Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Msaidie naona anakufanyia interview. Ukifanikiwa kuonesha utu anaweza kubali kukupa mimba na mtoto umleleee. So anza kumsaidia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina miezi sita sina ajira wala kazi na hali yangu ya uchumi ni mbaya mno, sina hata pa kuhemea.
Juzi nimekutana na mdogo wa rafiki yangu, tuliishi wote huko Arusha, dada ni mjamzito anasema amefukuzwa na bwanake, na bwanake karudisha na nyumba waliyokuwa wakiishi.
Nimemwambia urudi kijijini, anasema bora afe kuliko kurudi kijijini na hali ile. Ndugu zake niliachana nao siku nyingi sina namba zao za simu.
Kwa hali ya huyu dada anatakiwa kukaa chini ya uangalizi, sio ghetto.
Je namsaidiaje? Kwanini Mungu huu mtihani kanidondoshea mimi?
Hapo chachaKwani kaka ake yu wapi?
Yakobo 1:13-14Je namsaidiaje? Kwanini Mungu huu mtihani kanidondoshea mimi?
Hata kama ana shida ila maadam anahitaji msaada basi asaidiwe tuu hiO shida zinawahusu yy na mumewe wewe toa msaada kama una uwezoJiulize Kwanini bwanake amfukuze akiwa kwenye hali hiyo,, huyo atakua na shida sio bure....anyway kama umewiwa msaidie tu
Kwahiyo ukaona uingilie kwa gia hii ndio uombe kibarua??Ndugu zangu mwenye kazi yoyote ya kibarua niko tayari kuifanya ili nimsaidie huyu dada
Lakini kwenye Biblia hiyo hiyo kuna story ambapo Mungu na shetani walikubaliana wamjaribu mtu fulani baada ya Mungu kusema hawezi tingishwa na shetani kusema akipata majanga atakengeuka tu.
Yaani kwenye mahusiano ya awali hakuiona shida, akaja kuìna baada ya kuishi na mwanamke kwa zaidi ya miezi saba?Jiulize Kwanini bwanake amfukuze akiwa kwenye hali hiyo,, huyo atakua na shida sio bure....anyway kama umewiwa msaidie tu
Inategmea my friend...hata hivyo it is non of my businesses 😊🙌,, afanye anachoona yeye ni sahihi kwakeYaani kwenye mahusiano ya awali hakuiona shida, akaja kuìna baada ya kuishi na mwanamke kwa zaidi ya miezi saba?