Je, Mungu kaumba baadhi ya wanadamu kwa upendeleo wa akili na maarifa?

Je, Mungu kaumba baadhi ya wanadamu kwa upendeleo wa akili na maarifa?

Mnajitahidi kumtetea mtu mweusi kwa kuandika insha nyingi lakini at the end unagundua mtu mweusi ni kama kiboko i mean anashinda kwenye maji ila atakati
Siwatetei boss ila lazima watu wabadilike
Sasa ungesema wajisaidieje au tubaki kuwa viboko tu
 
Siasa na unafiki vinasumbua.Sisi ni watu wa kuiga TUU ndivyo tulivyoumbwa,Hata wazungu wanajuwa kuwa tusiposaidiwa tutatoweka kwa magonjwa na kuuwana kwa vita na uchawi(black magic) Husuda ndio IMO damuni mwetu .Ujinga kwetu ndo ujuzi, angalia idadi ya waimbaji wasanii,kwetu sisi SANAA NI NYIMBO NA MICHEZO YA FILAMU .Wenzetu kwao Sana'a ni uvumbuzi wa Mashine na technolojia za Kura hisisha maisha ya binadamu.
Kwetu sisi kila MTU ni muhubiri wa dini,siasa na mganga wa jadi,na ukienda kwenye ajira kila msomi anakwenda kwa mganga kumpa zindiko ili asijetolewa kazini hata kama ni mzembe,wanawake wanwaloga wanume kwa limbwata ili waolewe,na wakiolewa anakufunga kukufanya uwe kama msukule ili usimtoke kutafuta mwingine na Dawa zikibuma ndo zezeta au kifo.
Hii ndio Technolojia YETU tuiwezayo.
Kuhsu wazungu we acha TUU,Inafaa tuwape SHIKAMOO KILA TUWAONAPO ,MAANA BILA WAO KUTUFUNZA HII ELIMU TILINAYO TUNGELIKUWA WANGA WOTE.[emoji12]
 
Mungu aligawa vipawa tu, huyu cha kulima yule cha kutengeneza ndege na yule cha kuimba na yule cha kucheza mpira.
 
una uthibitisho kuwa mtu mweusi hajawahi gundua kitu??
Kwa kweli mtu mweusi ana mchango mkubwa sana duniani kwa uvumbuzi isitoshe na wanawake pia wamo.
Uvumbuzi unatokana na mambo mengi lakini kubwa zaidi ni kutaka kupata njia rahisi ya kufanya jambo.

Baadhi ya vitu ni traffic lights ndio mtu mweusi alivumbua.
Na peanut butter (ntwili) tukavumbua my favourite
Hata refrigerator alivumbua mweusi
Yaani vitu vingi tu
 
Kwa kweli mtu mweusi ana mchango mkubwa sana duniani kwa uvumbuzi isitoshe na wanawake pia wamo.
Uvumbuzi unatokana na mambo mengi lakini kubwa zaidi ni kutaka kupata njia rahisi ya kufanya jambo.

Baadhi ya vitu ni traffic lights ndio mtu mweusi alivumbua.
Na peanut butter (ntwili) tukavumbua my favourite
Hata refrigerator alivumbua mweusi
Yaani vitu vingi tu
hakika!
mleta mada kaleta hoja nyepesi sana..
 
Hizi ni stories tunazotumia kujipa moyo. Miaka 100 baadaye tumefanya nini? Ukiacha hao wafua vyuma. Tuongelee tu uhalisia. Tukiachana na excuses za kale. Mbona sasa tupo huru lakini hatuvumbui? Lakini hata wao kuja kututawala ni sababu walishatutangulia kisayansi.wakati sisi tunatumia mikuki na mishale wao tayari walikuwa wame advance.

Kabla ya wazungu kuja Africa tulikuwa na wahandisi wetu walifua vyuma tukapata majembe, visu, mapanga n.k walipotuvamia wazungu waliwaua wote waliokuwa na ujuzi huo tukakwama kuendelea kuhusu madawa na vifaa tiba tulikuwa na dawa zetu nzuri za miti tulitibiwa nazo kuongezeka kwa magonjwa kunatokana na maendeleo ya kisayansi usione kama wao ni wabunifu kwani hata hayo magonjwa wanatengeneza wawo ili wafanye biashara ya dawa magonjwa mengi ni mapya tumeyasikia miaka ya 1980 na kuendelea wazungu na waafrika wote tupo sawa kiakili
 
Je, Mungu kaumba baadhi ya wanadamu kwa upendeleo wa akili na maarifa?
Binafsi naweza kujibu swali lako kuwa ni kweli Mungu katuumba kwa akili,vipawa,karama na maarifa tofauti lakini siku zote Mungu hana upendeleo.
Kila kitu Mungu alikiumba kwa maksudi maalumu wala si kwa upendeleo,vipawa karama na maarifa ya mtu ni faida kwa watu wengine wala si kwa ajili yake mwenyewe.
Nirudi upande wa Africa na hao unaowaona wana uwezo mkubwa na kupendelewa si kweli kwamba sisi hatuna akili tunazo nyingi tena zaidi yao,mazingira na mtizamo ndo hututofautisha. Siku zote mahitaji ya mtu ndo humfanya mtu kuwa mbunifu na kupambana na mazingira aliyonayo kwa wakati huo,huwezi sema mahitaji ya ulaya na afrika ni sawa na hapo ndo tunakosea kulazimisha afrika iwe sawa na ulaya!
...anyway tukisema hatuna akili cheki hii huyo dogo nambie anaelimu ya level gan na unasemaje juu hiki alichofanya...
 
