Mohamedy cadinaly
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 2,449
- 2,245
Iman n kuwa na yakini ya uwepo wa kitu au jambo hata kama akil yako itakuwa inapngana nalo. ( ina maana unapoa amini bac kuna muda inabd uachane na fikra za akil yako znasema nn. Mfano Leo hii kuna watu wanabudu ngombe wakian ndio mungu na anawapa msaada ktk mambo yao na n marufuku kwao kula nyama ya ng'ombe na ukila unaweza kudhurika. Ila uktumia akil utaona hili jambo n upumbavu kwasababu kuna watu wanakula nyama ya ngombe na hawapati chchoteImani ni nini na akili ni nini?
Na ukitaka kujua ukweli unatumia imani au akili?
Sasa n nn knawafanya waabudu ng'ombe na wasile nyama ya ng'ombe ni imam sio akil.
Akili ni uwezo kufikiri na kupambanua mambo