Tsh JF-Expert Member Joined Aug 26, 2021 Posts 17,022 Reaction score 36,936 Mar 11, 2023 #41 Showmax said: Sio batili ni sahihi Click to expand... Kwanini?
Waterbender JF-Expert Member Joined Oct 2, 2018 Posts 7,573 Reaction score 10,063 Mar 12, 2023 #42 Tatizo waadamu tunajionaga na watu wa maana sana kwenye huu ulimwengu kumbe ni punje ya mchanga wa vumbi
Tatizo waadamu tunajionaga na watu wa maana sana kwenye huu ulimwengu kumbe ni punje ya mchanga wa vumbi
Infropreneur JF-Expert Member Joined Aug 15, 2022 Posts 9,830 Reaction score 20,686 Sep 10, 2023 #43 Kwanza Thibitisha kwamba huyo Mungu yupo na ndiye muumbaji wa dunia. Otherwise, Mungu hayupo.