Je! Mungu ni yule yule?

Imani ni nini na akili ni nini?

Na ukitaka kujua ukweli unatumia imani au akili?
Iman n kuwa na yakini ya uwepo wa kitu au jambo hata kama akil yako itakuwa inapngana nalo. ( ina maana unapoa amini bac kuna muda inabd uachane na fikra za akil yako znasema nn. Mfano Leo hii kuna watu wanabudu ngombe wakian ndio mungu na anawapa msaada ktk mambo yao na n marufuku kwao kula nyama ya ng'ombe na ukila unaweza kudhurika. Ila uktumia akil utaona hili jambo n upumbavu kwasababu kuna watu wanakula nyama ya ngombe na hawapati chchote
Sasa n nn knawafanya waabudu ng'ombe na wasile nyama ya ng'ombe ni imam sio akil.

Akili ni uwezo kufikiri na kupambanua mambo
 
Kwa definition hiyo, sasa kwa nini watu wanaendekeza kutumia imani sana badala ya akili zao?

Ni uvivu wa kufikiri tu, uoga wa kubadili mambo au ujinga tu?
 
Kwa definition hiyo, sasa kwa nini watu wanaendekeza kutumia imani sana badala ya akili zao?

Ni uvivu wa kufikiri tu, uoga wa kubadili mambo au ujinga tu?
We ukiambiwa uanze kuchambua tofauti ya imani na hizo akili mara sijui kuelewa..unaingia mitini.
 
We ukiambiwa uanze kuchambua tofauti ya imani na hizo akili mara sijui kuelewa..unaingia mitini.
Wapi nimeingia mitini?

Unaweza kuniuliza tena hapa ambapo nipo sasa hivi na huna excuse ya kuingia mitini?

Angalia tu usije kuingia mitini wewe na kuniacha mimi hapa.
 
Wapi nimeingia mitini?

Unaweza kuniuliza tena hapa ambapo nipo sasa hivi na huna excuse ya kuingia mitini?

Angalia tu usije kuingia mitini wewe na kuniacha mimi hapa.
Hehe..mi naanzia kufikiri unapoishia,hadi sasa kati yenu hakuna hata aliyeweza kutoa tafsiri ya neno imani na akalitolea mifano yenye kuendana na hiyo tafsiri.
 
Hehe..mi naanzia kufikiri unapoishia,hadi sasa kati yenu hakuna hata aliyeweza kutoa tafsiri ya neno imani na akalitolea mifano yenye kuendana na hiyo tafsiri.

Just humoring you for a moment.

Kama hakuna anayeweza kutoa tafsiri ya imani, wanaoamini watakuwa wamepoteza kuliko wasioamini.

Wasioamini hawajakubali imani, hata wakishindwa kui define, hawana tatizo kubwa, kwa sababu hawajaikubali.

Wanaoamini, on the other hand, wana obligation ya kuielewa imani.

Na kuweza kuielezea.
 
Kiranga hawezi kukuelewa maana umemshika pabaya
 
Mi nafikiri wanafunzi wako humu watakuwa wamejifunza kitu hapo,mi nimemaliza.
 
Mi nafikiri wanafunzi wako humu watakuwa wamejifunza kitu hapo,mi nimemaliza.
Hujajibu hoja, maana yake umekubali kwamba wanaoamini hawawezi kuielezea imani yao.

Hivyo wanaamini wasichokijua.

Hivyo inawezekana kabisa wanaamini kisichopo.
 
Hujajibu hoja, maana yake umekubali kwamba wanaoamini hawawezi kuielezea imani yao.

Hivyo wanaamini wasichokijua.

Hivyo inawezekana kabisa wanaamini kisichopo.
Hakuna asiyejua hilo neno imani lina maana gani na ndiyo maana hata wewe umelitumia katika hayo maelezo yako,ila tatizo lenu ni pale mnapotaka kutafsiri hilo neno kwa tafsiri mzitakazo nyie kutokana tu na mada husika hapa,na ndiyo mnapo feli kwa kushindwa kutoa mfano hata mmoja wenye kuendana na hizo tafsiri zenu mzitungazo.
 
Ni swala la Imani, we amini tuu... usiulize
Hata kusema hakuna mungu ni suala la imani tena kibaya zaidi inazuia kuuliza kwa kusema visivyokuwepo havithibitishiki,hivyo hutoweza kuhoji imani.
 
Una hakika hakuna asiyejua hilo neno imani lina maana gani?

Umezunguka kwa wangapi mpaka ukajua hilo?
 
Una hakika hakuna asiyejua hilo neno imani lina maana gani?

Umezunguka kwa wangapi mpaka ukajua hilo?
Unataka kunitoa nje ya mada kama kawaida yako,tufanye wote wenye kulitumia katika wanalijua lina maana gani.
 
Unataka kunitoa nje ya mada kama kawaida yako,tufanye wote wenye kulitumia katika wanalijua lina maana gani.
Sikutoi nje ya mada.

Naonyesha tu ulivyo loose na maneno.

Mtu aliye loose na maneno, yuko loose na mawazo.

Ndiyo maana hatuwezi kuelewana.

Wewe unaona maneno si muhimu. Mimi naona muhimu. Kama si muhimu, tutaelewanaje?

Kama kuna anayetutoa nje ya mada hapa, ni wewe.

Unaleta maneno loose ambayo ukiulizwa kuyathibitisha huwezi, unakimbilia kusema nakutoa nje ya mada.

Nakutoa nje ya mada kwani mimi ndiye niliyeleta hayo maneno loose?
 
Haya nimekuelewa.
 
akili zako hazko sawa wewe......
 
Zako haziko sawa zaidi.

Maana umeshindwa kuonyesha ni vipi akili za mtu asiye na akili sawa haziko sawa.
nionyeshe nini wakati akili zako hazmo.........hauna kitu kichwani wewe
unasema hamna Mungu......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…