Haya masuala ya imani hua ni tata sana.
I believe Mungu hua anaongea na kila mtu sema the only difference n kua wengi hawatambui sauti yake maana sidhani kama anapiga mayowe.
I believe God talks in ways za mambo ya kila siku. Kwa mfano mtu unatoka uende kwenye mishe mishe, ghafla umefika getini unakumbuka umesahau kuzima pasi ukutani, so unarudi kurectify. After hapo ukiwa njiani unakuta ajali ya daladala, kibinadam unawaonea huruma waliomo bila kujua kua mayb na wewe ungekua mmoja wao if usingesahau hyo pasi ukutani.
Kingine ni ile unakuta watu wanaongelea ishu flan inayokugusa bila wao kujua, au unaongea na mshkaji tu anakupa idea au solution ya jambo linalokutatiza. I thnk thats the voice of God indirectly.
Changamoto yetu n kukosa shukrani maana tunaamini kila kitu kizuri n haki yetu while tumepewa kwa rehema tu.
Always mtu unapokua grateful kwa mambo memgi mambo yananyooka zaidi coz Unapata zaidi