Je, Mungu analo Jina? Jina lake ni lipi?

Je, Mungu analo Jina? Jina lake ni lipi?

Hayo mengi ni office au Majina yake kulingana na office husika, bt WANADAMU tumepewa Jina Moja tu la Mungu.
Hauko sahihi..Mungu ni sawa na kusema au kama ulivyo wewe..yaani wewe ni Binadamu lakini jina lako ni Rabbon..hivyo ni Mungu lakini jina lake ni Jehovah.
 
JEHOVA=MWENYEZI MUNGU=YHWH.

Hilo ni Jina linalowakilisha uweza na ukuu wa Mungu, Si Jina lake personal.

AGANO la kale, Jina la Mungu lilifichwa, ndomana kujazwa na Majina mengi Sawa sawa na KAZI afanyazo.

AGANO jipya ndo amejifunua Kwa Jina lipitalo Majina yote Mbinguni na duniani liwezalo kuokoa.

Unalijua Jina Hilo?
 
Kwa sisi waislamu Mungu ana majina 100.

Majina yanayojulikana na wengi ni majina 99 hilo moja wanalijua mitumie na wale watu wacha Mungu sana.

Ukilijua hilo jina chochote utakachokiomba ni rahisi kukubaliwa ndani ya muda mfupi sana.
Yesu akawaambia ombeni lolote kwa jina langu nami nitalifanya.
 
JEHOVA=MWENYEZI MUNGU=YHWH.

Hilo ni Jina linalowakilisha uweza na ukuu wa Mungu, Si Jina lake personal.

AGANO la kale, Jina la Mungu lilifichwa, ndomana kujazwa na Majina mengi Sawa sawa na KAZI afanyazo.

AGANO jipya ndo amejifunua Kwa Jina lipitalo Majina yote Mbinguni na duniani liwezalo kuokoa.

Unalijua Jina Hilo?
Ahsante..litaje tu Mkuu
 
Ahsante..litaje tu Mkuu
(Wafilipi 2:9-11)

Limetajwa Jina lipitalo Majina yote Mbinguni na duniani.

Nabii Isaya alilitaja kificho Kwa kusema IMMANUEL.

Malaika Gabriel akafunua wazi IMMANUEL sifa zile zile na kumtaja YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH.

Ukitaka kujua utofauti na ukuu wa Jina YESU na Majina mengine,

Litaje Kwa wachawi na mapepo.

Revealed: Mungu ni MMOJA na YESU ndilo JINA lake tulilopewa WANADAMU.

Amen
 
Ukipata ufahamu utaelewa kuwa Yesu ni neno lililovaa mwili.
Neno lililovaa mwili, ni Mungu KATIKA mwili na mwonekano wa mwanadamu, unashindwa vp kujua Yesu ni Jina la Mungu, Yesu ni Mungu KATIKA Roho?
(Isaya 9:6-7)
Maana Kwa ajili yetu mtoto amezaliwa,

Tumepewa mtoto mwanamume

Naye ataitwa Jina lake Mfalme wa Wafalme, Mungu mwenye nguvu, Baba wa Milele na enzi ya utawala wake haitakuwa na mwisho kamwe.

Title ya mfalme wa Wafalme na hizo zingine ni title za Mungu.

Yesu ni Mungu,

Yesu ni Jina la Mungu.

Mungu ni MMOJA na YESU ndilo JINA lake.

Mungu kupitia Yesu na Roho wake mtakatifu na akuondolee upofu ujue Yesu ni Mungu.

Bado upo kizazi cha tatu na majira ya tano ya uumbaji,Muumba akupe uheri kumjua maana mapokeo na mifumo umekuwekea utumwa wa kifikra.

Ndo maana yesu aliwaambia mnaabudu msichokijua.

Na katika Yohana 4:23 akasema
Lakini saa inakuja, nayo sasa ipo, ambayo waabuduo halisi watamwabudu Baba katika roho na kweli. Kwa maana Baba awatafuta watu kama hao wamwabudu.
 
Pia Mungu akamwambia Mose, “Mimi ndimi Bwana. 3 Nilimtokea Abrahamu, Isaki na Yakobo kama Mungu Mwenyezi, ingawa sikuwajulisha Jina langu, Yehova, Mimi mwenyewe sikujitambulisha kwao. 4
 
(John 10:30-38)

I and the father are one.

Mungu ni MMOJA na YESU ndilo JINA lake.

Huwezi mtenga Yesu na Mungu ukabaki na Imani sahihi.

Kumtenga Yesu na Uungu wake, unaangukia kuwa Mpinga Kristo.
 
Pia Mungu akamwambia Mose, “Mimi ndimi Bwana. 3 Nilimtokea Abrahamu, Isaki na Yakobo kama Mungu Mwenyezi, ingawa sikuwajulisha Jina langu, Yehova, Mimi mwenyewe sikujitambulisha kwao. 4
Ukitaka kujua YEHOVA Si Jina personal la Mungu,

Fanya Utafiti.

Nenda Kwa aliyepagawa na Pepo, kemea Pepo Kwa Jina la YEHOVA.

Halafu pia Kwa wakati tofauti kemea Pepo Kwa Jina la YESU.

