Tuanze pole pole kwenye huyu Mungu anayejulikana na watu.Kiranga Ambapo Huwa Sikuelewi Ni pale Unaposema Hakuna Mungu kabisa!
But Mimi Naamini Hakuna Mungu wa kweli Ambae Anaabudiwa Na watu hapa Duniani! Na kwamba Mungu Ni Kitu Kikubwa Mno Kisichofikirika na kuwa Na habari na Sisi, Sema tunajikweza Tu kujifanya Tunamjua
Okay, Mungu ni Source! Yeye ndiye chanzo Cha vitu vingine Tusivyovijua hadi sasa! Vitu hivyo Tusivyovijua hadi sasa navyo Viliumba Vingine na Vingine Vikaumba Vingine! Binadamu Wa Leo Ni matokeo ya Viumbe vilivyoumbwa na Viumbe Vingine! Kutoka hapa tulipo hadi alipo Mungu ambaye ndio Source Kupafikia Ni Ngumu na Kumtambua Ni Haiwezekani sababu hata Vilivyotuumba Sisi Havijui VilipotokeaTuanze pole pole kwenye huyu Mungu anayejulikana na watu.
Huyo Mungu wako asiyejulikana naye ana kesi yake ya kujibu kwa nini kajificha asijulikane.
Mimi si tu napinga kuwepo kwa Mungu.
Mimi ni naturalist. Nakubali mambo yote yana natural explanation. Nyingine labda hatujazijua tu.
Kama unaamini kuna Mungu, yeyote, muweke hapa na sababu zako tujadili, logically.
Imebarikiwa na nani??Una assume sana.
Nimeoa na ndoa imebarikiwa kuzaa matunda.
Imani yako kwamba sijaoa ni potofu kama imani yako kwamba kuna Mungu.
Unajuaje kwamba Mungu ni source?Okay, Mungu ni Source! Yeye ndiye chanzo Cha vitu vingine Tusivyovijua hadi sasa! Vitu hivyo Tusivyovijua hadi sasa navyo Viliumba Vingine na Vingine Vikaumba Vingine! Binadamu Wa Leo Ni matokeo ya Viumbe vilivyoumbwa na Viumbe Vingine! Kutoka hapa tulipo hadi alipo Mungu ambaye ndio Source Kupafikia Ni Ngumu na Kumtambua Ni Haiwezekani sababu hata Vilivyotuumba Sisi Havijui Vilipotokea
Kwa nini swali liwe nani?Imebarikiwa na nani??
Kwa hiyo ndoa imejibariki yenyewe?Kwa nini swali liwe nani?
Hapo ndipo uwezo wako wa kufikiri ulipoishia?
Umeniuliza Maswali Mengi ambayo Unaweza Kujijibu Mwenyewe Kwa Swali Hili,Unajuaje kwamba Mungu ni source?
Na kama vyote vinahitaji source, Mungu naye source yake ni nini?
Kama Mungu hana source, kwa nini vingine vihitaji source?
Na utasemaje Mungu ni source by fiat? Kwa nini source lazima iwe Mungu?
Ikija kugundulika source ni second law of thermodynamics, utasema second law of thermodynamics ni Mungu?
Unasemaje Mungu ni source wakati hujui mambo mengi sana na sababu zake?
Hujathibitisha Mungu yupo.watu wengi wanashindwa kuelewa na mnavobishana no lazima mchanganyikiwe kama hapo juu. Mungu yupo hata ungesoma vitabu vyote vya dini ...sisemei mungu yupo kama wengi tunavotambua kwa na kupitia vitabu au jina linavotajwa ili watu waogope wakibishia uowepo wake. jiulize kabla ya biblia kulikuwa hakuna Mungu. Kwa hiyo usiamini kwenye kila kitu kutoka kwenye kitu. Ukitaka uamini kuwa kuna Mungu ukae peke yako bila kuhusianisha agano LA kale agano jipya yesu .mitume anza kufikiria mwenyewe ukiangalia ulimwengu jinsi ulivo tazama ndege. watu bahari mabonde milima chanzo cha Hays yote ni nn utagundua kuwa kuna nguvu ipo nyuma yako .na Luna mambo ambayo mengine ya kibinadamu tu yanayo kutokea we mwenyewe unaona kabisa hapa kuna nguvu ipo nyuma yako ambayo wengi tunaamini in Mungu ambae tumeambiwa katika vitabu. Usijisumbue kusoma vitabu vya dini kujua uwepo wa Mungu utaona kama in stories au hadithi tu.
Usimlaumu, Yupo Sawa Tu na Siku ya Mwisho hata Akionana Na Mungu anaweza Kumpiga Maswali Mungu mwenyewe akatoka NdukiMpinga mungu karud [emoji124] [emoji22]
[emoji23] [emoji32]Usimlaumu, Yupo Sawa Tu na Siku ya Mwisho hata Akionana Na Mungu anaweza Kumpiga Maswali Mungu mwenyewe akatoka Nduki
Kwa nini unapouliza hilo swali unakimbilia kuuliza "nani" na si "nini"?Kwa hiyo ndoa imejibariki yenyewe?
