Je, Mungu analo Jina? Jina lake ni lipi?

Akili huna wewe ngedere

Kila dini ina Mungu wake .

View attachment 2901341
Mm najua na hiyo imethibitishwa na wachambuzi wa Quran kuwa majina matano kati ya majina 99 ya Allah yanaonyesha yeye ndiye yule SHETANI. Hapo kwenye majina Yako 99 nimeyaona majina 4. Moja lile linalomuonyesha Allah ni Deceiver ( Al Makir) halipo. Au labda hilo ndilo Jina ambalo Allah ametuficha ili tusimtambue kuwa yeye ndiye yule SHETANI MWENYEWE?
Screenshot_20230829-235103~2.png
 
View attachment 2902120
Ndomana ukimtaja Yesu wanakuchukia!!
 
Uzao wa isaka(wakristo) na ishamaeli (waislam) wanapingana kiimani ila baba yao ni mmoja.

Weupe (waedomu) kwa weusi (wakush) wanavutana wakati ni pacha wa baba mmoja na mama mmoja.

Muumba CHANZO HALISI kaja kututoa hapo maana yeye ni UPENDO uliopitiliza, kaja kututoa kwenye tofauti za kiimani,kiitikadi, kikabila na kitaifa tumjue yeye maana wote wenye haki tulioumbwa ni wa kwake.
 
Mention his name!!
 
Mention his name!!

Mungu Baba

Yohana 17:3

Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.

Yesu ni nabii na mtume alitumwa pia na Muumba.
 
Salaam, Shalom!!

Mungu ni Jina la Cheo kikubwa kuliko vyeo na mamlaka yote Mbinguni na duniani.

Swali ni je, Mungu analo Jina lake binafsi?

Jina la Mungu ni nani?

Karibuni 🙏
YHWH
 
Brain washed...Huna lolote.
Story za waarabu na wayahudi hizo...wewe umeletewa tu...na nimarufuku kuhoji. Ukihoji unaambiwa unakufuru..

Kwanza wenyewe wanastaajabu mlivyo wajinga kwa kukumbatia mila zao na kuacha zakwenu.
Mila zetu ni zipi
 
Mungu mwenye mwanzo na mwisho (mwanzo 1:1,ufunuo 1:8, ufunuo 21:6, ufunuo 22:13) aliekuwa anaabudiwa na wengi hata yeye aliumbwa na Muumba yaani CHANZO HALISI (warumi 11:36) asiye na mwanzo wala mwisho.
(Ufunuo 22:13,16)

13:Inamtaja Yesu kuwa ndiye Alpha na Omega, ndiye mwanzo na mwisho.

16: Mimi Yesu, nimemtuma Malaika wangu kushuhudia.

Jina la Mungu ni Yesu.

Mungu ni MMOJA na YESU ndilo JINA lake.

Amen
 
(Ufunuo 22:13)

Inamtaja Yesu kuwa ndiye Alpha na Omega, ndiye mwanzo na mwisho.

Soma 1korintho 15:24,28

24 Hapo ndipo mwisho, atakapompa Mungu Baba ufalme wake; atakapobatilisha utawala wote, na mamlaka yote, na nguvu.

28 Basi, vitu vyote vikiisha kutiishwa chini yake, ndipo Mwana (Yesu) mwenyewe naye atatiishwa chini yake yeye aliyemtiishia vitu vyote, ili kwamba Mungu awe yote katika wote.

Mwisho anakabidhi nguvu,uweza na mamlaka kwa aliyemtuma yaani alikuwepo kabla ya chochote CHANZO HALISI.
 
Soma whole chapter, Anaongelea ufufuo wa WAFU.
 
Salaam, Shalom!!

Mungu ni Jina la Cheo kikubwa kuliko vyeo na mamlaka yote Mbinguni na duniani.

Swali ni je, Mungu analo Jina lake binafsi?

Jina la Mungu ni nani?

Karibuni 🙏
JEHOVAH
 
Back
Top Bottom