Je, Mungu analo Jina? Jina lake ni lipi?

UTATIMIA BIBLIA yenu ya mchongo au BIBLIA halisi?πŸ˜€
Shalom Brother huko unapomwambia ni mbali sana hawezi kumjua bado bwana yesu
Mikael Gabriel yote ni mavazi ya Bwana Yesu kristo .
Sasa hujajua tu kuwa yesu ni nani, kwaio haina mana kukueleza kua yeye pia ni mkuu wa jeshi la mbinguni na ndie aliemshusha shetani chini.
Alikuwa mungu mwenyewe katika vazi la vita yaani mikael
 
Mungu akubariki sana
 
Unasoma biblia na unaielewa ila huiamini,mungu alijiumba kwanza kwakujipunguza ukubwa wake
Maana alijaaa kila mahali akajiumbia mwili wa yesu kristo ndipo sa akaumba vitu vyooote akiwa katika mwili hup.
Bila uo mwili wa yesu kristo kusingekuwa na kitu angeumba.
Yesu ni wakwanza na ni mungu mwenyewe alijifanyia mwili wa uumbaji
 
Ndo nakwambia,

Kuprove Jina YEHOVA, kemea Pepo Kwa Jina la YEHOVA Kisha uje kuleta majibu hapa.

YEHOVA ni sawa na kusema MWENYEZI MUNGU. Bado hujalitaja Jina lake.
Hallelujah hallelujah mjoli mwa minifu
 
Watu walikuwa na Mungu kabla msingi wa ulimwengu.
 
Watu walikuwa na Mungu kabla msingi wa ulimwengu.
True yaani hata ufanyaje kama ulishachaguliwa hata ufanye vituko atakupata tu
Ndio lile andiko la kondoo mmoja akipotea ataacha 99 na kumtafuta na akimpata atafanya sherehe!😁

Just imagine huo upendo yani,
Watu wengi hawajui hii siri ya Ufalme wa Mungu!
 
Hallelujah praise the Lord he just love me so much.
Sina nililofanya ni mungu amenifanyia
Pemba
 
Kuna shida hapo....?? maana yake akapewa jina kuwakilisha U- mungu MTU wake?? mbona unakichwa ngumu wewe
Wewe jamaa tatizo bible unasomewa na padre ndio maana hata huelewi Bible code,
Vitu vidogo tu hivyo vinakupiga chenga
Mpaka leo unajiita Mkristo hujui Jina La Yesu ndio limekilimiwa Uungu?
 
Mikael ni Malaika mkuu,

Yesu ni Mungu, Amiri jeshi mkuu

Ni kama tu kusema, mkuu wa Majeshi na Amiri jeshi mkuu, kijeshi hao ni wawili tofauti kabisa.
 
Huamini katika Dini lakini yesu unamuita Lord
 
Huamini katika Dini lakini yesu unamuita Lord
Yes Yesu hakuleta Dini mkuu alileta wokovu wafuasi wake baadae wakaleta dini dini ni mpango wa wanadamu kumtafuta Mungu bali wokovu ni mpango wa Mungu kuwatafuta wanadamu,
Unaweza ukapata wokovu bila dini na unaweza ukapata dini bila wokovu! Saad30
 
Salaam, Shalom!!

Mungu ni Jina la Cheo kikubwa kuliko vyeo na mamlaka yote Mbinguni na duniani.

Swali ni je, Mungu analo Jina lake binafsi?

Jina la Mungu ni nani?

Karibuni πŸ™
Mungu, God, Jah, Alah Ingurubi, Kyala, Yehova you can name it anayo mengi
 
Salaam, Shalom!!

Mungu ni Jina la Cheo kikubwa kuliko vyeo na mamlaka yote Mbinguni na duniani.

Swali ni je, Mungu analo Jina lake binafsi?

Jina la Mungu ni nani?

Karibuni πŸ™
Alijulikana kwa Ibrahimu kama Mungu Mwenyezi, kwa Musa alijiulikana kwa Jina la Yehova, katika Agano Jipya amejifunua kama Yesu Kristo
 
Kama ni mamlaka toa pepo kwa jina lako
Imo nguvu katika jina lake
Mapepo wanalijua
Ila huwezi kulitumia kama humuamini na wala yeye hakutambui
Nisome vizuri unielewe namaanisha nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…