Je! Mungu ni yule yule?

Mkuu.. Kiranga sio mpagani kwasababu ukisema huyu ni mpagani ina maana huyo mtu ana imani ya dini ya KIPAGANI.

UPAGANI sio kutokuwa na imani ya dini ila ni dini na ina misingi yake na miungu yao pia ipo wanayo amini na kuiabudu.
 
"To the one who has faith, no more explanation is needed, to the one who has no faith even in more explanation can not understand "-St. Thomas Aquinas.
 
binafsi mimi ni Muslim ..lakini nasema dhahiri kabisaaa Mungu wa hivi vitabu vyetu hivi anamushkeri kwakweli anapaswa kutazamwa kwa jicho LA 3 ...kuna maswali mengi mnooo ukianza kuyauliza kam uko timamu huwezi kupatiwa majibu yake
siku tukiacha udini tukajikita kwenye hoja kama hivi, dunia itakuwa mahali salama pa kuishi. safi sana!
 
Kwahiyo umeona hiyo ni hoja?
Swali lake si baya ... maana jina la mtu fulani lapaswa kusomeka vilevile lilivyo ili si tu kuleta maana halisi bali pia kuepuka "contradiction" pale linapokosewa ... That's my opinion, you may buy it or not ..
 
Swali lake si baya ... maana jina la mtu fulani lapaswa kusomeka vilevile lilivyo ili si tu kuleta maana halisi bali pia kuepuka "contradiction" pale linapokosewa ... That's my opinion, you may buy it or not ..
NOT
 
Hahahahah mkuu ni kweli mkabisa ,huwezi pita majukwaa yanayojitambua hapa JF ukashindwa kumsikia Kiranga kabisa
Kiongozi kubali kuwa mkono uliteleza kwa kuandika "Karanga" badala ya "Kiranga" kule ktk original thread yako .. mambo (hoja) mengine yako poa ..
 
Purely SATANISM
 
Hapo nimekupa TANO ... big up
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…