Hii ni pointless mkuu magonjwa haya tengenezwi maabara mkuu achana na movie za HollywoodKabla ya wazungu kuja Africa tulikuwa na wahandisi wetu walifua vyuma tukapata majembe, visu, mapanga n.k walipotuvamia wazungu waliwaua wote waliokuwa na ujuzi huo tukakwama kuendelea kuhusu madawa na vifaa tiba tulikuwa na dawa zetu nzuri za miti tulitibiwa nazo kuongezeka kwa magonjwa kunatokana na maendeleo ya kisayansi usione kama wao ni wabunifu kwani hata hayo magonjwa wanatengeneza wawo ili wafanye biashara ya dawa magonjwa mengi ni mapya tumeyasikia miaka ya 1980 na kuendelea wazungu na waafrika wote tupo sawa kiakili
Hii nadharia Tata sanaMzungu Hakuumbwa na Mungu, Mzungu ni tokeo la Mwingiliano wa Fallen angels na binadamu
Mkuu soma Kitabu cha enokiHii nadharia Tata sana
Hapana mkuu hizi nadharia za chimbuko la binadamu nimeachana nazo sihitaji tena ni complex Sana na zinaumiza Sana. AkiliMkuu soma Kitabu cha enoki
Hiyo ata mimi naamini ni kweli mkuu, kama wanauwezo wa kuficha dawa inayokinga na kutibu kikamilifu magonjwa badale yake wakatuletea dawa ambazo ni low quality zenye huwezo wa kutuliza magonjwa kwa mda ili badae ugonjwa urudi wauze dawa tena kwa lengo lao kua mgonjwa kupona kikamilifu ni kupunguza wateja..Hii ni pointless mkuu magonjwa haya tengenezwi maabara mkuu achana na movie za Hollywood
Mbona north Korea wako strict kulko hapa ila wanateknolojia kubwa,nuclear ,rockets,na sayansi mbalimbali mkuu....sisi labda kuna kasoro nyngneKama watu wanakimbizana na wanyoa viduku mpaka mwaka 2018, utapata wapi muda wa kugundua hata chanjo ya pepopunda?
Viongoz wa Africa n watu wa kung'ang'ania madaraka na wanajitahd sana kwa kuua wapinzani...angalia Uganda,Congo,n k.....cjui roho za ubinafsi tunatoaga wapoAfrika tuache kulaumu kila kitu...sisi tumekuwa watu wa kula uni sana..Tufanye kazi, tujitume..,Tuwe waadilifu ...discipline is very important for us,....Waafrika hatujali mda, Tujali mda ...USIPOTEZE MDA WAKO KWA MAMBO YASIYO NA FAIDA KWAKO.,TUCHAGUE VIONGOZI BORA SIYO BORA KIONGOZI...
Sometimes buwa naconclude kwa kusema labda cc tulichelewa kuumbwa au kuwepo dunian....HV kpnd ugunduz unafanyika ulaya cc huku tulikuwa tunafanya nnKwanini wao watangulie?
So we relaxedMazingira ndio yalitutofautisha kwetu hayakuwa magumu sana kama kwao
Hapo kwenye huwa Nina imani nako....lkn cha ajabu siijui n laana IPI hasa?? Tulimkosea nan na akatulaan wapi mbona we don't think out of the boxes??Mkuu tukubali tu kwamba jamaa wanatuacha mbali sana katika kila sekta. Ukisema kuuawa wahandisi, vipi kuhusu michezo? Vipi kuhudu siasa? Vipi kuhusu elimu? N.k...
Nina hakika hata wakiuliwa wahandisi na wataalam wote wa kizungu, bado watazaliwa wengine na kufanya mambo, tena zaidi ya yanayofanyika sasa! Sisi laana inatutafuna tu
Huyu katengeneza na siyo kugundua....yaan katengeneza kilichokwisha buniwa miaka mingiHapana hutatui tatizo kwa fikra zako zilivyo unaangalia tulipoangukia huangalii tulipo jikwaa tunaweza hata sasa ipo mifano hai ya wahandisi wetu km yule bwana zanzibar katengeneza helkopta kakatazwa kulusha yupo wa makambako katengeneza umeme kazuiwa kuusambaza unaweza kuona tungewakamata mkuu
Inamaana all the generations which have passed were waiting for me to start???It begins with you ukiona watu wanashindwa kugundua technology tumia fursa uliyo nayo kuwa prove right mkuu changes begins with you.
Na cc tumetoka wapiMzungu Hakuumbwa na Mungu, Mzungu ni tokeo la Mwingiliano wa Fallen angels na binadamu
Kutawaliwa sio sababu kabisa ya kufanya cc tushindwe kuwa na maendeleo ktk technolojia mkuu....marekani,China,n.k zimetawaliwa tena kwa miaka mingi lkn mpk sasa wamekuwa na maendeleo kulko hata aliewatawala!!!! Swali tu n where are we messing??hivi mnafikiri kutawaliwa kote tangu karne ya 17, education system walio anzisha kipindi hicho mpaka saivi bado tunaitumia itatufanya vipi kujiendeleza kiteknolojia kama mababu zetu kabla ya wakoloni huh!? education system inayotufunga huwezo wetu wa kufikiri kimantiki na kutufanya tukatae kitu kipya ambacho hakipo kwenye syllabus yao huh?!
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Watu weusi tumeduwazwa na wazungu, ila wazungu wamekopi from what we have and make them artificial
But they took everything from
Ni wezi so ukitaka kufanikiwa iba [emoji23][emoji23][emoji23]
Hii sio kweli ndugu,kwanza tufahamu kabisa kwamba magonjwa uzungunj sio meng sana kama huku kwetu....huku kwetu kuna magonjwa chungu nzma....Ebola,dengue,minyoo,malaria,HIV,n.k......ila wazungu wao hujitahd sana kugundua dawa hata kwa magonjwa ambayo kwao ulaya hayapo.....read epidemiology of diseases u can appreciate hii kitu nakwambia ...Africa is full of parasites which are very dangerous..... Wazungu wanatusaidia tuHiyo ata mimi naamini ni kweli mkuu, kama wanauwezo wa kuficha dawa inayokinga na kutibu kikamilifu magonjwa badale yake wakatuletea dawa ambazo ni low quality zenye huwezo wa kutuliza magonjwa kwa mda ili badae ugonjwa urudi wauze dawa tena kwa lengo lao kua mgonjwa kupona kikamilifu ni kupunguza wateja..
kama wanaweza fanya hivo wanawezaje kushindwa kutengeneza ugonjwa ili watengeneze dawa na kuuza huh!!