Swali lako ni sawa na kuuliza,Utamuelewaje mungu anayekaa sehemu za siri?
Ukimuelewa basi hana siri, na kama ana siri huwezi ukimuelewa.
Na kwa nini awe na siri? Anaogopa nini?
Hujathibitisha lolote, labda definition yako ya kuthibitisha imepinda.
Hujathibitisha kwamba mungu wako yupo na si hadithi tu.Swali lako ni sawa na kuuliza,
Kwanini ni vigumu sana kuingia IKULU kwa Magufuli , na ni rahisi sana kuingia Benki?
Pia, kisaikolojia kuna kitu kinaitwa "cognitive dissonance".Tatizo wamejengewa hofu,
Mtu anaweza hata kipigana ukimwambia anachokiamini hakipo, na wakati huo huo ukimwambia athibitishe uwepo wa huyo Mungu hawezi[emoji23]
Thibitisha kwamba mungu yupo.Kwanza Nikupongeze, Kwa Swali Lako Zuri Sana, Ambalo Linahitaji Ufafanuzi Ili Wengi Wapate Kujua Hukweli Juu ya Mtakatifu Wetu Yehova. Ambaye Tunamwabudu Kwa Ukamilifu Ndani ya Kristo Yesu.
1: MUNGU hajabadilika, ni Yeye Yule Jana Leo na Hata Milele.
2: Katika Taratibu za Agano la Kale Ibada Ilikuwa ni Sheria Katika Mwili. Soma Haya katika Kitabu Cha (Ebania 9🙂(Warumi 8🙂 Utaona Kwamba Watu walikua Wanajitaidi Kuosha Mwili ili Kumwabudu Mungu, Huku wakiacha Mioyo Yao Ikiwa Michafu, Soma (Marko 7:1-16) Ndiyo Maana Watu Wengi Walishindwa Kuwa watakatifu na kwenda Kwa Utakatifu Mbele za Mungu, Maana Utakatifu Utoka Moyoni na Sio Mwilini Kwa Kutawadha na Kuoga Soma (Yeremia 4:14) Mungu Anatuhusia Tuoshe Mioyo Yetu Tupate Kuokoka, na Siyo Mwili.
Sasa Yesu Alikuja Kuondoa Ibada Ya Mwilini Na Kuiamishia Ndani ya Mioyo Yetu, ili Kuleta Utakatifu Ndani Yetu, Ndiyo Maana Akatupa Roho Wake Mtakatifu Mioyoni Mwetu ili Atuongoze, Atufundishe, na Kutusaidia Kwenda Kwa Ukamilifu Mbele Zake. (Warumi 8:8)
Hivyo Basi Imetupasa Kumwabudu Mungu Katika Roho na Siyo Katika Mwili, Ndiyo Maana Mungu Alimtuma Yesu Aje Kulifunua Agano Jipya Ili Kila Atakaye Mwanini Yesu Ahesabiwe Haki Pasipo matendo ya Sheria Bali Katika Roho, na Yesu Ndiye Mwanzilishi wa Ibada Ya Rohoni nasi Katika Mwili (Yoh 4:22-24)
Hivyo Basi ni Lazima Kila Mwanadamu Azaliwe Mara ya Pili Kwa Kumwamini Yesu, na Kumpokea Roho Wake Soma Haya Kwa Undani Kabisa Kwenye Kitabu Cha Warumi 8:
Mbarikiwe sana Nyote Mlio Soma Haya na Mungu Kupitia Roho Mtakatifu Awafunulie Siri Hii ili Kila Asomaye Ahanze Kumwabudu Mungu Katika Roho na Kweli.
Ili uweze kumuelewa, hizi hapa stepsUtamuelewaje mungu anayekaa sehemu za siri?
Ukimuelewa basi hana siri, na kama ana siri huwezi ukimuelewa.
Na kwa nini awe na siri? Anaogopa nini?
Hujathibitisha lolote, labda definition yako ya kuthibitisha imepinda.
Lakini wengi tu tulilelewa katika misingi hiyo ya dini, ila baada ya kukuwa na kupata elimu mbali mbali tuliruhusu akili zetu kujifunza.Pia, kisaikolojia kuna kitu kinaitwa "cognitive dissonance".
