Je, Mungu ataumba tena binadamu wengine baada ya dunia kufikia mwisho?

hii dunia haitabaki,kila physical object lazima ita depreaciate within time,miaka almost bilioni kumi ijayo jua litapoteza enery yake kwani lina poteza almost 700tonnes za gesi ya hydrogen na hellium kwa sekunde linapofanya neuclear fussion kuproduce light.jua likipoteza nguvu yake lita expand litameza sayari zote zilizo karibu yake na hapo hakutakua na kitu kinaitwa dunia ingawa ulimwengu wala hautajua kama kuna kipunje kimetoweka ,nyota nyingine na sayari nyingine zitaendelea na maisha yake na manyota mengine na masayari mengine yataendelea kujiform kama kawaida
Una evidence ya haya ulosema..
 
Hakuna energy yenye mwisho bali energy huwa tu na badiliko la kiumbo
 
Ni Dunia tu itafika mwisho au sayari zote? Mungu itabidi aanze upya!! Hatakubali na hakuna mwisho wa Dunia. Sema aangamize binadamu wote ili aanze upya! Haitawezekana, mfumo aliouweka ni huo huo. Mzungu na uzungu wake na Mwafrika na uafrika wake.
 
bora tuchomoke maana tumezidi kuharibu hii dunia! tumekuwa zaidi ya waarifu
 
Swali langu ni hili, je, Mungu ataumba binadamu wengine baada ya kukifuta hiki kizazi cha tatu? Au baada ya dunia kufikia mwisho na sisi kukutana na doom ambayo Mungu ameipanga mambo ya binadamu ku-exist duniani yatapotea kabisa?

=======================

Salamu kwa wanajukwaa, nawasalimu wote.

Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada tajwa kwenye heading, Swali langu lime-base kwa watu wanaoamini katika U-ungu yaani kwamba kuna nguvu moja kubwa ambayo ndio ipo responsible kwa kuwafanya binadamu wa-exist hapa duniani na kwamba hata kupotea kwao (kifo au doom kwa dunia) kupo-controlled na hiyo nguvu ambayo kiurahisi tunaweza kuiita Mungu.

Swali langu ni hili, je, Mungu ataumba binadamu wengine ambao wata-kirithi hichi kizazi cha tatu baada ya dunia kufikia mwisho wake au ndo itakuwa mwisho mazima na mambo ya binadamu ku-exist yatapotea mazima?

Nasubiri maoni yako
hamna mwisho wa dunia, mwisho wako ni siku ya kufa
 
Mhubiri 1:4:"
DUNIA INADUMU MILELE."

Maandiko mengine yenye hilo wazo kama hilo
Zaburi 78:69
Zaburi 104:5
Zaburi 119:90.
Lakini ujio wa kristo YESU umebadili mfumo mzima,,jeh kuna kitabu chochote cha agano jipya kitakacho-support haya maandiko?????
 
Swali langu ni hili, je, Mungu ataumba binadamu wengine baada ya kukifuta hiki kizazi cha tatu? Au baada ya dunia kufikia mwisho na sisi kukutana na doom ambayo Mungu ameipanga mambo ya binadamu ku-exist duniani yatapotea kabisa?

=======================

Salamu kwa wanajukwaa, nawasalimu wote.

Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada tajwa kwenye heading, Swali langu lime-base kwa watu wanaoamini katika U-ungu yaani kwamba kuna nguvu moja kubwa ambayo ndio ipo responsible kwa kuwafanya binadamu wa-exist hapa duniani na kwamba hata kupotea kwao (kifo au doom kwa dunia) kupo-controlled na hiyo nguvu ambayo kiurahisi tunaweza kuiita Mungu.

Swali langu ni hili, je, Mungu ataumba binadamu wengine ambao wata-kirithi hichi kizazi cha tatu baada ya dunia kufikia mwisho wake au ndo itakuwa mwisho mazima na mambo ya binadamu ku-exist yatapotea mazima?

Nasubiri maoni yako
Kwani nani kasema kuna mwisho wa Dunia?
 
hii dunia haitabaki,kila physical object lazima ita depreaciate within time,miaka almost bilioni kumi ijayo jua litapoteza enery yake kwani lina poteza almost 700tonnes za gesi ya hydrogen na hellium kwa sekunde linapofanya neuclear fussion kuproduce light.jua likipoteza nguvu yake lita expand litameza sayari zote zilizo karibu yake na hapo hakutakua na kitu kinaitwa dunia ingawa ulimwengu wala hautajua kama kuna kipunje kimetoweka ,nyota nyingine na sayari nyingine zitaendelea na maisha yake na manyota mengine na masayari mengine yataendelea kujiform kama kawaida
Mleta mada kaleta mada ya stress.
Nimesoma maandiko flani yanayokwenda sawa na wewe.
Labda nitoe mawazo ya kujipa moyo.
Wakati huo dunia inakuwa swallowed by the sun basi evolution tutakayokuwa tumefikia ni stage ambayo itaturuhusu kuishi hata ktk jua kali zaidi, hata bila ya uwepo wa maji tutaweza kuishi.
Au binadamu watakuwa na maendeleo makubwa ya kuweza kusafiri kwenda hata mbali zaidi kutafuta makazi mwingine ili kulikimbia jua
 
Kwani nani kasema kuna mwisho wa Dunia?

Wengi wanaposikia mwisho wa dunia wanadhani ni muonekano wa hili umbo tunaloishi wasijue MWISHO unaozungumziwa ni akili ya mtu itapofika mwisho ndipo aliyeumba vyote, wote na yote akabidhiwe ufalme, mamlaka na nguvu.Ukisoma mistari ifatayo utaelewa:-

•1Korintho 15:24-28
“Hapo ndipo mwisho, atakapompa Mungu Baba ufalme wake; atakapobatilisha utawala wote, na mamlaka yote, na nguvu.”
 
Dunia inawezekana ni kidoti kidogo sana kwenye uwepo wa mavitu matrilion na makubwa mno.
Si ulimwengu pekee ndo maana ya Mungu aliumba dunia na visivyoonekana.
Zipo sayari zingine maisha yanaendelea na zipo more advance
miaka elf 3 mbele yetu kuliko hata dunia.
Hata UFO tu hatuwafikii technology yao.
Hata kuzimu tu wapo mbele kutuzidi
Vitu kama tv,jetfigther, computer wao wanazo miaka elf 2 nyuma.
Hata yote yana ushahidi hata ukisoma Quran au Biblia
Pana watu wanaitwa reptile yaani mijusi mfano kina Elon musk, tesla, hawa mafurelist wote ikiwemo wafumbuzi wa new technology hawa upata ubunifu wa jambo kupitia wazo au ndoto ile ndoto au wazo la ubunifu huwa mtu upewa kupitia wazo kuna kuwa na nguvu asiyoitambua ndio uleta wazo kisha mtu uunda jambo kiuhalisia hio ni Kazi ya viumbe visivyoonekana wao ndio uleta wazo la kuhamisha technology fulani toka sayari yao kupitia watu ambao ni wabunifu au akili kubwa.
So hata kama watu wote duniani wasipoingia mbinguni still Mungu anaviumbe matilioni sayari zingine.
Pia sayari ni nyingi Sana sio hizo tu zisizogundulika na maisha ya viumbe vingine yakiendelea.
 
Kama upo sahihi inamaana hadithi za moto ni batili?
 
Back
Top Bottom