Kinachotuponza waafrika wengi ni uchoyo wa maarifa
Most of waafrika ni wabinafsi na wachoyo kupitiliza
Huwezi ukapata knowledge yoyote kutoka kwa muafrika kirahisi hivyo labda uwe mzungu
Yani iko hivi, mtu yuko tayari kufa na ujuzi wake kuliko kumpa muafrika mwenzie maana anajua akimpa atanufaika nao nayeye hataki mtu afanikiwe kupitia yeye.
Lakini muafrika huyohuyo jinsi alivyo bashite wa kiwango cha lami akitembelewa na mzungu atampatia siri zote za ujuzi wake huku akikenuakenua meno na kujiona amewin.
Yani wabongo safari yetu bado sana
Mpaka ikifika stage tumejitambua, tukajikubali na kujithamini kwa jinsi tulivyo bila kuwa na inferiority feeling hapo ndipo tutakapotoka kwenye hili dimbwi la kuwa mkia na kuamini kwamba nikimsaidia mwenzangu akafanikiwa kunizidi mimi its okay
 
Binafsi linapokuja suala la kutumia akili ili kuleta maendelea kibinafsi na kijamii huwa nashindwa kuelewa. Kwanini wazungu na sisi watu weusi tuna utofauti sana ktk global development contribution?

Huwa najaribu kufikiria how this life would have been possible kama Mungu asingeumba watu hao weupe??

Sina lengo la kuwasifia lakini najiuliza wao wamewezaje kugundua vitu tunavyoviona leo vikisaidia sana watu lakini kwa upande wetu sisi watu weusi hatujaonesha ugunduzi wowote wa kushtua dunia??

Hebu fikiria mfano teknolojia ya afya jinsi wazungu walivyoweza kugundua madawa mbalimbali ambayo mimi kama mmoja wa wanafunzi wa kozi hii huwa najiuliza hivi hawa watu walijuaje kugundua haya??

Madawa ya bacteria, fungi, protozoa na vaccinations mbalimbali za viruses hivi wao waliwezaje kugundua haya? Na kipindi wanagundua what we blacks were doing in this World??

Sometimes huwa nahisi labda Mungu aliwaumba wao kwanza halafu sisi baadae maana sioni kitu chochote kipya cha kujivunia kama mwafrika..

Technolojia za disease diagnoses kama X-rays, staining techniques, immunofluorescence, FBP, ELISA, microscope n.k Hivi wao waliwezaje kugundua? Au uwezo wa ugunduzi waliopewa wazungu ni tofauti na wa kwetu??

Ukija upande wa pharmacy utaona dawa ambazo ukizisoma utagundua nguvu kubwa ilitumika sana mpaka kuzigundua lakini kitu cha ajabu sisi weusi hakuna hata kitu tumegundua na hata kama vipo basi ni vichache mnooo!

Kuna maprofesa, madokta na PhD holders wengi tu hapa bongo lakini hakuna hata dawa moja wameweza tengeneza ikawa na brand ya kwetu tatizo liko wapi au ni mimi tu naona haya maendeleo ya watu weupe??

Ukija kuangalia teknolojia ya ujenzi wa majumba huko nako n watu hao hao weupe walio watalaamu wa kubuni mijengo mbalimbali na sisi tunaiga kwao...

Pia wameonesha uimara ktk mambo ya michezo,siasa imara,elimu za kiwango cha ajabu,n.k....sisi n miaka 50+ya Uhuru Ila hata handkerchief tunaagiza China HV where is the problem?? I ask myself the following questions..
1.Kama Mungu katuumba sawa,mbona hawa wao wameoneshwa kuwa na uwezo mkubwa kulko sisi?

2.Kama kila kitu chetu tunaiga kwa wazungu yaan utakuta kila kitu unachomilik hapo ulipo kimetengenezwa mbele ,so inamaanisha ili tuendelee lazma tujifunze kwao,je,wao wamejifunza wapi??