Ndipo uje na jibu sahihi juu ya Jina la Mungu ni nani, Yesu au YEHOVA.
 
Salaam, Shalom!!

Mungu ni Jina la Cheo kikubwa kuliko vyeo na mamlaka yote Mbinguni na duniani.

Swali ni je, Mungu analo Jina lake binafsi?

Jina la Mungu ni nani?

Karibuni 🙏
kwa kichaga anaitwa RUWA,kwa lugha ya kiswahili MUNGU,kwa kiingereza GOD,kiarabu ALLAH,kwa lugha nyingine,EI-SHADAI,YEHOVA YIRE,NIKO AMBAE NIKO,...ana majina mengi sana!!
 
kwa kichaga anaitwa RUWA,kwa lugha ya kiswahili MUNGU,kwa kiingereza GOD,kiarabu ALLAH,kwa lugha nyingine,EI-SHADAI,YEHOVA YIRE,NIKO AMBAE NIKO,...ana majina mengi sana!!
Ni kama tu wewe unaitwa Baba home, sokoni unaitwa mteja,

Ndani ya bus unaitwa Msafiri.

Hospitali unaitwa mgonjwa,

Ofisini Boss au Kibarua.

Kwa mkeo akwita mume.

Majina Yako ni mengi, ila Jina lako ni MOJA.

Likewise,

Majina ya Mungu ni mengi kulingana na KAZI ajifunuazo kwazo,

Bt analo Jina lake Moja tulilopewa WANADAMU liwezalo kuokoa. (Wafilipi 2:9-11)

Tafuta kulijua Ili ujitofautishe na miungu,

Waislamu wanadai Allah alimsilimisha shetani, lazima uwe na mashaka kuhusu huyo Allah kama Kweli ndiye Mungu Mmoja pekee mwenye mamlaka yote duniani na Mbinguni.

Litaje Jina la Mungu ikiwa walijua🙏
 
Then akakishinda kifo baada ya siku tatu yupo hai Hadi Leo hata shetani anakimbia ukilitaja jina lake.
Kipimo cha nguvu Jesus ana ACds 100 shetani ana 45,jini ana 35,mwanadamu ana 17 .
Blaza yuko Hai wapi?Watu wamekaa karne Kibao wanamsubiri kila siku ni story atarudi atarudi,lini?kama yuko Hai si Aje ?maana kama ni ukombozi aje aufanye sasa ..madhambi yako kibao..
 
Blaza yuko Hai wapi?Watu wamekaa karne Kibao wanamsubiri kila siku ni story atarudi atarudi,lini?kama yuko Hai si Aje ?maana kama ni ukombozi aje aufanye sasa ..madhambi yako kibao..
Anachelewa kurudi sababu anasubiri wewe Fendi utubu na kuacha DHAMBI.
 
Ni kama tu wewe unaitwa Baba home, sokoni unaitwa mteja,

Ndani ya bus unaitwa Msafiri.

Hospitali unaitwa mgonjwa,

Ofisini Boss au Kibarua.

Kwa mkeo akwita mume.

Majina Yako ni mengi, ila Jina lako ni MOJA.

Likewise,

Majina ya Mungu ni mengi kulingana na KAZI ajifunuazo kwazo,

Bt analo Jina lake Moja tulilopewa WANADAMU liwezalo kuokoa. (Wafilipi 2:9-11)

Tafuta kulijua Ili ujitofautishe na miungu,

Waislamu wanadai Allah alimsilimisha shetani, lazima uwe na mashaka kuhusu huyo Allah kama Kweli ndiye Mungu Mmoja pekee mwenye mamlaka yote duniani na Mbinguni.

Litaje Jina la Mungu ikiwa walijua🙏
kweli,ila usichunguze yaliyojificha,ALLAH kama wenzetu wanamjua na kumtambua kwa jina hilo inabidi uwaheshimu!! hayo ni majina tu!!!''''mbona kwenye biblia MUNGU alipigana na yakobo mpaka asubui,,,,mpaka MUNGU akamwomba po yakobo ili amwachie,,sasa ni MUNGU gani anaeshindwa na binadanu?????...na akamwambia yakobo kuanzia leo,,,, utaitwa ISRAIL
 
kweli,ila usichunguze yaliyojificha,ALLAH kama wenzetu wanamjua na kumtambua kwa jina hilo inabidi uwaheshimu!! hayo ni majina tu!!!''''mbona kwenye biblia MUNGU alipigana na yakobo mpaka asubui,,,,mpaka MUNGU akamwomba po yakobo ili amwachie,,sasa ni MUNGU gani anaeshindwa na binadanu?????...na akamwambia yakobo,,,,kuanzie utaitwa ISRAIL
Usipochunguza yaliyojificha utajuaje kama unaabudu sahihi au la?

Unashangaa Yakobo kushindana na Mungu aliyeamua kuonekana kama mwanadamu,

Mbona hushangai Shetani mwenyewe alikuja duniani na akawa mfalme wa Tiro? Mwanadamu kabisa, lakini ni shetani mwenyewe katika Roho?

Mbona hushangai Mungu alivaa mwili na Kuzaliwa kama mwanadamu akaitwa Yesu?
 
Back
Top Bottom