Je, Mungu analo Jina? Jina lake ni lipi?

Je, Mungu analo Jina? Jina lake ni lipi?

YAHWEH
YHWH
JEHOVAH

Jehova jireh
Jehova rafah
Jehova shamah
......…
.........
......
Mfano Jehova jireh
Baada ya jamaa kutaka kumtoa mwanae sadaka akaletewa kondoo ndipo akasema Jehova jireh ikiwa na maana Mungu atoaye
Kwahiyo hizo ulizotaja na nyingine nyingi zinaendana na matukio yaliyotokea kwa manabii kuonyesha ukuu wa Mungu lakini siyo jina la moja kwa moja la Mungu
Litaje Jina pekee la Mungu tulilopewa WANADAMU litupasalo kuokolewa kwalo.

Soma (Wafilipi 2:9-11).
 
Nje ya mada.

Mada inajieleza wazi, Ili ulijibu swali Hilo, shart uwe unaamini.

Ikiwa huamini Mungu kuwa yupo na huamini Neno lake,

Hapa Si Mahali pako.
Kabla ya vitabu vya wazungu kuja huku Afrika, wakiwa na ajenda zao; waafrika walikuwa wakiabudu nini?
 
Jehovah

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
Jehova=Mwenyezi Mungu.

Si Jina halisi, personal la Mungu.

Tafuta Bado utajua.

Tukilijua Jina la Mungu personal,tutaweza kutofautisha na miungu yenye tamaa ya kutaka iabudiwe.

Bt pia ukisoma comments, wapo wameshajibu swali Kwa ufasaha.

Ubarikiwe.
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Mtoa mada nazan ww una jibu lako hebu tuambie ww unazan jina lake ni nani?
Kwasababu kila mtu anavyo kueleza anacho kijua inaonekan kumpinga!!
 
Allah ni neno la kiarabu kwa kiswahili ndio Mungu kwa kiingereza God kwa kihindi Krishna.
Sio kweli kabisa... ALLAH tafsiri yake sio mungu ila ILAHU tafsiri yake ndio mungu

Neno ALLAH hakuna wingi, ila ILAHU Ina wingi kama ilivyo kwenye tafsiri Yako MUNGU = MIUNGU, GOD = GODS
 
Mtoa mada nazan ww una jibu lako hebu tuambie ww unazan jina lake ni nani?
Kwasababu kila mtu anavyo kueleza anacho kijua inaonekan kumpinga!!
Ukisoma comments zote,
Wapo waliojibu sahihi.

Soma (Wafilipi 2:9-11).
 
Shetani amuogope Yesu?Yesu Huyu Huyu ambae aliuwawa na wahuni ?ndio shetani amuogope?
Then akakishinda kifo baada ya siku tatu yupo hai Hadi Leo hata shetani anakimbia ukilitaja jina lake.
Kipimo cha nguvu Jesus ana ACds 100 shetani ana 45,jini ana 35,mwanadamu ana 17 .
 
Hapo unataka majina ya KIYAHUDI

wewe huna kabila? Huna asili.

Mungu aliumba Kila kabila na lugha yake na majina yake ili wanapomuomba watumie hiyo lugha aliyowapa. Waafrika walivyovyo maandazi wakaona fasheni ni kuiga lugha za Kiarabu, kiyahudi na kizungu pamoja na majina Yao ndio maana tunakosa baraka maana Mungu hatusikii tunapopmba. Yeye amekupa lugha majina ya kwako lakini unatumia lugha na majina ya Kiarabu, kiyahudi na kizungu
Mungu usikia lugha zote we muite tu
 
Then akakishinda kifo baada ya siku tatu yupo hai Hadi Leo hata shetani anakimbia ukilitaja jina lake.
Kipimo cha nguvu Jesus ana ACds 100 shetani ana 50,jini ana 35,mwanadamu ana 17 .
Yesu ni Mungu.

Hata kipimo Cha nguvu zake kiroho hazipimiki.

Shetani ambaye hata gereza la kuzimu hakulijenga au kuliumba, hawezi kuwa na nusu ya nguvu za Mungu.

Amen
 
Ukiweka mapokeo pembeni na dini ukapata ufahamu na uelewa wa Muumba maana yeye hana dini wala dhehebu wala kabila,utaelewa alivyosema katika

Zaburi 138:2c

Kwa maana umeikuza ahadi yako, Kuliko jina lako lote.
 
Ukiweka mapokeo pembeni na dini ukapata ufahamu na uelewa wa Muumba maana yeye hana dini wala dhehebu wala kabila,utaelewa alivyosema katika

Zaburi 138:2c

Kwa maana umeikuza ahadi yako, Kuliko jina lako lote.
(Wafilipi 2:9-11)

Name above all names.
 
Kwa sisi waislamu Mungu ana majina 100.

Majina yanayojulikana na wengi ni majina 99 hilo moja wanalijua mitumie na wale watu wacha Mungu sana.

Ukilijua hilo jina chochote utakachokiomba ni rahisi kukubaliwa ndani ya muda mfupi sana.
Majina yote mazuri ni yake
Yawhe
Jehova Jire
Jehova Rafa
Jehova Nisi
..........
........
anayo mengi
Ukiona mtu anamajina mengi huyo ni tapeli; jambo ambalo siyo kabisa kwa Mungu wa Kweli.
Yeye alimwambia Mussa katika Kutoka 6:2
Kisha Mungu akamwambia Musa: “Mimi ni Yehova. 3 Nami nilikuwa nikimtokea Abrahamu, Isaka, na Yakobo kama Mungu Mweza-Yote, lakini kwa jina langu Yehova sikujitambulisha kwao."
Kuna mtu humu anasema anaitwa Yehova Yire!! Hapana. Badala yake Yehova Yire ni Sehemu
 
Jina la Baba ndilo Hilo Jina la YESU.

(Yohana 5:43)

Mimi nimekuja Kwa Jina la BABA yangu, ninyi hamnipokei,

Lakini akija mwingine Kwa Jina lake, mtampokea huyo.

Mungu, Asante Kwa kuja Duniani katika mwili wa mwanadamu na kulifunua Jina lako lililokuwa limefichwa enzi na enzi.

Amen
 
Hizi elimu za kiroho ni kubwa sana kwako pita kushoto
Brain washed...Huna lolote.
Story za waarabu na wayahudi hizo...wewe umeletewa tu...na nimarufuku kuhoji. Ukihoji unaambiwa unakufuru..

Kwanza wenyewe wanastaajabu mlivyo wajinga kwa kukumbatia mila zao na kuacha zakwenu.
 
Back
Top Bottom