Kuna maneno Donald trump alitutukana waafrika lkn mm nikiyaangalia naona kama ni ukweli mtupu kabisa....anasema tumekalia Almas,dhahabu na aina zote za madini lkn bado sisi n maskini na tunaishia kugombana na kuuana sisi kwa sisi kisa Mali asilia hii,tatzo liko wapi wakubwa zangu..mm ndio naanza kukua na kuona Africa jinsi ilivyo..najiuliza kama hawa walionitangulia hawajaweza kutengeneza chochote kile hii inamaanisha sisi ni wa kuzaliwa,kukua,kuoa/kuolewa,kuzaa na kufa tu au??

Au sisi ni zao LA laana (mtanisamehe hapa) maana hamna mchango naoona uliotokana na waafrika ktk kuhakikisha a world is at good form and peace...civil wars,hunger and starvation,poverty,poor hygiene,poor housing,poor infrastructure, political intolerance, diseases,and all forms of bad issues are within us brothers and sisters!!!! Where have we messed??

I conclude kwa Leo kwa kusema HV:A world peace can be maintained without blacks in presence but the world can't run without whites??? Why???


Kuna uvumbuzi wa tiba nyingi zilifanya na wazungu lakini subjects , yaani watu waliokuwa wanatumiwa kufanyiwa hizo experiments, walikuwa watu weusi. Soma historia ya Tuskeegee experiment, Henrietta Lacks etc. Mfano kwenye mambo ya utafiti wa magonjwa ya wanawake, watumwa wa kike waliktumiwa sana kwenye experiments kwa kuambukizwa magonjwa makusudi, kukatwa viungo vya uzazi bila ganzi, yaani kipindi hicho walikuwa wanaamini mtu mweusi hasikii maumivu kama wazungu.

Uvumbuzi na mafanikio mengi ya wazungu yametokana na wao kusimama juu ya migongo ya wengine. Wamemwaga damu nyingi sana duniani. Historia yao ni ya kikatili mno.

Ukisoma historia yao sidhani kama ungependa waafrika wafuate huo mkumbo, dhambi nyingi mno.

Upeo upo, ni inabidi ujiamini na hatua ya kwanza ni kutoamini kuwa kila kitu alichotengeneza mzungu ni sawa.
 
Mfumo wa maisha ya mwafrika ya kila siku ndio tatzo ukitaka kuwa creative na uweze gundua vitu ktk huu ulimwengu badili mienendo ya kimaisha na kuwa ya kitafiti zaidi hakika tunaweza
 
Prinsipal ya maendeleo inasema
Walipotoka kwenye agrarian revolution ndipo wakaenda captitalisn

Wewe unataka kujenga kiwanda hewa utaendela vipi ndugu yangu
 
Waafrika tumegundua vingi sana ila kuna wenzetu hawataki tujulikane sijui ni kwa faida ya nani!!! Majuzi tu mwenzetu kagundua HELCOPTER badala ya kusifiwa na kusaidiwa kapigwa Marufuku kuirusha,ugunduzi wa 'MPEMBA EFFECT'' sijui kama ni wangapi wanamjua huyu jamaa kuwa ndiye aliyegundua kuwa maji moto yanaganda haraka kuliko maji baridi ila hatutaki watoto wajue,kumbe akina ISACK NEWTON kilichowabeba ni promo.Sie acha tusifike kwa ngono na kula mlo mmoja BASI!!!
 
Sio kila panya anaweza kugundua ama kutengua mabomu kuna species flan tuu ndio zenye uwezo wa kufanya ivo

Hata kwa binadamu sio kila species inaweza kubuni technologia ya hali ya juu bali wachache tuu
 
Kinachotuponza waafrika wengi ni uchoyo wa maarifa
Most of waafrika ni wabinafsi na wachoyo kupitiliza
Huwezi ukapata knowledge yoyote kutoka kwa muafrika kirahisi hivyo labda uwe mzungu
Yani iko hivi, mtu yuko tayari kufa na ujuzi wake kuliko kumpa muafrika mwenzie maana anajua akimpa atanufaika nao nayeye hataki mtu afanikiwe kupitia yeye.
Lakini muafrika huyohuyo jinsi alivyo bashite wa kiwango cha lami akitembelewa na mzungu atampatia siri zote za ujuzi wake huku akikenuakenua meno na kujiona amewin.
Yani wabongo safari yetu bado sana
Mpaka ikifika stage tumejitambua, tukajikubali na kujithamini kwa jinsi tulivyo bila kuwa na inferiority feeling hapo ndipo tutakapotoka kwenye hili dimbwi la kuwa mkia na kuamini kwamba nikimsaidia mwenzangu akafanikiwa kunizidi mimi its okay

M nishawasaidia watu kadhaa nilichoambulia anajua Mungu
 
Tulikua tunafuga kuku wetu na ngombe wa kienyeji wamekuja wazungu wakatuambia hawafai. Kumbe ndio chanzo cha kutuletea matatizo.

Lakini waafrika tunasumbuliwa zaidi na roho dhaifu,mbaya hii inasababisha wengi kukosa maendeleo. Ukimuona mwenzako ameweza au anajaribu wewe tayari unatafuta mbinu za kumuangusha.
 
Back
Top Bottom