Je! Mungu ni yule yule?

Je! Mungu ni yule yule?

kwa sababu gani hayupo kwa hiyo kila ambacho hukioni kwa macho ya kawaida basi hakipo
Idea ya mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aliyeumba ulimwengu unaowezekana kuwa na mabaya kama huu inajipinga yenyewe.

Kama idea ya pembetatu duara katika Euclidean geometry.

Mungu huyo hayupo, kama vile pembetatu duara isivyoweza kuwepo.

Vyote, mungu huyo na pembetatu duara, vina an inherent contradiction.
 
Ukiniambia hujui majibu ya maswali haya, unaniambia humjui huyo mungu.

Unamuamini mungu ambaye humjui.

Na kwa sababu unaamini kitu ambacho hukijui, kuna nafasi kubwa sana unaamini kitu ambacho hakipo. Mungu ambaye hayupo, katungwa tu na watu kama hadithi.

Mimi sijajua mwanadamu katoka wapi, bado nachunguza.Lakini hawezi kuwa kaumbwa na mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote. Maana ana mapungufu mengi sana ambayo kama kweli angekuwa kaumbwa na mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote, asingekuwa nayo.

Njia moja ya kutafuta jibu ni "elimination process". Unapewa theory, unaipima, inapita au kutopita mitihani Fulani.

Mathalani, naweza kuwa sijui square root ya 2 ni nini. Lakini najua square root ta 2 ni lazima iwe ndogo kuliko 2.

Mtu akiniambia kwamba square root ya 2 ni 10, nitamwambia kakosea, hilo jibu si sahihi. Hata kama sijui square root ya mbili ni nini. Najua ni lazima itakuwa ndogo kuliko mbili, si kubwa zaidi.

Wewe unachoniambia hapa, logically, ni kama uansema square root ya mbili ni 10. Mimi nakwambia si 10, ni lazima iwe ndogo kuliko 2.

Wewe unaniuliza square root ya mbili ni ipi.

Hata kama siijui, jibu lake haliwezi kuwa 10.

Hata kama sijui mtu katokea vipi, jibu lake si kwamba kaumbwa na mungu wako mjua yote, mwenye upendo wote na muweza yote.
Kiranga hakuna sehemu nimekuambia Mungu hayupo ,ndio kwangu Mungu yupo na sababu moja wapo ni existence ya mwanadamu ambayo wewe hujui ametoka wapi ila mimi naamini kuna aliye juu ya mwanadamu

Kuna vitu ambavyo penda usipende uwe mwana sayansi au uwe machinga utafanya tu kwa mfano kulala au kufa ,kitendo cha kulala ama kufa you are subjected to a law and rule ambayo huwezi kwenda kinyume chake its safe to say man in certain particulars is governed .

kitendo cha kuwa governed kinathibitisha kuna uwepo wa Governor ..vinginevyo ungejiamulia tu kutokufa au kutokulala milele ,hiyo pekee inatosha kabisa kunifanya niamini kuna aliye juu yangu ama mwenye mamlaka juu yangu.
Besides siku ukijua mwanadamu ametoka wapi naomba uniambie ila sijui utatumia njia gani kunipa huo ujumbe maana naamini kabisa hatutokua hai
 
Nikiitaja "pembetatu duara" , hilo linamaanisha kuna pembetatu duara?
Kinacho anza ni existance ya kitu,alafu tunakipa jina. existance ya mungu ipo na ndomana tuka pata jina mungu,
Kwenye mfano wako umetoa jina bila kutambua existance ya hicho kitu ulicho kipa jina.
 
Existance ni kitu gani?

Kama hujui spelling utaweza kubishana kuwepo wa mungu?

Pembetatu duara tumeipa jina. Hilo linamaanisha ipo?
 
Kiranga hakuna sehemu nimekuambia Mungu hayupo ,ndio kwangu Mungu yupo na sababu moja wapo ni existance ya mwanadamu ambayo wewe hujui ametoka wapi ila mimi naamini kuna aliye juu ya mwanadamu

Kuna vitu ambavyo penda usipende uwe mwana sayansi au uwe machinga utafanya tu kwa mfano kulala au kufa ,kitendo cha kulala ama kufa you are subjected to a law and rule ambayo huwezi kwenda kinyume chake its safe to say man in certain particulars is governed .

kitendo cha kuwa governed kinathibitisha kuna uwepo wa Governor ..vinginevyo ungejiamulia tu kutokufa au kutokulala milele ,hiyo pekee inatosha kabisa kunifanya niamini kuna aliye juu yangu ama mwenye mamlaka juu yangu.
Besides siku ukijua mwanadamu ametoka wapi naomba uniambie ila sijui utatumia njia gani kunipa huo ujumbe maana naamini kabisa hatutokua hai
Kwa nini huyo governor lazima awe mungu na si kingine chochote?
 
Existance ni kitu gani?

Kama hujui spelling utaweza kubishana kuwepo wa mungu?

Pembetatu duara tumeipa jina. Hilo linamaanisha ipo?
Ina onekana ni mswahili sana
Unaelewa maana ya hivi vitu viwili
1)error
2)mistake?
Kama unaelewa hivi usinge kosoa uandishi wangu.
Alafu unatumia reasoning za ku google kwamba kwann mungu hayupo na kupita hilo ni kama unajidanganya mwenyewe.
 
Forget about "existance".

Nimesema kitu tukiweza kupitana maana yake kipo.

Nikakwambia nimesema kupitana pembetatu duara.

Hilo linamaanisha pembetatu duara ipo?
 