Mtu anaweza kuwa kapotea njia, anajua kwamba kurudi nyumba kutafuta njia sahihi ndicho kitu bora kufanya, lakini ataendelea kwenye kupotea kwa sababu tu kashatumia muda msingi sana katika kupotea.
Ndiyo maana wengine hata baada ya kujua mungu hayupo logically, wanajiondoa akili. Wamelelewa katika imani hiyo yangu utoto, kingine chochote ni kama kuvunja msingi wa maisha yao yote.
Kwanza thibitisha kwamba mungu yupo ili hata nikitubu nijue natubu kwa mungu ambaye yupo na si hadithi tu.Ili uweze kumuelewa, hizi hapa steps
1. Tubu ( Repent)
2. Acha ujuaji na kutotenda dhambi zote , jinyenyekeze mbele zake , anza kumtafuta kwa nguvu zako zote, akili yako yote na Moyo wako wote. , Tafuta Ufalme wake na Elimu yake yote kwa unyenyekevu, Upendo na Utiifu kwa kupitia mwanae Yesu Kristo
3. Then yeye kwa mapenzi yake atakuita mahali pa sirini kukufundisha yaliyo juu ya uwezo wa wanadamu, na kisha atakutuma kuja ulimwenguni kufazifanya shughuli zake na kufanya mapenzi yake.
NB. Mungu hutambua MTU aliye serious katika kumtafuta; Huielewa mioyo yetu, akili zetu na hisia zote za miili yetu; Hatuwezi kujificha kwa lolote mbele zake. Kwahiyo, ukiwa blameless+Holy+righteous, mbele zake, basi mapenzi yake yatakuonekania
Huu mfano wala hauwezi kuwa na uhusiano wowote na uwepo wa MunguSwali lako ni sawa na kuuliza,
Kwanini ni vigumu sana kuingia IKULU kwa Magufuli , na ni rahisi sana kuingia Benki?
Unaona kabisaaaa mtu ana struggle hata kufanya analogy.Huu mfano wala hauwezi kuwa na uhusiano wowote na uwepo wa Mungu
Dini ni zaidi ya kileviUnaona kabisaaaa mtu ana struggle hata kufanya analogy.
Halafu anataka kukuelezea habari ya kuwepo wa mungu.
Mwanangu Kiranga, nasikitika Kwamba Bado upo Gizani na Shetani Amekudanganya Moyo wako, kwamba Hakuna Mungu, huku Maandiko yakisema Shetani Anajua Kwamba Mungu Yupo, na Kutetemeka Mbele Zake.Unajuaje kwamba mungu yupo na hii si imani potofu tu?
Mimi mwanao kivipi?Mwanangu Kiranga, nasikitika Kwamba Bado upo Gizani na Shetani Amekudanganya Moyo wako, kwamba Hakuna Mungu, huku Maandiko yakisema Shetani Anajua Kwamba Mungu Yupo, na Kutetemeka Mbele Zake.
Ikiwa Mapepo Umdhiirisha Kwamba Mungu Yupo Kwa Kutolewa Kwa Jina Lipitalo Majina Yote Yesu Kristo na Kuwatoka Watu na Wewe ni Shahidi Maana Hata hapo Ulipo Umeshashuhudia Mapepo ya Kitolewa Kwa Jina La Yesu, Lakini Bado Hilo Ujapata Ufahamutu Mwanangu Kiranga, Kwamba Mungu Yupo?
Ikiwa Mapepo yana mtambua Mungu, Basi Tuseme Mapepo Yana Akili Kuliko Wanadamu. Amka Mwanangu Kiranga Mungu Yupo. Na Ujue Kama Shetani Yupo Basi Ujue Mungu Yupo na Yupo na Yupo.