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na uoendo wote angekuwepo, viumbe wake tusingekunya.Umeniuliza Maswali Mengi ambayo Unaweza Kujijibu Mwenyewe Kwa Swali Hili,
Unadhani Utambuzi, Ubongo wako Kichwani, Mdomo wako Wa Kuongea, Miguu ya Kutembea, Na mengine Yote Ulizonayo Mzee Kiranga Yametokea kwa Bahati mbaya Za kimazingira?
Watu wanakwambia eti kumjua Mungu tunamjua kwa neema yake tu, si kwa jitihada zetu wenyewe. Quran na Biblia vyote vimesema hili.Usimlaumu, Yupo Sawa Tu na Siku ya Mwisho hata Akionana Na Mungu anaweza Kumpiga Maswali Mungu mwenyewe akatoka Nduki
Ndugu naomba uelewe kuwa Mungu in jina ambalo wengi tunafahamu hivo.Ila kwa mm navofikiria nikiutizama Hays yote ya dunia chanzo chake ni nn. utagundua kuw kuna ngu ipo ambayo inafanya haya yote yawepo hiyo nguvu sasa ndio tumeharalishiwa kuwa ndio Mungu mwenywewe. huwezi kuthibitisha uwepo wake wakati hata biblia imeshindwa imesema kwamba Mungu alikuwepo kablabya ulimwengu .Ila wamejaribu kuelezea mambo ambayo yalikuwa yanatokea ambayo yalikuwa yanathibitisha ukweli wake lakini ukisoma yote hayo ukichangany na zako ndio unaona Mungu hayupo. ndio maana nikasema jaribu kufikiria mwenyewe utakubali tu Mungu yupo hata kwa namna nyingine au jina jingine.Hujathibitisha Mungu yupo.
Kibaya zaidi, hata hujaelezea huyo Mungu unayemuamini ni dubwana gani.
Ni Kweli Upo Sawa, Ila Mungu Ninayemzungumzia Hapa Si Huyo uliyezoea Kumsikia kwa Watu wakimtaja na Kumzungumzia, Binadamu Hatujaumbwa na Mungu Aliyeumba Galaxy na Mengineyo, Ila Tumeumbwa na Viumbe wengine walioumbwa na viumbe wengine Kutoka Kwa wengine! Tumeletwa Duniani Just kwa Project ya Majaribio Fulani! Like Animal In zoo! Tupo hapa kwa Mpango maalum! So Upate shida! Upasuke it's Up to You! Mungu Hayupo hapa ila yapo maroho mengine ya Ajab ajab Tunayoyapigia Magoti na kuyaita Mungu!Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na uoendo wote angekuwepo, viumbe wake tusingekunya.
Kunya ni ishara ya udhaifu wa kimfumo katika mwili wa binadamu.
System yoyite inayotoa waste product haina engineering efficiency to perfection.
Kwa hiyo, sijui tumefikaje hapa, lakini jibu la kwamba tumwumbwa na Mungu huyu ni ka uongo.
Kwa sababu ulimwengu huu una mapungufu mengi sana kuwa umeumbwa na Mungu huyo.
Na kama kuna Mungu mwingine yeyote unamuamini, mtaje hapa vizuri tumjadili.
Unaelewa kwamba hujajibu swali, ila umekubali kwamba hujui jibu umerahisisha mambo kwa kuita kitu usichokijua "Mungu" ?Ndugu naomba uelewe kuwa Mungu in jina ambalo wengi tunafahamu hivo.Ila kwa mm navofikiria nikiutizama Hays yote ya dunia chanzo chake ni nn. utagundua kuw kuna ngu ipo ambayo inafanya haya yote yawepo hiyo nguvu sasa ndio tumeharalishiwa kuwa ndio Mungu mwenywewe. huwezi kuthibitisha uwepo wake wakati hata biblia imeshindwa imesema kwamba Mungu alikuwepo kablabya ulimwengu .Ila wamejaribu kuelezea mambo ambayo yalikuwa yanatokea ambayo yalikuwa yanathibitisha ukweli wake lakini ukisoma yote hayo ukichangany na zako ndio unaona Mungu hayupo. ndio maana nikasema jaribu kufikiria mwenyewe utakubali tu Mungu yupo hata kwa namna nyingine au jina jingine.
Nikikwambia hii ni hadithi tu isiyo na uthibitisho utasemaje?Ni Kweli Upo Sawa, Ila Mungu Ninayemzungumzia Hapa Si Huyo uliyezoea Kumsikia kwa Watu wakimtaja na Kumzungumzia, Binadamu Hatujaumbwa na Mungu Aliyeumba Galaxy na Mengineyo, Ila Tumeumbwa na Viumbe wengine walioumbwa na viumbe wengine Kutoka Kwa wengine! Tumeletwa Duniani Just kwa Majaribio Tu! Like Animal In zoo!
Example [emoji116]
View attachment 725383
Nitakubali, ila na wewe hutanimbia lolote maana litakosa Uthibitisho pia![emoji1]Nikikwambia hii ni hadithi tu isiyo na uthibitisho utasemaje?