlaka yote Mbinguni na duniani.

Swali ni je, Mungu analo Jina lake binafsi?

Jina la Mungu ni nani?

Karibuni 🙏
Nilipata kusikiliza muhadhara wa mtu mmoja anaitwa Dr. Ali Ataie ambaye alizungumzia kuhusu jina la Mungu kutoka lugha mbalimbali na imani mbalimbali, kama utakuwa interested na una wakati na bando lakutosha pitia link hapo chini.

View: https://www.youtube.com/watch?v=Gi1EwbQHTVg
 
Anachelewa kurudi sababu anasubiri wewe Fendi utubu na kuacha DHAMBI.
Ahahaha Basi na Yeye ni Msanii tu..Cos ni vipi kama Tusipotubu Kabisa?ina maana ndio Basi ataghairi asije?haha ..haya mambo haya yanachanganya sana ndugu yangu
 
Kwa sisi waislamu Mungu ana majina 100.

Majina yanayojulikana na wengi ni majina 99 hilo moja wanalijua mitumie na wale watu wacha Mungu sana.

Ukilijua hilo jina chochote utakachokiomba ni rahisi kukubaliwa ndani ya muda mfupi sana.

Hilo jina la 100 ambaalo ni jina lake halisi ni
يهوه
 
Sasa bila kuwepo Kwa Dini huyo Mungu ungemjuaje ?
Adam bustani ya Eden alimjua Mungu bila kuwepo dini yoyote.

Ibrahim hakuwa na dini yoyote alipoitwa na Mungu.

Kumjua Mungu inahitaji Imani pekee, baas!!
 
Kwa Ukristo.
Mungu ni cheo cha juu anatambulika kama Jehovah.
Yesu ni nguvu kuu ya utendaji iliyo ndani ya Mungu.
Thus huwezi kemea pepo kwa jina la Mungu bali Yesu.
Shetani anaogopa jina la Yesu na sio Jehovah.
We shetani anaogopa mamlaka sio jina. Unaweza tumia jina Yesu shetani asiogope kama huna muunganiko na mamlaka ya kimungu. Atakachofanya ni kukutandika viboko kwa nini umetaja hilo jina.
Ipo hivi, ukiwa na muunganiko (connection) hilo jina linakuwa kama password. Pia ukiwa na muunganiko huo, unaweza tumia mamlaka ya kimungu kumkimbiza shetani kwa kutumia jina la Mungu kwa kutamka hata bila kutamka.
Kwa taarifa yako wapo wanaokimbiza majini kwa kusema toka likatoka. Hii ni baada ya kuwa na kitu kinaitwa connection. Ukiwa nayo wewe utaenda sehemu yenye wachawi wakakukimbia bila hata ya kutamka neno.
Tujifunze zaidi kujua mamlaka ya Mungu ilivyo UKWELI WAKE, MTAIJUA KWELI HIYO NAYO ITAWAWEKA HURU.
 
Adam bustani ya Eden alimjua Mungu bila kuwepo dini yoyote.

Ibrahim hakuwa na dini yoyote alipoitwa na Mungu.

Kumjua Mungu inahitaji Imani pekee, baas!!
Imani au utashi, bila hiyo Mungu hana muda na huyo binadamu kwani yeye hana hasara, anaangalia wale wenye uhitaji, wamtafutao kwa bidii atawaruhusu wamjue, waujue ukuu wake.
 
Tutofautishe kati ya majina ya cheo na majina ya pekee hivyo Mungu ambaye ni muumba mbingu na nchi ana majina mengi ya cheo kulingana na ukuu wake kwahyo unaweza kumuita Mungu,bwana,mwenza yote,mwenyeenzi kuu, n.k lakini anajina la Pekee ambalo linapatikana Zaburi 83.18 jina hilo ni YEHOVA .jina hili ndo humtofautisha na miungu mingine
 
Back
Top Bottom