Je! Mungu ni yule yule?

Je! Mungu ni yule yule?

Wewe sijui kama umenielewa

Hivi umeelewa nilichoandika kweli?

Kama ungenielewa usingeuliza hilo swali maana nimeshalijibu.

Kila kitu lazima kiwe na chanzo
Ok vizuri sana....

Sasa niambie ni kwa nini unafikiri na Mungu anahitaji chanzo?

Je,Mungu ni nini kwa mujibu wa unavyoijua wewe?
 
Kama mungu hahitaji chanzo, habari ya kwamba kila kilichopo kinahitaji chanzo ni kweli?
 
Labda mkuu nkuulize kitu ww mungu unamzungumziaje ni kitu gani kama hakipo what about creation?
 
What is creation? Must it come from god? Must complexity come from even higher complexity?
 
The existence of God makes everything possible . The creation exists due to God's presence.
You are not answering the questions I asked, instead, if you are answering any questions, you are answering questions I did not ask.

The questions I asked are:-

What is creation? Must it come from god? Must complexity come from even higher complexity?

Now I add another one.

Do you even understand the questions?

Because if you do not understand the questions, I am afraid you are not going to be able to answer them.
 
Hata ww pia hukunijibu maswali yangu ningependa kuona majibu yako pia
 
Wanazungumzia kitu cha maana ww unaleta udini shame on you
Unaelewa kinachoendelea hii thread kweli? Mbona unatoka povu mkuu?
Mambo ya msingi yanayoongelewa humu ni yapi na udini ni upi niliouleta..
Una emotions..
 
Jambo la msingi ni kwamba hakuna mungu. Mungu ni hadithi isiyothibitishika wala kuyumkinika tu.

Mtu akishasema hivyo, ukianza kujitofautisha kwamba uislamu ni bora kuliko ukristo, as far as that matter is concerned, utachekesha.

Kwa sababu as far as kuwepo kwa mungu is concerned, uislamu na ukristo havipingani.

Unaweza kuthibitisha mungu yupo?
 
Uwezekana wa kuthibitishika kama mungu yupo upo ila ww huwezi sababu unatumia akili na akili ni kitu kidogo inabidi utumie kitu kikubwa zaidi ya akili kama ufahamu au unaposema i yaan mkono wangu, mguu wangu,mwili wangu hapo kuna mwili na wangu kitu gani kinachosimama badala ya hivi vyote
 
Jambo la msingi ni kwamba hakuna mungu. Mungu ni hadithi isiyothibitishika wala kuyumkinika tu.

Mtu akishasema hivyo, ukianza kujitofautisha kwamba uislamu ni bora kuliko ukristo, as far as that matter is concerned, utachekesha.

Kwa sababu as far as kuwepo kwa mungu is concerned, uislamu na ukristo havipingani.

Unaweza kuthibitisha mungu yupo?
Sasa wewe utathibitishiwaje kitu ambacho haukijui?wewe unauliza chanzo cha mungu!hivi kweli wewe hicho unachosema hakipo unajua hata sifa zake kweli?ndiyo maana nilikwambia hata hayo unayoyasoma wewe ni hadithi za watu wenye kutaka uamini hivyo unavyoamini.
 
Unajaribu kuelekeza Bata njia?
Hapa utakesha mkuu.
 
Back
Top Bottom