- Thread starter
- #301
Nje ya mada.Hicho kitabu kiliandikwa na nani?
Mada inajieleza wazi, Ili ulijibu swali Hilo, shart uwe unaamini.
Ikiwa huamini Mungu kuwa yupo na huamini Neno lake,
Hapa Si Mahali pako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nje ya mada.Hicho kitabu kiliandikwa na nani?
Litaje Jina pekee la Mungu tulilopewa WANADAMU litupasalo kuokolewa kwalo.YAHWEH
YHWH
JEHOVAH
Jehova jireh
Jehova rafah
Jehova shamah
......…
.........
......
Mfano Jehova jireh
Baada ya jamaa kutaka kumtoa mwanae sadaka akaletewa kondoo ndipo akasema Jehova jireh ikiwa na maana Mungu atoaye
Kwahiyo hizo ulizotaja na nyingine nyingi zinaendana na matukio yaliyotokea kwa manabii kuonyesha ukuu wa Mungu lakini siyo jina la moja kwa moja la Mungu
Ubarikiwe.Jina la Mungu ni Yesu Kristo
Kabla ya vitabu vya wazungu kuja huku Afrika, wakiwa na ajenda zao; waafrika walikuwa wakiabudu nini?Nje ya mada.
Mada inajieleza wazi, Ili ulijibu swali Hilo, shart uwe unaamini.
Ikiwa huamini Mungu kuwa yupo na huamini Neno lake,
Hapa Si Mahali pako.
Nje ya mada.Kabla ya vitabu vya wazungu kuja huku Afrika, wakiwa na ajenda zao; waafrika walikuwa wakiabudu nini?
JehovahSalaam, Shalom!!
Mungu ni Jina la Cheo kikubwa kuliko vyeo na mamlaka yote Mbinguni na duniani.
Swali ni je, Mungu analo Jina lake binafsi?
Jina la Mungu ni nani?
Karibuni [emoji120]
Jehova=Mwenyezi Mungu.
Sio kweli kabisa... ALLAH tafsiri yake sio mungu ila ILAHU tafsiri yake ndio munguAllah ni neno la kiarabu kwa kiswahili ndio Mungu kwa kiingereza God kwa kihindi Krishna.
Hizi elimu za kiroho ni kubwa sana kwako pita kushotoStory za kusadikika hizo...ili uziamini ni lazima ujizime data ( usihoji kwa logic)
Ukisoma comments zote,Mtoa mada nazan ww una jibu lako hebu tuambie ww unazan jina lake ni nani?
Kwasababu kila mtu anavyo kueleza anacho kijua inaonekan kumpinga!!
Ukisoma kwa utulivu utaelewa nini maana ya Ukuu,nguvu,Kuna kitu hujaelewa mkuu. Mwambie Mchungaji wako akuambie Yesu ni nani?
Then akakishinda kifo baada ya siku tatu yupo hai Hadi Leo hata shetani anakimbia ukilitaja jina lake.Shetani amuogope Yesu?Yesu Huyu Huyu ambae aliuwawa na wahuni ?ndio shetani amuogope?
Mungu usikia lugha zote we muite tuHapo unataka majina ya KIYAHUDI
wewe huna kabila? Huna asili.
Mungu aliumba Kila kabila na lugha yake na majina yake ili wanapomuomba watumie hiyo lugha aliyowapa. Waafrika walivyovyo maandazi wakaona fasheni ni kuiga lugha za Kiarabu, kiyahudi na kizungu pamoja na majina Yao ndio maana tunakosa baraka maana Mungu hatusikii tunapopmba. Yeye amekupa lugha majina ya kwako lakini unatumia lugha na majina ya Kiarabu, kiyahudi na kizungu
Yesu ni Mungu.Then akakishinda kifo baada ya siku tatu yupo hai Hadi Leo hata shetani anakimbia ukilitaja jina lake.
Kipimo cha nguvu Jesus ana ACds 100 shetani ana 50,jini ana 35,mwanadamu ana 17 .
(Wafilipi 2:9-11)Ukiweka mapokeo pembeni na dini ukapata ufahamu na uelewa wa Muumba maana yeye hana dini wala dhehebu wala kabila,utaelewa alivyosema katika
Zaburi 138:2c
Kwa maana umeikuza ahadi yako, Kuliko jina lako lote.
Kwa sisi waislamu Mungu ana majina 100.
Majina yanayojulikana na wengi ni majina 99 hilo moja wanalijua mitumie na wale watu wacha Mungu sana.
Ukilijua hilo jina chochote utakachokiomba ni rahisi kukubaliwa ndani ya muda mfupi sana.
Majina yote mazuri ni yake
Yawhe
Jehova Jire
Jehova Rafa
Jehova Nisi
..........
........
Ukiona mtu anamajina mengi huyo ni tapeli; jambo ambalo siyo kabisa kwa Mungu wa Kweli.anayo mengi
Brain washed...Huna lolote.Hizi elimu za kiroho ni kubwa sana kwako pita kushoto