Kwa nini huyo governor lazima awe mungu na si kingine chochote?
Basi governor ni kiatu ili uridhike.

maana nikikuuliza hicho kingine chochote unachotaka kiwe governor ni nini ? Utaishia kusema huamini hivyo huwezi kusema ni nini, tutakua tu tunazunguka mbuyu hapa.

Endelea kuamini Mungu hayupo na mimi nitaendelea kuamini Mungu yupo awe wa ukweli au wa uongo hilo ni juu yangu mimi
All the best.
 
Forget about "existance".

Nimesema kitu tukiweza kupitana maana yake kipo.

Nikakwambia nimesema kupitana pembetatu duara.

Hilo linamaanisha pembetatu duara ipo?
Nielezee nini maana ya pembe tatu daura alafu tuone kama facts zako zinaweza zikatambua uwapo wa icho kitu.,
na mm nita kuelezea nini maana ya mungu tuone kama facts zangu zita tambua uwapo wa mungu
 
Basi governor ni kiatu ili uridhike maana nikikuuliza hicho kingine chochote unachotaka kiwe governor ni nini ? Utaishia kusema huamini hivyo huwezi kusema ni nini, tutakua tu tunazunguka mbuyu hapa ,endelea kuamini Mungu hayupo na mimi nitaendelea kuamini Mungu yupo awe wa ukweli au wa uongo hilo ni juu yangu mimi
All the best
Unasusa huku hujajibu swali.

Kama mungu ndiye anayeongoza ulimwengu huu, mungu huyu ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote, mbona ulimwengu huu una mapungufu mengi sana?
 
Nielezee nini maana ya pembe tatu daura alafu tuone kama facts zako zinaweza zikatambua uwapo wa icho kitu.,
na mm nita kuelezea nini maana ya mungu tuone kama facts zangu zita tambua uwapo wa mungu
Pembetatu duara ni pembetatu ambayo ni duara pia.

Ipo ?
 
Unasusa huku hujajibu swali.

Kama mungu ndiye anayeongoza ulimwengu huu, mungu huyu ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote, mbona ulimwengu huu una mapungufu mengi sana?
Kiranga una tatizo la memory ?? Hayo maswali unayo uliza nimeshakupa majibu yake huko nyuma sasa sijui ni kitu gani kinakufanya ulize swali moja mara mia

Sijasusa ,napoteza tu muda hapa kwa mambo ambayo kamwe hayatukua na majibu unayo yataka wewe ,

Nimeheshimu wewe kutokuamini Mungu kama yupo na hivyo pia uheshimu mimi kuamini Mungu yupo
Naomba kufunga mjadala
 
Unaweza kuona umeyajibu, lakini majibu yako hayatoshelezi.

Hivi Unajuaje mungu mwenye uwezo wote, upendo wote na ujuzi wote aumbe ulimwengu ambao vitoto vichanga visivyo na hatia vinakufa kwenye Tsunami na kwa magonjwa kwa mafungu kabla hata ya kupata nafasi ya kufurahia maisha hata kidogo?

Kama kungekuwa na mtu mwenye uwezo wa kuzuia majanga hayo halafu anaachia tu si tungemshitaki mahakama zote za kimataifa?

Sasa kwa nini tunakuwa na standards za juu sana kwa watu wasio na uwezo wote, ujuzi wote wala upendo wote, halafu mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote tunamuwekea standards za chini kabisa?
 
Idea ya mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aliyeumba ulimwengu unaowezekana kuwa na mabaya kama huu inajipinga yenyewe.

Kama idea ya pembetatu duara katika Euclidean geometry.

Mungu huyo hayupo, kama vile pembetatu duara isivyoweza kuwepo.

Vyote, mungu huyo na pembetatu duara, vina an inherent contradiction.
je unajua kuwa wewe ni nani? kwanini upo hapa duniani pia chanzo chetu sisi ni nn? tatizo unatumia akili na akili ni kitu kidogo ndio maana huwezi hata kujua kama mungu yupo tumia kitu kikubwa zaidi ya akili huwezi kujua mungu ni kitu gani kama hauko hujajitambua
 
Unaweza kuona umeyajibu, lakini majibu yako hayatoshelezi.

Hivi Unajuaje mungu mwenye uwezo wote, upendo wote na ujuzi wote aumbe ulimwengu ambao vitoto vichanga visivyo na hatia vinakufa kwenye Tsunami na kwa magonjwa kwa mafungu kabla hata ya kupata nafasi ya kufurahia maisha hata kidogo?

Kama kungekuwa na mtu mwenye uwezo wa kuzuia majanga hayo halafu anaachia tu si tungemshitaki mahakama zote za kimataifa?

Sasa kwa nini tunakuwa na standards za juu sana kwa watu wasio na uwezo wote, ujuzi wote wala upendo wote, halafu mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote tunamuwekea standards za chini kabisa?
Kiranga kwa Mara nyingine tena narudia ,hakuna mwanadamu atakayekupa majibu ya hayo maswali ,aliyefanya hivyo awe Mungu ambaye wewe huamini yupo ama awe shetani anajua yeye kwanini kafanya .

Naomba nikuachie mjadala uendelee na wengine ,Muda huu naingia kumwomba Mungu wangu kesho niendelee na majukumu ya kila siku .
 
Kiranga kwa Mara nyingine tena narudia ,hakuna mwanadamu atakayekupa majibu ya hayo maswali ,aliyefanya hivyo au Mungu ambaye wewe huamini yupo ama awe shetani anajua yeye kwanini kafanya .

Naomba nikuachie mjadala uendelee na wengine ,Muda huu naingia kumwomba Mungu wangu kesho niendelee na majukumu ya kila siku .
Hakuna mtu atakayenijibu swali hilo kwa sababu mungu hayupo.
 
Back
Top Bottom