Kiranga we unataka kutufikirisha nje ya tulivyofundishwa na kuaminishwa. Unataka kutufarakanisha na nafsi zetu na imani zetu na jamii yote kwa ujumla. Tuache tuendelee kulala kwenye haka kausingizi katam ka Imani, Imani inatatua mambo mengi kwa urahisi sana. we fikiria tuanze kutafuta chanzo cha uumbaji saa hizi. nani aliumba nzi,nani aliumba mbu,nani aliumba mwezi.Huwezi kusema uthibitisho wa kuwapo kwa mungu ni uumbaji wake kirahisi hivyo ukamaliza habari.
That is both lazy and circular.
Unajuaje kwamba huo uumbaji ni wa mungu?
Narudia kukwambia, nimekuthibishia Mungu yupo, tatizo lake wewe ni kipofu; huelewi ninachoandika.Kwanza thibitisha kwamba mungu yupo ili hata nikitubu nijue natubu kwa mungu ambaye yupo na si hadithi tu.
Kwa hiyo unakubali mungu hayupo, Ila ni imani nzuri kwa wazembe wasiotaka kujisumbua kutafuta ukweli?Kiranga we unataka kutufikirisha nje ya tulivyofundishwa na kuaminishwa. Unataka kutufarakanisha na nafsi zetu na imani zetu na jamii yote kwa ujumla. Tuache tuendelee kulala kwenye haka kausingizi katam ka Imani, Imani inatatua mambo mengi kwa urahisi sana. we fikiria tuanze kutafuta chanzo cha uumbaji saa hizi. nani aliumba nzi,nani aliumba mbu,nani aliumba mwezi.
Ulivyomuona Nyerere alisemaje?Narudia kukwambia, nimekuthibishia Mungu yupo, tatizo lake wewe ni kipofu; huelewi ninachoandika.
Hata nikikuthibitishia kwa vitendo , bado hautaweza kuamini. Mimi ni shuhuda wa mambo mengi ya ufalme wa Mungu.
1. Nimenusurika kufa mara nyingi sana lakini kwa nguvu za Mungu nipo salama. Labda Nitoe mfano mmoja, nilitekwa na Magaidi unaowasikia wanachinja watu , zaidi ya mara 2
2. Nimewahi kumuona Yesu Kristu mara tatu. Na kila siku namuona kwa kupitia visions. Ninazo taarifa nyingi sana za Ufalme wa Mungu ambazo ni ngeni masikioni mwa watu.
3. Nimewahi kumuona MWALIMU NYERERE mara moja baada ya kifo chake (2015) ; Ninaelewa vitu vingi sana kuhusu Taifa hili na siri zake ambavyo ni vigeni masikioni mwa watu. Na ni vya ukweli mtupu.
Kiufupi, I am the genuine witness of the Kingdom of God. His time is my time.
Huo mfano ni mgumu sana kuuelewa kama wewe ni kijana wa Mzee Sceva. Kuna tofauti kubwa sana kati ya MTU aliyezaliwa ocean road na yule aliyezaliwa hospital yoyote ya mkoa wa Mara.Huu mfano wala hauwezi kuwa na uhusiano wowote na uwepo wa Mungu
Kusanya hayo maelezo yako yote na uyafanye sentesi moja yenye kuleta maana, ukishamaliza hapo sasa thibitisha kuwa Mungu yupo ili tuendelee na mjadala.Huo mfano ni mgumu sana kuuelewa kama wewe ni kijana wa Mzee Sceva. Kuna tofauti kubwa sana kati ya MTU aliyezaliwa ocean road na yule aliyezaliwa hospital yoyote ya mkoa wa Mara.
Tofauti yao ni kwamba, aliyezaliwa oceans road , DSM hawezi kamwe kutembea juu ya maji ya mto Ruvu, wakati aliyezaliwa Mkoa wa mara hicho kwake ni kitu rahisi sana ( kutembea juu ya maji)
Umeshindwa kuelewa kwasababu asili yako ni Ocean road, Dsm
Mi hata sijui labda ni jinsi tunavyo amini uwepo wa hii nguvu ya uumbaji. Naamini sikutokea tu kama kiumbe ila nina connection na nguvu ya kitu nje na ndani yangu. sijui ndio Mungu.Kwa hiyo unakubali mungu hayupo, Ila ni imani nzuri kwa wazembe wasiotaka kujisumbua kutafuta ukweli?