- Thread starter
- #401
YEHOVA= MWENYEZI MUNGU=YAHWEH.Tutofautishe kati ya majina ya cheo na majina ya pekee hivyo Mungu ambaye ni muumba mbingu na nchi ana majina mengi ya cheo kulingana na ukuu wake kwahyo unaweza kumuita Mungu,bwana,mwenza yote,mwenyeenzi kuu, n.k lakini anajina la Pekee ambalo linapatikana Zaburi 83.18 jina hilo ni YEHOVA .jina hili ndo humtofautisha na miungu mingine
Yote hayo ni Majina ya office kuu ya Mungu,
Lakini Jina la Mungu,tulilopewa WANADAMU,
Ni YESU KRISTO.
Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO YESHUA /HAMASHIACH ndilo JINA lake.
Amen