McCollum
JF-Expert Member
- Jan 10, 2023
- 384
- 684
Swali langu ni hili, je, Mungu ataumba binadamu wengine baada ya kukifuta hiki kizazi cha tatu? Au baada ya dunia kufikia mwisho na sisi kukutana na doom ambayo Mungu ameipanga mambo ya binadamu ku-exist duniani yatapotea kabisa?
=======================
Salamu kwa wanajukwaa, nawasalimu wote.
Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada tajwa kwenye heading, Swali langu lime-base kwa watu wanaoamini katika U-ungu yaani kwamba kuna nguvu moja kubwa ambayo ndio ipo responsible kwa kuwafanya binadamu wa-exist hapa duniani na kwamba hata kupotea kwao (kifo au doom kwa dunia) kupo-controlled na hiyo nguvu ambayo kiurahisi tunaweza kuiita Mungu.
Swali langu ni hili, je, Mungu ataumba binadamu wengine ambao wata-kirithi hichi kizazi cha tatu baada ya dunia kufikia mwisho wake au ndo itakuwa mwisho mazima na mambo ya binadamu ku-exist yatapotea mazima?
Nasubiri maoni yako