ufahamuTusipotumia akili tutumie nini mkuu
Ok vizuri sana....Wewe sijui kama umenielewa
Hivi umeelewa nilichoandika kweli?
Kama ungenielewa usingeuliza hilo swali maana nimeshalijibu.
Kila kitu lazima kiwe na chanzo
Bila hoja?Nasoma post zako nimekudharau jumla
Wanazungumzia kitu cha maana ww unaleta udini shame on youBila hoja?
Nimekudharau zaidi.
Kama mungu hahitaji chanzo, habari ya kwamba kila kilichopo kinahitaji chanzo ni kweli?Ok vizuri sana....
Sasa niambie ni kwa nini unafikiri na Mungu anahitaji chanzo?
Je,Mungu ni nini kwa mujibu wa unavyoijua wewe?
Labda mkuu nkuulize kitu ww mungu unamzungumziaje ni kitu gani kama hakipo what about creation?Kama mungu hahitaji chanzo, habari ya kwamba kila kilichopo kinahitaji chanzo ni kweli?
What is creation? Must it come from god? Must complexity come from even higher complexity?Labda mkuu nkuulize kitu ww mungu unamzungumziaje ni kitu gani kama hakipo what about creation?
Must complexity come from an even higher complexity?Like what
The existence of God makes everything possible . The creation exists due to God's presence.What is creation? Must it come from god? Must complexity come from even higher complexity?
You are not answering the questions I asked, instead, if you are answering any questions, you are answering questions I did not ask.The existence of God makes everything possible . The creation exists due to God's presence.
Unaelewa kinachoendelea hii thread kweli? Mbona unatoka povu mkuu?Wanazungumzia kitu cha maana ww unaleta udini shame on you
Swali gani? Unaweza kulirudia? Nikiijibu utanijbu?Hata ww pia hukunijibu maswali yangu ningependa kuona majibu yako pia
Jambo la msingi ni kwamba hakuna mungu. Mungu ni hadithi isiyothibitishika wala kuyumkinika tu.Unaelewa kinachoendelea hii thread kweli? Mbona unatoka povu mkuu?
Mambo ya msingi yanayoongelewa humu ni yapi na udini ni upi niliouleta..
Una emotions..
Uwezekana wa kuthibitishika kama mungu yupo upo ila ww huwezi sababu unatumia akili na akili ni kitu kidogo inabidi utumie kitu kikubwa zaidi ya akili kama ufahamu au unaposema i yaan mkono wangu, mguu wangu,mwili wangu hapo kuna mwili na wangu kitu gani kinachosimama badala ya hivi vyoteJambo la msingi ni kwamba hakuna mungu. Mungu ni hadithi isiyothibitishika wala kuyumkinika tu.
Mtu akishasema hivyo, ukianza kujitofautisha kwamba uislamu ni bora kuliko ukristo, as far as that matter is concerned, utachekesha.
Kwa sababu as far as kuwepo kwa mungu is concerned, uislamu na ukristo havipingani.
Unaweza kuthibitisha mungu yupo?
Sasa wewe utathibitishiwaje kitu ambacho haukijui?wewe unauliza chanzo cha mungu!hivi kweli wewe hicho unachosema hakipo unajua hata sifa zake kweli?ndiyo maana nilikwambia hata hayo unayoyasoma wewe ni hadithi za watu wenye kutaka uamini hivyo unavyoamini.Jambo la msingi ni kwamba hakuna mungu. Mungu ni hadithi isiyothibitishika wala kuyumkinika tu.
Mtu akishasema hivyo, ukianza kujitofautisha kwamba uislamu ni bora kuliko ukristo, as far as that matter is concerned, utachekesha.
Kwa sababu as far as kuwepo kwa mungu is concerned, uislamu na ukristo havipingani.
Unaweza kuthibitisha mungu yupo?
Unajaribu kuelekeza Bata njia?Sasa wewe utathibitishiwaje kitu ambacho haukijui?wewe unauliza chanzo cha mungu!hivi kweli wewe hicho unachosema hakipo unajua hata sifa zake kweli?ndiyo maana nilikwambia hata hayo unayoyasoma wewe ni hadithi za watu wenye kutaka uamini hivyo unavyoamini.
Aisee hii familia naionea huruma ,kaka mtu anaamini Mungu yupo ,dada mtu anaamini Mungu hayupo na wifi yake anaamini Mungu wa uislamu ndio wa maana kuliko wa ukristo ,sasa hao watoto sijui wataamini nini
Kay unaishiaga tu kunicheka na wakati wa msaada sikuoni ,hahahahahahahaha