Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Tuanze pole pole kwenye huyu Mungu anayejulikana na watu.Kiranga Ambapo Huwa Sikuelewi Ni pale Unaposema Hakuna Mungu kabisa!
But Mimi Naamini Hakuna Mungu wa kweli Ambae Anaabudiwa Na watu hapa Duniani! Na kwamba Mungu Ni Kitu Kikubwa Mno Kisichofikirika na kuwa Na habari na Sisi, Sema tunajikweza Tu kujifanya Tunamjua
Huyo Mungu wako asiyejulikana naye ana kesi yake ya kujibu kwa nini kajificha asijulikane.
Mimi si tu napinga kuwepo kwa Mungu.
Mimi ni naturalist. Nakubali mambo yote yana natural explanation. Nyingine labda hatujazijua tu.
Kama unaamini kuna Mungu, yeyote, muweke hapa na sababu zako tujadili, logically.