Je! Mungu ni yule yule?

Je! Mungu ni yule yule?

Kiranga Ambapo Huwa Sikuelewi Ni pale Unaposema Hakuna Mungu kabisa!
But Mimi Naamini Hakuna Mungu wa kweli Ambae Anaabudiwa Na watu hapa Duniani! Na kwamba Mungu Ni Kitu Kikubwa Mno Kisichofikirika na kuwa Na habari na Sisi, Sema tunajikweza Tu kujifanya Tunamjua
Tuanze pole pole kwenye huyu Mungu anayejulikana na watu.

Huyo Mungu wako asiyejulikana naye ana kesi yake ya kujibu kwa nini kajificha asijulikane.

Mimi si tu napinga kuwepo kwa Mungu.

Mimi ni naturalist. Nakubali mambo yote yana natural explanation. Nyingine labda hatujazijua tu.

Kama unaamini kuna Mungu, yeyote, muweke hapa na sababu zako tujadili, logically.
 
Okay, Mungu ni Source! Yeye ndiye chanzo Cha vitu vingine Tusivyovijua hadi sasa! Vitu hivyo Tusivyovijua hadi sasa navyo Viliumba Vingine na Vingine Vikaumba Vingine! Binadamu Wa Leo Ni matokeo ya Viumbe vilivyoumbwa na Viumbe Vingine! Kutoka hapa tulipo hadi alipo Mungu ambaye ndio Source Kupafikia Ni Ngumu na Kumtambua Ni Haiwezekani sababu hata Vilivyotuumba Sisi Havijui Vilipotokea
 
Unajuaje kwamba Mungu ni source?

Na kama vyote vinahitaji source, Mungu naye source yake ni nini?

Kama Mungu hana source, kwa nini vingine vihitaji source?

Na utasemaje Mungu ni source by fiat? Kwa nini source lazima iwe Mungu?

Ikija kugundulika source ni second law of thermodynamics, utasema second law of thermodynamics ni Mungu?

Unasemaje Mungu ni source wakati hujui mambo mengi sana na sababu zake?
 
watu wengi wanashindwa kuelewa na mnavobishana no lazima mchanganyikiwe kama hapo juu. Mungu yupo hata ungesoma vitabu vyote vya dini ...sisemei mungu yupo kama wengi tunavotambua kwa na kupitia vitabu au jina linavotajwa ili watu waogope wakibishia uowepo wake. jiulize kabla ya biblia kulikuwa hakuna Mungu. Kwa hiyo usiamini kwenye kila kitu kutoka kwenye kitu. Ukitaka uamini kuwa kuna Mungu ukae peke yako bila kuhusianisha agano LA kale agano jipya yesu .mitume anza kufikiria mwenyewe ukiangalia ulimwengu jinsi ulivo tazama ndege. watu bahari mabonde milima chanzo cha Hays yote ni nn utagundua kuwa kuna nguvu ipo nyuma yako .na Luna mambo ambayo mengine ya kibinadamu tu yanayo kutokea we mwenyewe unaona kabisa hapa kuna nguvu ipo nyuma yako ambayo wengi tunaamini in Mungu ambae tumeambiwa katika vitabu. Usijisumbue kusoma vitabu vya dini kujua uwepo wa Mungu utaona kama in stories au hadithi tu.
 
Umeniuliza Maswali Mengi ambayo Unaweza Kujijibu Mwenyewe Kwa Swali Hili,
Unadhani Utambuzi, Ubongo wako Kichwani, Mdomo wako Wa Kuongea, Miguu ya Kutembea, Na mengine Yote Ulizonayo Mzee Kiranga Yametokea kwa Bahati mbaya Za kimazingira?
 
Hujathibitisha Mungu yupo.

Kibaya zaidi, hata hujaelezea huyo Mungu unayemuamini ni dubwana gani.
 
Kwa hiyo ndoa imejibariki yenyewe?
Kwa nini unapouliza hilo swali unakimbilia kuuliza "nani" na si "nini"?

Swali lako linaonesha bias kwamba unategemea jibu la "nani" wakati jibu si kazima liwe la "nani".

Ndia inaweza kubarikiwa baba na mama wakapata vyakula vikairutubisha miili yao wakaweza kuzaa mtoto mwenye afya bora.

Ndoa inaweza kubarikiwa na mamlaka ya serikali isiyoshukamana na dini yoyote, kwamba ndoa inatambulika serikalini.

Jibu lako unalolitaka la Mungu hata halihusiki hapo.
 
Umeniuliza Maswali Mengi ambayo Unaweza Kujijibu Mwenyewe Kwa Swali Hili,
Unadhani Utambuzi, Ubongo wako Kichwani, Mdomo wako Wa Kuongea, Miguu ya Kutembea, Na mengine Yote Ulizonayo Mzee Kiranga Yametokea kwa Bahati mbaya Za kimazingira?
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na uoendo wote angekuwepo, viumbe wake tusingekunya.

Kunya ni ishara ya udhaifu wa kimfumo katika mwili wa binadamu.

System yoyite inayotoa waste product haina engineering efficiency to perfection.

Kwa hiyo, sijui tumefikaje hapa, lakini jibu la kwamba tumwumbwa na Mungu huyu ni ka uongo.

Kwa sababu ulimwengu huu una mapungufu mengi sana kuwa umeumbwa na Mungu huyo.

Na kama kuna Mungu mwingine yeyote unamuamini, mtaje hapa vizuri tumjadili.
 
