Je, Mungu analo Jina? Jina lake ni lipi?

Je, Mungu analo Jina? Jina lake ni lipi?

Tutofautishe kati ya majina ya cheo na majina ya pekee hivyo Mungu ambaye ni muumba mbingu na nchi ana majina mengi ya cheo kulingana na ukuu wake kwahyo unaweza kumuita Mungu,bwana,mwenza yote,mwenyeenzi kuu, n.k lakini anajina la Pekee ambalo linapatikana Zaburi 83.18 jina hilo ni YEHOVA .jina hili ndo humtofautisha na miungu mingine
YEHOVA= MWENYEZI MUNGU=YAHWEH.

Yote hayo ni Majina ya office kuu ya Mungu,

Lakini Jina la Mungu,tulilopewa WANADAMU,

Ni YESU KRISTO.

Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO YESHUA /HAMASHIACH ndilo JINA lake.

Amen
 
utaamua wewe unavyotaka kuita ila haya machache

tajiri
kiongozi
mkurugenzi
mkuu
 
Hakupewa na mtu,

Alilifunua Jina lake wanadamu tulijue.
Unajuaje kuwa hakupewa na mtu? Alipolifunua alisema kuwa kajipa mwenyewe? Jina alilitamka kwa lugha gani?

Binadamu ndo tunampa majina ili angalau kuwezesha akili ziweze mtafsiri. Fuatilia mazungumzo ya Musa na kijiti kinachowaka ila hakiteketei, utaelewa.
 
AGANO la kale,

Jina la Mungu halikufunuliwa,

Alijifunua Kwa Majina mbalimbali kulingana na office na mamlaka.

AGANO jipya, Jina la Mungu limefunuliwa wazi kabisa,

The name above all names,

The name of Jesus.

MUNGU ni MMOJA na YESU KRISTO /YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake.

Alisema ndo jina lake halisi? Usipotoshe boss.

YESU ni utambulisho wa MUNGU duniani akiwa katika umbile la mwanadamu, hata yeye YESU alipokuwa duniani hajawahi kusema jina la MUNGU, hata alipokuwa anakufa msalabani aliita jina ambalo baadae ilijulikana kumbe si jina akikuwa akiita MUNGU WANGU, MUNGU WANGU.
 
Soma (Wafilipi 2:9-11)

Hilo ndilo JINA pekee la Mungu tulilofunuliwa WANADAMU.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Soma (Wafilipi 2:9-11)

Hilo ndilo JINA pekee la Mungu tulilofunuliwa WANADAMU.
Boss, Anzia fungu la 5 sio 9, ni moja ya mafungu yanayomtenganisha MUNGU na YESU. Ukisoma haya mafungu ndipo unaona utofauti wa MUNGU MUNGU na MUNGU YESU.
 
Back
Top Bottom