Usimlaumu, Yupo Sawa Tu na Siku ya Mwisho hata Akionana Na Mungu anaweza Kumpiga Maswali Mungu mwenyewe akatoka Nduki
Watu wanakwambia eti kumjua Mungu tunamjua kwa neema yake tu, si kwa jitihada zetu wenyewe. Quran na Biblia vyote vimesema hili.

Maana yake, kama Mungu yupo kweli, kwa msingi huu, sisi tunaoonekana tusiomkubali Mungu, sio kwamba hatumkubali, ila yeye ndiye hakutupendelea kutuonesha neema yake tumjue.

Sasa leo Mungu akatae kunionesha neema yake nimjue. Halafu kesho aje kunihukumu kwa sababu sijamjua?

Yani baba amkataze mtoto wake asipate nafasi ya kujifunza kusoma tangu mdogo, halafu mtoto akikua hajui kusoma baba huyu huyu amuadhibu mtoto kwa sababu mtoto hajui kusoma?

Hii inawezaje kuingua akilini?
 
Hujathibitisha Mungu yupo.

Kibaya zaidi, hata hujaelezea huyo Mungu unayemuamini ni dubwana gani.
Ndugu naomba uelewe kuwa Mungu in jina ambalo wengi tunafahamu hivo.Ila kwa mm navofikiria nikiutizama Hays yote ya dunia chanzo chake ni nn. utagundua kuw kuna ngu ipo ambayo inafanya haya yote yawepo hiyo nguvu sasa ndio tumeharalishiwa kuwa ndio Mungu mwenywewe. huwezi kuthibitisha uwepo wake wakati hata biblia imeshindwa imesema kwamba Mungu alikuwepo kablabya ulimwengu .Ila wamejaribu kuelezea mambo ambayo yalikuwa yanatokea ambayo yalikuwa yanathibitisha ukweli wake lakini ukisoma yote hayo ukichangany na zako ndio unaona Mungu hayupo. ndio maana nikasema jaribu kufikiria mwenyewe utakubali tu Mungu yupo hata kwa namna nyingine au jina jingine.
 
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na uoendo wote angekuwepo, viumbe wake tusingekunya.

Kunya ni ishara ya udhaifu wa kimfumo katika mwili wa binadamu.

System yoyite inayotoa waste product haina engineering efficiency to perfection.

Kwa hiyo, sijui tumefikaje hapa, lakini jibu la kwamba tumwumbwa na Mungu huyu ni ka uongo.

Kwa sababu ulimwengu huu una mapungufu mengi sana kuwa umeumbwa na Mungu huyo.

Na kama kuna Mungu mwingine yeyote unamuamini, mtaje hapa vizuri tumjadili.
Ni Kweli Upo Sawa, Ila Mungu Ninayemzungumzia Hapa Si Huyo uliyezoea Kumsikia kwa Watu wakimtaja na Kumzungumzia, Binadamu Hatujaumbwa na Mungu Aliyeumba Galaxy na Mengineyo, Ila Tumeumbwa na Viumbe wengine walioumbwa na viumbe wengine Kutoka Kwa wengine! Tumeletwa Duniani Just kwa Project ya Majaribio Fulani! Like Animal In zoo! Tupo hapa kwa Mpango maalum! So Upate shida! Upasuke it's Up to You! Mungu Hayupo hapa ila yapo maroho mengine ya Ajab ajab Tunayoyapigia Magoti na kuyaita Mungu!
Example [emoji116]
Screenshot_2018-01-27-00-24-44.png
 
Ndugu naomba uelewe kuwa Mungu in jina ambalo wengi tunafahamu hivo.Ila kwa mm navofikiria nikiutizama Hays yote ya dunia chanzo chake ni nn. utagundua kuw kuna ngu ipo ambayo inafanya haya yote yawepo hiyo nguvu sasa ndio tumeharalishiwa kuwa ndio Mungu mwenywewe. huwezi kuthibitisha uwepo wake wakati hata biblia imeshindwa imesema kwamba Mungu alikuwepo kablabya ulimwengu .Ila wamejaribu kuelezea mambo ambayo yalikuwa yanatokea ambayo yalikuwa yanathibitisha ukweli wake lakini ukisoma yote hayo ukichangany na zako ndio unaona Mungu hayupo. ndio maana nikasema jaribu kufikiria mwenyewe utakubali tu Mungu yupo hata kwa namna nyingine au jina jingine.
Unaelewa kwamba hujajibu swali, ila umekubali kwamba hujui jibu umerahisisha mambo kwa kuita kitu usichokijua "Mungu" ?

Kwa nini tunapenda kuita "Mungu" kitu tusichokijua badala ya kuchunguza ili tupanue uelewa?
 
Ni Kweli Upo Sawa, Ila Mungu Ninayemzungumzia Hapa Si Huyo uliyezoea Kumsikia kwa Watu wakimtaja na Kumzungumzia, Binadamu Hatujaumbwa na Mungu Aliyeumba Galaxy na Mengineyo, Ila Tumeumbwa na Viumbe wengine walioumbwa na viumbe wengine Kutoka Kwa wengine! Tumeletwa Duniani Just kwa Majaribio Tu! Like Animal In zoo!
Example [emoji116]
View attachment 725383
Nikikwambia hii ni hadithi tu isiyo na uthibitisho utasemaje?
 
Back
Top Bottom